Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namuona mama (pichani chini) anatrend sana, nadhani ni kutokana na barua yake ya kukataa kuungana na walio wachache juu ya 'anachosema' dhuluma kwa watanzania.
View attachment 2670759
Nimesoma sehemu ndogo sana ya barua yake hapo chini, mama yetu huyu sijui ni Msabato kaona liwalo na liwe, hataki hukumu ije mbele yale akose la kujipigania au kujitetea.
Wakati watanzania nchini wanasuguana na walio wachache wenye nguvu kimamlaka juu ya uwekezaji wa bandari yao na wawekezaji wajulikanao kama DPW, mama huyu ambaye ni Jaji wa mahakama ya rufani nchini kaandika mengi ila kuna sehemu ndogo hiyo 👇🏾
View attachment 2670771

Wakati watanzania nchini wanasuguana na walio wachache wenye nguvu kimamlaka juu ya uwekezaji wa bandari yao na wawekezaji wajulikanao kama DPW, mama huyu ambaye ni Jaji wa mahakama ya rufani nchini kaandika mengi ila kuna sehemu ndogo hiyo [emoji1484]
View attachment 2670771
Yeye kila Jambo anashauriwa vibaya🤔🤔aggrrrh Kuna walakin kwenye uwezo wa huyu maza 👀Kwenye suala la Prof Juma. Mheshimiwa Rais alishauriwa vibaya. Niliandika uzi humu sio vizuri sana Rais kuonekana anavunja katiba waziwazi hivi. Jaji Mugasha yupo sahihi kwenye hili
Namuona mama (pichani chini) anatrend sana, nadhani ni kutokana na barua yake ya kukataa kuungana na walio wachache juu ya 'anachosema' dhuluma kwa watanzania.
View attachment 2670759
Nimesoma sehemu ndogo sana ya barua yake hapo chini, mama yetu huyu sijui ni Msabato kaona liwalo na liwe, hataki hukumu ije mbele yale akose la kujipigania au kujitetea.
Wakati watanzania nchini wanasuguana na walio wachache wenye nguvu kimamlaka juu ya uwekezaji wa bandari yao na wawekezaji wajulikanao kama DPW, mama huyu ambaye ni Jaji wa mahakama ya rufani nchini kaandika mengi ila kuna sehemu ndogo hiyo [emoji1484]
View attachment 2670771
Hata kama ni mnafiki lakini ametimiza wajibu wakeKipindi cha utawala wa JPM alikuemo nchini? Kama ndiyo aache unafiki akae kimya kama alivyo ka kimya wakati jpm ana nagisi mihimili ya nchi, ka ni hapana hakuepo na muonea huruma hi nchi inatawaliwa na CCM sia sharia
Tunataka watu majasiri kama huyu JajiHuyu ndio mama Sasa;Nani kama mamaaaa ohohhowo Nani kama mamaaaa itkieni Sasa .Yaani rostam amewatia mfukoni mahakama
Kila kitu unakimbilia Kwa JPM utapopolewa we la saba, huyo sio mlamba makalio ya watu na Hana njaa ya ukoo kama wwKipindi cha utawala wa JPM alikuemo nchini? Kama ndiyo aache unafiki akae kimya kama alivyo ka kimya wakati jpm ana nagisi mihimili ya nchi, ka ni hapana hakuepo na muonea huruma hi nchi inatawaliwa na CCM sia sharia
Hata wakimtisha lakini ametimiza wajibu wake kama mzalendo wa nchiNchi bado Ina wazelendo
Sema kuna wapuuzi Fulani ndio wataka kutupeleka shimoni
Pia wataensa mtisha huyu mama mhe. jaji
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Apate promotion awe Jaji MkuuMkuu mtu haishi kwa mkate tu , bali kwa neno Lake. HUYU MAMA APEWE MAUA YAKE
Awamu hiii labda sababu mwanamke lakini upande wa pili....ha fit! NakaziaApate promotion awe Jaji Mkuu
Why?Hmmmm
Awamu hiii labda sababu mwanamke lakini upande wa pili....ha fit! Nakazia
Mmmm mm imani zaidiWhy?
Huyu ni Jaji Hana Cha kupotezaNamuona mama (pichani chini) anatrend sana, nadhani ni kutokana na barua yake ya kukataa kuungana na walio wachache juu ya 'anachosema' dhuluma kwa watanzania.
View attachment 2670759
Nimesoma sehemu ndogo sana ya barua yake hapo chini, mama yetu huyu sijui ni Msabato kaona liwalo na liwe, hataki hukumu ije mbele yale akose la kujipigania au kujitetea.
Wakati watanzania nchini wanasuguana na walio wachache wenye nguvu kimamlaka juu ya uwekezaji wa bandari yao na wawekezaji wajulikanao kama DPW, mama huyu ambaye ni Jaji wa mahakama ya rufani nchini kaandika mengi ila kuna sehemu ndogo hiyo 👇🏾
View attachment 2670771
Tuta Kuja kuuana soon hakika hii halikubarikiHoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Kwani yeye ubongo wake huwa haambatani nao?Kwenye suala la Prof Juma. Mheshimiwa Rais alishauriwa vibaya. Niliandika uzi humu sio vizuri sana Rais kuonekana anavunja katiba waziwazi hivi. Jaji Mugasha yupo sahihi kwenye hili
Huyu mama Jaji wa mahakama ya rufani Stella E.A. Mugasha anastaili kupongezwa. Mama amepinga uvunjwaji wa katiba ya nchi kwa kumuongezea jaji mkuu muda wa kukaa madarakani kinyume na matakwa ya katiba. Mama ametaka mamlaka ya uteuzi (Rais) kuheshimu katiba ya nchi. Mungu ambariki