MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,670
- 7,655
NotedSuala ni hayo matusi yanayotoka kwako, huenda wewe unaona ni kawaida sana pengine kutokana na malezi uliyopitia. So far USIKUBALI WATOTO WAKO WAWE HIVYO. KIIMANI , KIMAADILI NA KIUSTAARABU
Atadumu hakuna jambo hufanyika kwa bahati mbaya , mkuu, jiulize huo ujasili kautoa wapi mliosoma cuba mtaelewa,Namuona mama (pichani chini) anatrend sana, nadhani ni kutokana na barua yake ya kukataa kuungana na walio wachache juu ya 'anachosema' dhuluma kwa watanzania.
View attachment 2670759
Nimesoma sehemu ndogo sana ya barua yake hapo chini, mama yetu huyu sijui ni Msabato kaona liwalo na liwe, hataki hukumu ije mbele yale akose la kujipigania au kujitetea.
Wakati watanzania nchini wanasuguana na walio wachache wenye nguvu kimamlaka juu ya uwekezaji wa bandari yao na wawekezaji wajulikanao kama DPW, mama huyu ambaye ni Jaji wa mahakama ya rufani nchini kaandika mengi ila kuna sehemu ndogo hiyo 👇🏾
View attachment 2670771
Atadumu hakuna jambo hufanyika kwa bahati mbaya , mkuu, jiulize huo ujasili kautoa wapi mliosoma cuba mtaelewa,
Anakosa Vp stadi za kazi hebu tueleweshane.Jaji Mugasha kafanya upande wake katika eneo ambalo ana ushahidi nalo usio na shaka.Nashangaa wanaosema eti alikuwa wapi siku zote,Je unategemea yeye ndo aongelee Kila jambo? Kila jambo Lina wakati wake na huu ndo wakati sahihi Kwa upande wakeHii nchi katiba imekanyagwa mara nyingi sana lakini leo ndio ameona aandike hiyo barua. By the way jaji anakosa stadi za uandishi.
Hata waliopinga wakati wa JPM sio wote walipinga wakati wa kikwete.ndio ipo hivyo, hoja zao haziondoki kisa tu awamu iliyopita hawakupinga.Kipindi cha utawala wa JPM alikuemo nchini? Kama ndiyo aache unafiki akae kimya kama alivyo ka kimya wakati jpm ana nagisi mihimili ya nchi, ka ni hapana hakuepo na muonea huruma hi nchi inatawaliwa na CCM sia sharia
Leo umeacha uchawaKwenye suala la Prof Juma. Mheshimiwa Rais alishauriwa vibaya. Niliandika uzi humu sio vizuri sana Rais kuonekana anavunja katiba waziwazi hivi. Jaji Mugasha yupo sahihi kwenye hili
Una ujinga mwingi sana aiseekwani alishindwa kutoa maoni yake kwenye mamlaka hadi aandike barua na kuzisambaza kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamiii?!
nadhani huu ni utovu mkubwa wa nidhamu na anapaswa achukuliwe hatua za kinidhamu kwa kutoa taarifa za kiofisi nje.
tabia hii isiachiliwe ikaendelea, kuna watu wanafiki na wazandiki
Hayuko sahihi katiba inampa Rais mamlaka ya kuongeza mda wa Jaji wa rufaaNamuona mama (pichani chini) anatrend sana, nadhani ni kutokana na barua yake ya kukataa kuungana na walio wachache juu ya 'anachosema' dhuluma kwa watanzania.
View attachment 2670759
Nimesoma sehemu ndogo sana ya barua yake hapo chini, mama yetu huyu sijui ni Msabato kaona liwalo na liwe, hataki hukumu ije mbele yale akose la kujipigania au kujitetea.
Wakati watanzania nchini wanasuguana na walio wachache wenye nguvu kimamlaka juu ya uwekezaji wa bandari yao na wawekezaji wajulikanao kama DPW, mama huyu ambaye ni Jaji wa mahakama ya rufani nchini kaandika mengi ila kuna sehemu ndogo hiyo 👇🏾
View attachment 2670771
Mkuu wewe ni mtu mzima acha UHUNIndio kashasema, uhakika katafute mwenyewe, yeye ana miaka mitatu amalize huduma, mwacheni mama alitumikie taifa, na wengine waendelee kuvunja katiba waliyoapa kutetea, na mwisho kibwagizo cha Mungu nisaidia, utadhani ni mcha Mungu kweli.....
