LGE2024 Jaji Warioba kabla kutoa hukumu yako hususani ya Uchaguzi wa S/Mitaa, uwe umsikiliza pande zote na ushahidi ulionao

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ni kawaida katika nchi zote duniani baada ya chaguzi zo zote za kisiasa upande ulioshindwa kulalamika kufanyiwa ndivyo sivyo.

Kushindwa kura kunauma, na walioshindwa ni haki yao kulalamika kuwa uchaguzi haukuwa fare and transparent na hivyo ni batili. Kwamba kura ziliibiwa, kulikuwa na kura fake, ujumlishaji wa kura haukuwa sahihi, wagombea walienguliwa kinyume na sheria etc etc

Utaratibu kote duniani pamoja na hapa kwetu (isipokuwa kwa uchaguzi wa raisi), malalamiko kama hayo huwataka walalamikaji kuyafikisha mahakamani wakiwa na ushahidi. Upande wa walalamikiwa (serikali, tume ya uchaguzi etc) hupewa nafasi ya kujitetea na kutoa ushahidi kabla ya mahakama kutoa maamuzi aka hukumu.

Haya yote unayajua vizuri kuliko sisi kwani wewe ni mwanasheria mbobezi uliyepitia mengi. Hata wewe Mzee Wasira alipokushinda kwenye ubunge wa jimbo la Bunda miaka ile ulimburuza mahakamani, kilichotokea kule unakifahamu.

Sasa kwa nini huwashauri hao wanaolalamika kwenye huu uchaguzi wa s/mitaa kuyapeleka malalamiko yao mahqkamani ili mbichi na mbivu zikajulikane huko? Ikajulikane kama ni kweli polisi au hao wasimamizi wa uchaguzi kweli walihusika na wizi wa kura aka kura fake na mengineyo hususani yale ya kuengua wagombea kinyume na sheria na kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa.
Jaribu uwe na akili angalau hata zile za kukumbuka kujisafisha baada ya kujisaidia au hata za kuuliza ili kujua bei za vitu kabla ya kutaka kununua au hata anhalau za kuvukia barabara.
Unapoongelea Mahakama, unaongelea Mahakama zipi? Hii ambayo Upinzani walipeleka dai la kuimamishwa kwa uchaguzi sababu una 4thenda kukiuka sheria ya uchaguzi?
Na unapotaja habari za Mahakama, elewa nchi haipaswi kuendeshwa Kimahakama bali kwa mseto wa utawala bora. Watu wafanye upumbavu hadharani kabisa halafu ubaki kutegemea mahakama ambako pia wamejazana makada tupu?
 
Wewe ni mtoto mdogo, hujui Waryoba alipokuwa Waziri Mkuu alikuwaje na alifanyaje?
Suala si alikuwaje na alifanyaje, bali yupoje kwa sasa na anafanyaje na anatufaaje?

Na, kwa hakika, yuko vizuri sana, anafanya vizuri sana, na anatufaa mno!

Laiti angepewa Urais wa mpito alau kwa miezi sita tu, angetutengenezea nchi vizuri mno.
 
Ni kawaida katika nchi zote duniani baada ya chaguzi zo zote za kisiasa upande ulioshindwa kulalamika kufanyiwa ndivyo sivyo.

Kushindwa kura kunauma, na walioshindwa ni haki yao kulalamika kuwa uchaguzi haukuwa fare and transparent na hivyo ni batili. Kwamba kura ziliibiwa, kulikuwa na kura fake, ujumlishaji wa kura haukuwa sahihi, wagombea walienguliwa kinyume na sheria etc etc

Utaratibu kote duniani pamoja na hapa kwetu (isipokuwa kwa uchaguzi wa raisi), malalamiko kama hayo huwataka walalamikaji kuyafikisha mahakamani wakiwa na ushahidi. Upande wa walalamikiwa (serikali, tume ya uchaguzi etc) hupewa nafasi ya kujitetea na kutoa ushahidi kabla ya mahakama kutoa maamuzi aka hukumu.

Haya yote unayajua vizuri kuliko sisi kwani wewe ni mwanasheria mbobezi uliyepitia mengi. Hata wewe Mzee Wasira alipokushinda kwenye ubunge wa jimbo la Bunda miaka ile ulimburuza mahakamani, kilichotokea kule unakifahamu.

Sasa kwa nini huwashauri hao wanaolalamika kwenye huu uchaguzi wa s/mitaa kuyapeleka malalamiko yao mahqkamani ili mbichi na mbivu zikajulikane huko? Ikajulikane kama ni kweli polisi au hao wasimamizi wa uchaguzi kweli walihusika na wizi wa kura aka kura fake na mengineyo hususani yale ya kuengua wagombea kinyume na sheria na kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa.

