Pre GE2025 Jaji Warioba: Jeshi la Polisi limeingizwa kwenye Siasa, linatoa matamko ya Kisiasa, liachwe lifanye kazi yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukweli mchungu
 
mtanzania anakwepa kodi, then analalamika barabara mbovu, huduma za kijamii haziridhishi, HAKUNA HAKI BILA WAJIBU, ushoga huwezi kuona threat now, hii ni mbegu brother inamea taratibu, na inakuja kwa gia hizo hizo za demokrasia,
 
Hii press najua Kuna walionyuma ya huyu Mzee wamelijadili kwa kina wakamtuma Mzee nenda kaseme... 2025 Kuna jambo aisee, nachofikilia nataman kitokee kwakweli
 
ukwl humweka Mtu huru ,
 
Ni ilogical kusema unalinda utu wa mtu kwa kumuua huyo mtu!!
 
Hivi watu wa CCM mna shida gani yaani kwa maelezo aliyoyatoa mzee mi mpaka mwili ulikuwa unanisisimuka. Kaongea kizalendo sana, tatizo Ccm mnadhani hii nchi ni yenu peke yenu. Hayo mnayoyafanya linaligharimu sana taifa.

Huyu mzee ana akili kubwa sana na hana uoga na kaonyesha uzalendo mkubwa kwa taifa lake tofauti na kina JK kazi yao kuchekacheka tu kijinga wakati wanaona kabisa nchi inapelekwa hovyo.
 
Mungu akamwozee miaka 20 mbele ikimpeza,mzee wa maana sana,sana
 
Toka aanze kuongea public matukio ya aina hii..s there any impact recorded??? mwenye mtindio wa akili ndio anasikiliza hizi garbbage, na juha anakimbia kupost hapa!
Ukiambiwa umenyie ni uamuzi wako kumsikiliza aliyekuambia au kumpuuza.
 
Tatizo ni kwamba wanapewa amri na amiri jeshi wao mkuu ambaye ni mwenyekiti wa chama Cha siasa kinachoongoza serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…