Jaji Warioba: Dkt. Bashiru ajibiwe kwa hoja, hajafanya kosa lolote acheni kumshambulia

Siasa ni Sayansi

Naona bashiru ni kama mbuzi alielala kuelekea kibra

Hoja yake ijibiwe na wa kujibu ndio hao wanasiasa

Kiuhalisi ni vigumu kuvitenganisha siasa na mwanasisa

In fact huwezi kujua ni wakati gani mwanasisa anafanya siasa na wakati gani utamjua kuwa huyu ni mwanasiasa

Hapa ndio kazi iendelee
 
Huyu mzee kukataliwa miaka ya nyuma nadhani kabaki na maumivu yanamtesa. Mama nipe kitengo cha kuwashughulia kama unaona sifai muweke Makonda tu.
 
Ak
Yule alikuwa waziri Mkuu mstaafu kwa hivyo anakula mpaka kuondoka kwake.
 
Kuna matapeli wa kisiasa kuliko kina nyinyi chiembe ?

Shame on all of you!
 
Kama ndugai aliyeondoka uspika. Hakuna kuelewana ni maslahi ndio maana kinana ailsimamishwa uanchama na Membe kufukuzwa kwenye Chama.
Nipe mfano mmoja wa kiongozi wa Chadema au ACT au CUF aliyekikosoa chama chake au kiongozi wake halafu akabaki salama kwa kigezo cha demokrasia. Unijibu ukimkumbuka Chacha Wangwe.
 
Huyu mzee kukataliwa miaka ya nyuma nadhani kabaki na maumivu yanamtesa. Mama nipe kitengo cha kuwashughulia kama unaona sifai muweke Makonda tu.
Nilitarajia ungejibu hoja ya Dr Bashiri lakini kwa mshangao mkubwa sioni tofauti yako wewe na Msukuma.Ujinga umekujaa
 
Pia ajibiwe na aliowasema sio chawa wao.

Bashiru kamsema Samia Ila ajabu anajibiwa na wakina Kigwangala.

Kigwangala ana cheo gani serikalini Cha kumjibia Samia

Samia atoke ajibu hoja za bashiru mwenyewe sio kuwatuma mawakala wa unaupiga mwingi😀😀😀😀
 
Kapiga rungu ikiwa imepita miezi 18 ya mizani 😝

Ni muda muafaka kweli hoja isijibiwe kwa hisia kali au kupigwa na rungu as Jk said before.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…