Sawa daktari akili kama umeona ni hukumu! Yeye katoa maoni yake, jibu sasa hoja zake nafasi ni yako uvccm, Wewe mjuvi kumzidi endelea sasa, kizazi cha 2000 hiki probably kitakua hasara kubwa cha nchini kwetu wakati wengine wanapaa angani sisi tunafanya uchawa na kudhalilisha watu waliochangia na kufanya yao - uchawa utapanda cheo kuwa uchawi soon
 
Mzee Warioba kamwaga mafuta ya taa kwenye shimo kila aina ya mdudu katoka nje , wapuuzi wote leo wanamshambulia Mzee badala ya kujibu hoja zake, eti hawa wajinga wajinga ndiyo think tank wa CCM.
 
Hatuishi Burundi tunaishi hapa hapa tunaona YANAYOTOKEA,, CCM ni waogaaa,,, pamoja na kuwaengua wapinzani bado mkatushurutisha wasimamiz tutumbukize makura ya ndio.. tumeshiriki tumeona acha kuongea takataka
 
Hayo malalamiko ya kuenguliwa waliyapeleka mahakamani? Tatizo letu ni kuyapeleka mtandaoni tukidhani kwamba huko mtandaoni ndiko mahakama and every thing!
Mkuu kwahiyo wewe umeridhika na uchaguzi wa serikali za mitaa ilivyoendeshwa? Toast maoni yako kwa mamlaka wapi waboreshe siyo kujadili maoni ya jaji Warioba.
 
Ni kawaida katika nchi zote duniani baada ya chaguzi zo zote za kisiasa upande ulioshindwa kulalamika kufanyiwa ndivyo sivyo.

Kushindwa kura kunauma, na walioshindwa ni haki yao kulalamika kuwa uchaguzi haukuwa fare and transparent na hivyo ni batili. Kwamba kura ziliibiwa, kulikuwa na kura fake, ujumlishaji wa kura haukuwa sahihi, wagombea walienguliwa kinyume na sheria etc etc

Utaratibu kote duniani pamoja na hapa kwetu (isipokuwa kwa uchaguzi wa raisi), malalamiko kama hayo huwataka walalamikaji kuyafikisha mahakamani wakiwa na ushahidi. Upande wa walalamikiwa (serikali, tume ya uchaguzi etc) hupewa nafasi ya kujitetea na kutoa ushahidi kabla ya mahakama kutoa maamuzi aka hukumu.

Haya yote unayajua vizuri kuliko sisi kwani wewe ni mwanasheria mbobezi uliyepitia mengi. Hata wewe Mzee Wasira alipokushinda kwenye ubunge wa jimbo la Bunda miaka ile ulimburuza mahakamani, kilichotokea kule unakifahamu.

Sasa kwa nini huwashauri hao wanaolalamika kwenye huu uchaguzi wa s/mitaa kuyapeleka malalamiko yao mahqkamani ili mbichi na mbivu zikajulikane huko? Ikajulikane kama ni kweli polisi au hao wasimamizi wa uchaguzi kweli walihusika na wizi wa kura aka kura fake na mengineyo hususani yale ya kuengua wagombea kinyume na sheria na kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa.
Hamkushinda kihalali....ni wezi na mnatumia vibaya polisi kunyanyasa Watanzania wenye mitazamo tofauti ya kiitikadi. You end is just closing up
 
Ni kawaida katika nchi zote duniani baada ya chaguzi zo zote za kisiasa upande ulioshindwa kulalamika kufanyiwa ndivyo sivyo.

Kushindwa kura kunauma, na walioshindwa ni haki yao kulalamika kuwa uchaguzi haukuwa fare and transparent na hivyo ni batili. Kwamba kura ziliibiwa, kulikuwa na kura fake, ujumlishaji wa kura haukuwa sahihi, wagombea walienguliwa kinyume na sheria etc etc

Utaratibu kote duniani pamoja na hapa kwetu (isipokuwa kwa uchaguzi wa raisi), malalamiko kama hayo huwataka walalamikaji kuyafikisha mahakamani wakiwa na ushahidi. Upande wa walalamikiwa (serikali, tume ya uchaguzi etc) hupewa nafasi ya kujitetea na kutoa ushahidi kabla ya mahakama kutoa maamuzi aka hukumu.

Haya yote unayajua vizuri kuliko sisi kwani wewe ni mwanasheria mbobezi uliyepitia mengi. Hata wewe Mzee Wasira alipokushinda kwenye ubunge wa jimbo la Bunda miaka ile ulimburuza mahakamani, kilichotokea kule unakifahamu.

