Sure kabisa huo ndio UZALENDO.
UZALENDO ni kuitetea nchi Yako na maslahi yake mapana. Sio kumtetea Rais au kiongozi yeyote anayevunja KATIBA aliyoapa kuilinda na kuifuata.
Wanadhani uzalendo kuitetea serikali au rais au chama wanakosea.
Kwa wenzetu huko walikoendelea zaidi wanaudefine UZALENDO ni KUITETEA,KUILINDA NCHI NA KATIBA YAKE dhidi ya maadui wa NDANI na wa NJE.
Wanakuambia hata RAIS wa nchi anaweza kuwa ADUI akienda kinyume na katiba au maslahi mapana ya wananchi.
Huku AFRIKA ni kama tumelaanika
Aisee!!!
Sent from my Infinix X6511B using
JamiiForums mobile app