Pre GE2025 Jaji Warioba: Jeshi la Polisi limeingizwa kwenye Siasa, linatoa matamko ya Kisiasa, liachwe lifanye kazi yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mzee kichwa sana sana huyu
 
Hii press najua Kuna walionyuma ya huyu Mzee wamelijadili kwa kina wakamtuma Mzee nenda kaseme... 2025 Kuna jambo aisee, nachofikilia nataman kitokee kwakweli
Mkuu huwa unafuatilia mahojiano ya huyu Mzee? Katika Wazee wachache tuliobakiwa nao huko CCM ambao wana mitizamo na misimamo huru basi huyu ni mmoja wao. Hajaanza leo.
 
Unapoona dhulma inatendeka, tumia nguvu zako zote kuizuia. Kama huwezi kuizuia, kemea. Napo kama huwezi kukemea, kasirika. Waislamu wanafamu sana hili kutoka katika kitabu chao. Ni heri kufa ukitetea haki kuliko kuishi ukitetea uzandiki.
 
Matumizi sahihi ya condom yangezuia comment za namna hii.
 
Hii press najua Kuna walionyuma ya huyu Mzee wamelijadili kwa kina wakamtuma Mzee nenda kaseme... 2025 Kuna jambo aisee, nachofikilia nataman kitokee kwakweli
Umeona kwa kina Mkuu kuna jambo
 
Unaliwa?
 
Hawawezi kumteka. Watampuuza tu kama kawaida yao. Mungu ambariki huyu mzee. Hana unafiki wala huwa hakai kimya pale anapoona mambo yanakwenda mrama.

..bado ana kaunafiki ka siku zote.

..amejichanganya sana kuhusu Samia Suluhu kuwa Mwenyekiti wa Ccm, Raisi, Amiri Jeshi, na Waziri wa Tamisemi.

..Mzee Warioba analaumu watendaji wa serikali lakini hataki kumlaumu Raisi ambaye kikatiba ndiye Waziri wa Tamisemi.
 
Amesema Viongozi wastaafu wa Ccm wana nafasi ya kujadili na kuokoa jahazi, akawataja kwa majina.... Akasema wao ni wazoefu na wanajua cha kufanya.

Hii inamaanisha nini?

πŸ“Œ2025 kuna watu hawataamini macho yao ✍️
Mpasuko !
 
Ngoja Tusubiri tuone !
Mimi nadhani kuna Waoga nyuma yake wamemuomba Mzee aongee πŸ™„πŸ˜³ !
 
Huyu ndiye mwanasisiemu aliyebakia nchi nzima.
 
Bashite yule mtu wako wa udsm huyu hapa tena, pita mlango wa nyuma utamuona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…