Jaji warioba apumzike asijiharibie heshima ambayo ilipambwa tu!

Mungu ambariki sana huyu Mzee! Alichozungumza yanaweza kuwa ni maonyo ya Mungu juu ya Taifa letu.
Hata akiondoka duniani atakuwa ametimiza wajibu wake kuliusia Taifa lijiepushe na kauli au vitendo vinavyoweza kuliingiza Taifa kwenye machafuko kwa kwa sababu ya upumbavu wa serikali kutumia vyombo vya ulinzi na usalamu kuvuruga amani.
 
Kwa sababu kaisema CCM? Tena sio uzushi bali ukweli tupu?
 
Tatizo uvccm mnatumika kama karatasi ya kuchambia choroni
 
Duuuuh..... Hoja zake wa kuzijibu hakuna. Sasa wanauliza aliwahi kifanya nini cha iconic.

Warioba ametupa mawe kwa Waziri Mchengerwa, Waziri Nchemba, kwa IGP, kwa Polisi na serikali yote.

Halafu akawapiga na Wenyeviti wa CCM na Makamu Wastaafu, ambao Jaji Warioba anasema kwa mujibu wa Katiba ya CCM hawapaswi kujikalia kalia kimywa tu CCM ikienda mrama na nchi ikiangamia.

Sijui nani watam dispatch amj
ibu.
 
Tena ndo kajijengea heshima OG, wewe kakojoe tu ukalale. Shit!
 
Na ndiye anayestahili udokta wa heshima kuliko wengine ambao hupewa udokta bure au kwa kutoa michango hasi kwa jamii
 
Asema ukweli na ukweli unamuacha mtu huru!
Watanganyika wengi wanahitaji kusifiwa na mapambio!
Matokeo yake ,ni umaskini,ufukara na kuishi kwa wajomba na kwa mashangazi
 
Kwamba juzi alikuwa anaiambia ukweli serikali ya awamu ya tano na si ya sita. Yaani wapuuzi nyie kila jambo mnaiangushia awamu ya tano tu.
 
Kwamba juzi alikuwa anaiambia ukweli serikali ya awamu ya tano na si ya sita. Yaani wapuuzi nyie kila jambo mnaiangushia awamu ya tano tu.
Awamu ya Tano;
Samia alikuwa makamu
Mpango alikuwa waziri wa fedha
Majaliwa alikuwa Waziri mkuu
Awamu ya sita ,wao
Tusidanganyane,
 
Yakiwekwa mavi na wewe Mimi ntachagua mavi.
 

Acha ujinga. Jaji Warioba ni kioo cha Jamii. Wewe na wapumbavu wenzako 1000 hawuwezi kufikia integrity, seriousness ya Warioba.
 
Wewe wa alfu mbili na ngapi?
Unamshauri Jaji Warioba? Ok!
 
Kunyamazia uovu ni kushirikiana na waovu kuendeleza uovu!
Eti umekasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba! Ni kipi alichopotosha?
Hii nchi ni ya wote! Waliostaafu, waliopo madarakani na watakaokuwepo madarakani!
Kuwa machawa kusiwapunguzie matumizi ya akili! Na kusiwafanye mkajikweza kujihisi bora kuliko wengine! Kuwa karibu na viongozi wa awamu ya sita kusiwafanye mkawapuuza wengine!
Ni ujinga uliopitiliza Kwamba nyie hampendi kusemwa kwa mabaya yenu!
Miaka ya nyuma mlimzaba makofi! Jaribuni kumteka muone moto wake!
 
Inshort ww ni mpumbafuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…