Sasa kwa nini huwashauri hao wanaolalamika kwenye huu uchaguzi wa s/mitaa kuyapeleka malalamiko yao mahqkamani ili mbichi na mbivu zikajulikane huko? Ikajulikane kama ni kweli polisi au hao wasimamizi wa uchaguzi kweli walihusika na wizi wa kura aka kura fake na mengineyo hususani yale ya kuengua wagombea kinyume na sheria na kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa.
Chawa mnatapatapa sana, hoja za huyo mzee ni nzito
 
Ni
Hebu tuambie sasa sisi watoto wadogo tujue alikuaje na alifanyaje na tuone kwamba inaondoa ukweli ya kile ambacho amekizungumza kwa jamii iliyostaarabika!
Kwamba sio kweli jeshi la polisi limekua Tawi la siasa la Chama Cha mapinduzi, na hatari yake ni kubwa Kwa ustawi wa demokrasia na Haki za watu kama tunavyoona?
Mambo yalianzia hapa

View: https://youtu.be/_UuirGrqyCM?si=sYVfSNsBrOtLikmy

Ni mmoja wa Mawaziri Wakuu wabovu kuwahi kutokes na ndio maana Uchaguzi ulipofika Wananchi wa Jimbo lake walimpiga chini na Ubunge wakampa Mzee Wasira tena kipindi hicho chama kilikuwa kimoja tu na kimeshika hatamu
 
Ni kawaida katika nchi zote duniani baada ya chaguzi zo zote za kisiasa upande ulioshindwa kulalamika kufanyiwa ndivyo sivyo.

Kushindwa kura kunauma, na walioshindwa ni haki yao kulalamika kuwa uchaguzi haukuwa fare and transparent na hivyo ni batili. Kwamba kura ziliibiwa, kulikuwa na kura fake, ujumlishaji wa kura haukuwa sahihi, wagombea walienguliwa kinyume na sheria etc etc

Utaratibu kote duniani pamoja na hapa kwetu (isipokuwa kwa uchaguzi wa raisi), malalamiko kama hayo huwataka walalamikaji kuyafikisha mahakamani wakiwa na ushahidi. Upande wa walalamikiwa (serikali, tume ya uchaguzi etc) hupewa nafasi ya kujitetea na kutoa ushahidi kabla ya mahakama kutoa maamuzi aka hukumu.

Haya yote unayajua vizuri kuliko sisi kwani wewe ni mwanasheria mbobezi uliyepitia mengi. Hata wewe Mzee Wasira alipokushinda kwenye ubunge wa jimbo la Bunda miaka ile ulimburuza mahakamani, kilichotokea kule unakifahamu.

Sasa kwa nini huwashauri hao wanaolalamika kwenye huu uchaguzi wa s/mitaa kuyapeleka malalamiko yao mahqkamani ili mbichi na mbivu zikajulikane huko? Ikajulikane kama ni kweli polisi au hao wasimamizi wa uchaguzi kweli walihusika na wizi wa kura aka kura fake na mengineyo hususani yale ya kuengua wagombea kinyume na sheria na kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa.
ujaji wake sio wa kitaaluma gentleman, ile ni a.k.a tu alopewa mtaani enzi hizo, but huyo muungwana sio jaji halisi 🐒
 
Kwanza Kuna wadau walipeleka kesi mahakamani ili kuzuia tamisemi isisimamie huu uchaguz lakin kilichotokea ni aibu,nakumbuka miaka ya nyuma ,Brigedia Jenerali Mstaafu Hasan Ngwilizi(MB)alikuwa Waziri wa tamisemi ,kipindi hicho haki ilikuwa inatendeka ,lakin kilichofanyika mwaka huu ni aibu
Nchi yetu inaendeshwa kwa mjibu wa sheria tulizozitunga sisi wananchi kupitia wawakilishi wetu bungeni kwa mtindo wa wengi wape ie the rule of the majority, the winner takes it all (hakuna nusu mkate).

Huko mahakamani walalamikaji waliambiwa hakuna sheria iliyotungwa na bunge inayoipa mamlaka Tume Huru ya Uchaguzi kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa. Kama ni aibu ni ya hao (wanasheria) walalamikaji waliofungua kesi mahakamani bila kujua wanacholalamikia hakipo kwenye sheria zetu za nchi.
 
Wewe ni wa kumjibu Warioba!
Hivi wewe kweli unamjua vizuri Waryoba? Unawajua vizuri kweli watu wa Mara?

Mbona mawaziri wakuu wenzake wastaafu wote wametulia? Wapo akina Malichela, Msuya, Mazengo na Sumaye. Hawaikosoi hadharani serikali yao na rais wake. Wanaiheshimu na kuipigania ccm iendelee kutawala milele.

Mbona katika enzi za utawala wa Jiwe alikuwa kimya? Hata enzi za utawala wa Mwalimu haikutokea mtu aliyemo ndani ya CCM/ TANU akajitokeza hadharani kivile?

