Jaji Stela Esther Augustine Mugasha kama kajitoa mhanga, kwa mifumo yetu atadumu?

Kipindi cha utawala wa JPM alikuemo nchini? Kama ndiyo aache unafiki akae kimya kama alivyo ka kimya wakati jpm ana nagisi mihimili ya nchi, ka ni hapana hakuepo na muonea huruma hi nchi inatawaliwa na CCM sia sharia

Magufuli hajawahi kuvunja Katiba hata siku kwanza kama kuna chochote aliwafanya watu wengi waelewe mambo mengi sana juu ya nchi yetu na ndiyo mwamko unaouona sasa hivi wa kuipigania nchi yetu, haijawahi kutokea hata fisadi papa lenyewe limejitokeza na kujitetea hadharani unafikiri huu mwamko umekuja tu?

Moto aliouwasha Magufuli hauzimi, na hautazima, …
 
Safi sana.
 
Alinunua ndege bila idhini ya bunge nje ya utaratibu wakatiba
 
NInnamuombea baraka tele huyu mama.
Kina mama tumekuwa mashetani kuanzia ngazi ya chumba, nyumba, mtaa, shina, kata, tarafa, wilaya, mkoa hadi taifa. Wanaume chocheeni moto wa maombi kwa ajili yetu. Acheni kuchochea mkongo na mawazo ya chura
 
Amefungua njia wapo wengi nyuma yake
 
Alinunua ndege bila idhini ya bunge nje ya utaratibu wakatiba
Acha kukurupuka. Unaijua katiba wewe? Kama unaijua tueleze inavyosema kuhusu manunuzi ya umma.
Halafu unaona kuna utofauti gani kati ya kununua ndege kwa manufaa ya nchi na kuuza bandari za nchi kwa manufaa binafsi?

Najua huna majibu. Kwa kukusaidia tu bora ijikite kwenye mjadala, sio kukurupuka.
 
Kipindi cha utawala wa JPM alikuemo nchini? Kama ndiyo aache unafiki akae kimya kama alivyo ka kimya wakati jpm ana nagisi mihimili ya nchi, ka ni hapana hakuepo na muonea huruma hi nchi inatawaliwa na CCM sia sharia
Inaonekana kama una mke au mpenz basi unattttombwa sana maana una makasiriko yasiyo na maana dhidi ya mwanamke tena ambaye hakujui...
 
NInnamuombea baraka tele huyu mama.
Kina mama tumekuwa mashetani kuanzia ngazi ya chumba, nyumba, mtaa, shina, kata, tarafa, wilaya, mkoa hadi taifa. Wanaume chocheeni moto wa maombi kwa ajili yetu. Acheni kuchochea mkongo na mawazo ya chura
Nje ya mada binti yangu JeM.

Kinachosababisha wanaume kuchochea hayo uliyoandika ni tabia yenu wenyewe, naendelea kujifunza jinsi maisha yanavyokimbia kwa vijana kugeuza jiwe kuwa mkate na nyoka kuwa samaki.

Vinginevyo mngefuata kile Mwenyeezi Mungu alitaka kifanyike nanyi hayo yote unayotaka usingekuwa unalia kama hivi.
 
Amefungua njia wapo wengi nyuma yake
But kumbuka tabia yetu watanzania, usije ukaisahau, tupo kumshangilia mtu kama huyu anayetetea kile tunachopaswa kukisimamia watanzania wote ila, likitokea la kutokea akafukuzwa utaona mada zitakavyo tililika hapa JF, ooh ameyataka mwenyewe, ngoja akalee wajukuu sasa, nk...
 
vipi kwa Prof.Assad
 
na sauti ipazwe mkuu
 
Bado tunahitaji CDF wa kujitoa muhanga. Tunahitaji CGP wa kujitoa muhanga kufungulia wafungwa wote walioonewa. Tunahitaji IGP wa kujitoa muhanga.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Inachanganya kidogo.

Nilipoanza kusoma kichwa cha mada, na habari ya barua iliyowekwa chini yake, nilikuwa nshaamua kumpigia vigelegele mama Jaji, hadi nilipoona kuwa kumbe anazungumzia jambo tofauti ya hili ulilomwelwa wewe, na mimi nilivyodhania toka manzo.

hata hivyo, hakuna lililoharibika,"uvunjwaji wa Katiba" mahali popote pale na mtu yeyote yule siyo jambo la kushabikia kwa sababu yoyote ile.

Kwa hiyo, mama anastahili maua yake; hata kama lililomtoa mbele na kusikika ni jambo tofauti na hili linalowaka moto sasa hivi.
 
Kwenye suala la Prof Juma. Mheshimiwa Rais alishauriwa vibaya. Niliandika uzi humu sio vizuri sana Rais kuonekana anavunja katiba waziwazi hivi. Jaji Mugasha yupo sahihi kwenye hili
"Alishauriwa Vibaya", nasi tupige vigelegele kushangilia umahiri huu uliougundua hapa kwa mara ya kwanza!

Wewe ni mwanasheria kanjanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…