Acha ujinga ametetea kiapo chake cha kutetea Katiba. Katiba haitetewi kwa kificho. Tungejuaje kama imevunjwa. Acha ujuuuakwani alishindwa kutoa maoni yake kwenye mamlaka hadi aandike barua na kuzisambaza kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamiii?!
nadhani huu ni utovu mkubwa wa nidhamu na anapaswa achukuliwe hatua za kinidhamu kwa kutoa taarifa za kiofisi nje.
tabia hii isiachiliwe ikaendelea, kuna watu wanafiki na wazandiki
SOMA KATIBA- RAIS YUKO SAHIHI KATIBA INAMPA HAYO MAMLAKAHuyu mama Jaji amefungua masikio. Tulizoea kuyaona Kenya tu.
Majaji wanaume wapo wanayaona eti waoga kusema mpk tunashindwa na mwanamke.
Pazeni sauti mama samia kuvunja katiba ibara ya 118(2)
Na wew Prof Juma acha njaa staafu kwa heshina. Mbona wenzio waliokutangulia akina Mh Chande Na Marehem Augustino walistaafu. Hawajangangania. Acha njaa hizo mpk usitaafu kwa shinikizo la Umma
Wanasheria pelekeni kesi mahakama ya Raisi kavunja Katiba alafa impeachment trial ianze tumpige chini Mama kama hatusikilizi
120.-(1) Every Justice of Appeal shall vacate his office upon attaining the age of sixty-five, but the provisions of this sub article shall apply subject to the subsequent provisions of this Article.Huyu mama Jaji amefungua masikio. Tulizoea kuyaona Kenya tu.
Majaji wanaume wapo wanayaona eti waoga kusema mpk tunashindwa na mwanamke.
Pazeni sauti mama samia kuvunja katiba ibara ya 118(2)
Na wew Prof Juma acha njaa staafu kwa heshina. Mbona wenzio waliokutangulia akina Mh Chande Na Marehem Augustino walistaafu. Hawajangangania. Acha njaa hizo mpk usitaafu kwa shinikizo la Umma
Wanasheria pelekeni kesi mahakama ya Raisi kavunja Katiba alafa impeachment trial ianze tumpige chini Mama kama hatusikilizi
Hypocricy iko kwako usiyejielewa. Tuendelee na makosa eti hakufanya kipindi kile. Uzazwa huo kwani Magu aliongezea jaji mkuu yupi mda. Kenya imetuacja mbali wa elimu ya jamii. Mijitu baada ya kutetea katiba inatetea uzwazwaWakati wa mwendazake mbona hakukemea uvunjwaji wa katiba, she is hypocrite
Hapo tunazungumzia jaji wa rufaa au jaji mkuu?Hayuko sahihi katiba inampa Rais mamlaka ya kuongeza mda wa Jaji wa rufaa
120.-(1) Every Justice of Appeal shall vacate his office upon attaining the age of sixty-five, but the provisions of this sub article shall apply subject to the subsequent provisions of this Article.
(2) Any Justice of Appeal may vacate office in the service of the Untied Republic at any time on attaining the age of sixty five years except where the President directs that he should not vacate office, and if the President so directs,then the Justice to whom the directions of the President relate shall not vacate office until the expiry of the period specified by the President for that purpose.
(3) In the event that the President considers it to be in the public interest that a Justice of Appeal who has attained sixty-five years of age continue in office,and the Justice of Appeal agrees in writing to continue in office, then the President may direct that the Justice of Appeal continue in office for any period which maybe specified by the President.
(4) Notwithstanding that a Justice of Appeal has attained the age at which he is required by the provisions of this Article to vacate his office, a person who was holding the office of Justice of Appeal may continue to perform the functions of that office after attaining that age until he completes the preparation and delivery of decision or until he completes any other business in connection with matters which he had started hearing before attaining that age.
Nidham hipi kakosea tunaomba kifungu hicho cja maadili ya umma kinachomfunga mdogo. Wew unajua sheria kuliko yeye sabab wew ni jaji mwandamiz kuliko yeye. Acheni upumbavu na akili zilizofungwa nati mbovusisi wananchi tunacho fahamu ni kwamba Mahakama ni chombo cha haki na kuzingatia nidhamu.
sio kosa kutoa maoni Bali huyu Jaji Mugasha kaandika barua yenye maoni yake na kuisambaza mitandaoni kitendo hicho ni ukosefu wa nidhamu.