Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barua kwanza siyo ya siri ni ya waziSasa kama wote ni waoga huko afanyeje Haya mambo ya kufanya vitu kisirisiri sio mazuri. Ndio maana bandari ilikuwa inasepeshwa. But kitu kingine nikukumbushe hiyo barua aliipeleka sehemu sahihi Kwa raisi. Pengine kuna mtu kaivujisha kwa umma ulijuuliza hilo au umeandika tu kizembe
Kila kitabu na zama zake.Wakati wa mwendazake mbona hakukemea uvunjwaji wa katiba, she is hypocrite
Kwa hiyo makosa yaendelee?Kipindi cha utawala wa JPM alikuemo nchini? Kama ndiyo aache unafiki akae kimya kama alivyo ka kimya wakati jpm ana nagisi mihimili ya nchi, ka ni hapana hakuepo na muonea huruma hi nchi inatawaliwa na CCM sia sharia
lazima alikuwepo. na inawezekana ana mu-undermine mwanamke mwenzake-samia. Ndiyo maana ameibuka. Ingekuwa jamaa bado yuko hai wala asingethubutuKipindi cha utawala wa JPM alikuemo nchini? Kama ndiyo aache unafiki akae kimya kama alivyo ka kimya wakati jpm ana nagisi mihimili ya nchi, ka ni hapana hakuepo na muonea huruma hi nchi inatawaliwa na CCM sia sharia
Ametumia taaluma yake vizuriyeye Jaji Stella Mugasha ndiye mwandishi wa barua hiyo, hivyo yeye ndiye source anajua alicho kifanya na alicho kuwa amedhamiria.
alikusudia kuidhalilisha mamlaka.
kwani kulikuwa na ulazima wa yeye kuandika barua kwa raisi na kutoa nakala kila ofisi?
Ulishaambiwa kuwa kulikuwa na SIMBA WA YUDA..!! Kipi hujaelewa hapo?Kipindi cha utawala wa JPM alikuemo nchini? Kama ndiyo aache unafiki akae kimya kama alivyo ka kimya wakati jpm ana nagisi mihimili ya nchi, ka ni hapana hakuepo na muonea huruma hi nchi inatawaliwa na CCM sia sharia
Mama Samia alishawaambia kuwa KULIKUWA NA SIMBA WA YUDA.lazima alikuwepo. na inawezekana ana muundermine mwanamke mwenzake-samia. Ndiyo maana ameibuka. Ingekuwa jamaa bado yuko hai wala asingethubutu
Wanawake hawapendani ndo shida huyu ana wivu na utawala wa mama.lazima alikuwepo. na inawezekana ana muundermine mwanamke mwenzake-samia. Ndiyo maana ameibuka. Ingekuwa jamaa bado yuko hai wala asingethubutu
Acha uchawa una ushahidi gani kuwa ni yeye kasambaza kwenye mitandao ya kijamii. Ulitaka atoe maoni yake Kwa njia ipi Ili iwafikie wahusika? Mie Nampongeza Kwa kuiweka kwenye maandishi Ili kuweka records make NOT DOCUMENTED,NOT DONEkwani alishindwa kutoa maoni yake kwenye mamlaka hadi aandike barua na kuzisambaza kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamiii?!
nadhani huu ni utovu mkubwa wa nidhamu na anapaswa achukuliwe hatua za kinidhamu kwa kutoa taarifa za kiofisi nje.
tabia hii isiachiliwe ikaendelea, kuna watu wanafiki na wazandiki
Angekuwa na msimamo kipindi kile, ingempa pointi sana; ila kwa sasa, watajiuliza huyu ni mwenzetu kweli?Kipindi cha utawala wa JPM alikuemo nchini? Kama ndiyo aache unafiki akae kimya kama alivyo ka kimya wakati jpm ana nagisi mihimili ya nchi, ka ni hapana hakuepo na muonea huruma hi nchi inatawaliwa na CCM sia sharia
Pengine kapata shahada yake au aliajiriwa serikalini baada ya Magufuli kufariki. Maana huyu mama anaonekana ni jasiri asingeweza kaa kimya wakati ule kwani katiba ilvunjwa wazi wazi kila siku. Vinginevyo hana la kujitetea kama alikuwepo serikalini wakat ule. Kwa maneno mengine katumwa au mnafiki.Huyu ndio mama Sasa;Nani kama mamaaaa ohohhowo Nani kama mamaaaa itkieni Sasa .Yaani rostam amewatia mfukoni mahakama
Huyu ana chuki zake binafsi na watawala sio uzalendo, angalia jinsi bunge lilivyo vurugwa na JPM jinsi bowe alivyo unewa, jinsi katiba mpya inavyo kandamizwa sasa hivi ndo anajitokeza kwa jambo dogo la bandari sisi tutamuelewa je?Hii nchi katiba imekanyagwa mara nyingi sana lakini leo ndio ameona aandike hiyo barua. By the way jaji anakosa stadi za uandishi.
Huyu ana chuki zake binafsi na watawala sio uzalendo, angalia jinsi bunge lilivyo vurugwa na JPM jinsi bowe alivyo unewa, jinsi katiba mpya inavyo kandamizwa sasa hivi ndo anajitokeza kwa jambo dogo la bandari sisi tutamuelewa je?
AiseeKipindi cha utawala wa JPM alikuemo nchini? Kama ndiyo aache unafiki akae kimya kama alivyo ka kimya wakati jpm ana nagisi mihimili ya nchi, ka ni hapana hakuepo na muonea huruma hi nchi inatawaliwa na CCM sia sharia
CHADEMA wakipenda, wamependa. Tena wanakuwa vipofu wa macho na akili. Hata uongo unabadilika kuwa ukweli. Ukitoa hoja huwa vioja. Du, nyie ndio Dr Slaa anawaweza akigeuza mawe anavyotaka.acha wivu mwanamme, mpe mama maua yake asiseme kama katiaba imevunjwa? she woman of the year