JK gwiji wa demokrasia Tanzania baba wa multipartism in Tanzania
Alipokuwa madarakani mlimuita Dhaifu hadi mkasusa na ile katiba mpya yake. Leo mnamuita gwiji wa demokrasia. Sasa nyie tuwaite jina gani? Wanafiki au?

muswada wa Sheria za uchaguzi ukasainiwe na mwenyekiti wa ccm.?
Haya sawa
Kajifunze namna sheria zinazotungwa.
Acha uzumbukuku kuna haja gani ya kusikiliza upande wa pili wakati kila kitu kinajieleza kwa uwazi
Sasa kama kiko wazi kwa nini usikipeleke mahakamani ili wahusika wakaadhibiwe kwa mjibu wa sheria? Unataka kuchukua sheria mkononi uwaadhibu wewe?
 
Hivi wewe kweli unamjua vizuri Waryoba? Unawajua vizuri kweli watu wa Mara?

Mbona mawaziri wakuu wenzake wastaafu wote wametulia? Wapo akina Malichela, Msuya, Mazengo na Sumaye. Hawaikosoi hadharani serikali yao na rais wake. Wanaiheshimu na kuipigania ccm iendelee kutawala milele.

Mbona katika enzi za utawala wa Jiwe alikuwa kimya? Hata enzi za utawala wa Mwalimu haikutokea mtu aliyemo ndani ya CCM/ TANU akajitokeza hadharani kivile?

Alipokuwa madarakani mlimuita Dhaifu hadi mkasusa na ile katiba mpya yake. Leo mnamuita gwiji wa demokrasia. Sasa nyie tuwaite jina gani? Wanafiki au?

Kajifunze namna sheria zinazotungwa.

Sasa kama kiko wazi kwa nini usikipeleke mahakamani ili wahusika wakaadhibiwe kwa mjibu wa sheria? Unataka kuchukua sheria mkononi uwaadhibu wewe?
Kuhusu hoja yangu kwa uchache Sanaa Sanaa.

Acha kua emotional unapo jibu hoja za wadau/ ruhusu hiyo oblangata na medula zishirikiane.
 
Ni kawaida katika nchi zote duniani baada ya chaguzi zo zote za kisiasa upande ulioshindwa kulalamika kufanyiwa ndivyo sivyo.

Kushindwa kura kunauma, na walioshindwa ni haki yao kulalamika kuwa uchaguzi haukuwa fare and transparent na hivyo ni batili. Kwamba kura ziliibiwa, kulikuwa na kura fake, ujumlishaji wa kura haukuwa sahihi, wagombea walienguliwa kinyume na sheria etc etc

Utaratibu kote duniani pamoja na hapa kwetu (isipokuwa kwa uchaguzi wa raisi), malalamiko kama hayo huwataka walalamikaji kuyafikisha mahakamani wakiwa na ushahidi. Upande wa walalamikiwa (serikali, tume ya uchaguzi etc) hupewa nafasi ya kujitetea na kutoa ushahidi kabla ya mahakama kutoa maamuzi aka hukumu.

Haya yote unayajua vizuri kuliko sisi kwani wewe ni mwanasheria mbobezi uliyepitia mengi. Hata wewe Mzee Wasira alipokushinda kwenye ubunge wa jimbo la Bunda miaka ile ulimburuza mahakamani, kilichotokea kule unakifahamu.

Sasa kwa nini huwashauri hao wanaolalamika kwenye huu uchaguzi wa s/mitaa kuyapeleka malalamiko yao mahqkamani ili mbichi na mbivu zikajulikane huko? Ikajulikane kama ni kweli polisi au hao wasimamizi wa uchaguzi kweli walihusika na wizi wa kura aka kura fake na mengineyo hususani yale ya kuengua wagombea kinyume na sheria na kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa.
Utampangiaje mtu kutoa maoni au mawazo yake? Wewe uliyoandika haya umesikiliza pande ngapi? Je, na Warioba alikwambia usikilize pande mbili? Watu wa ajabu sana kuwa na thinking ya namna hii.
 
Ni kawaida katika nchi zote duniani baada ya chaguzi zo zote za kisiasa upande ulioshindwa kulalamika kufanyiwa ndivyo sivyo.

Kushindwa kura kunauma, na walioshindwa ni haki yao kulalamika kuwa uchaguzi haukuwa fare and transparent na hivyo ni batili. Kwamba kura ziliibiwa, kulikuwa na kura fake, ujumlishaji wa kura haukuwa sahihi, wagombea walienguliwa kinyume na sheria etc etc

Utaratibu kote duniani pamoja na hapa kwetu (isipokuwa kwa uchaguzi wa raisi), malalamiko kama hayo huwataka walalamikaji kuyafikisha mahakamani wakiwa na ushahidi. Upande wa walalamikiwa (serikali, tume ya uchaguzi etc) hupewa nafasi ya kujitetea na kutoa ushahidi kabla ya mahakama kutoa maamuzi aka hukumu.

Haya yote unayajua vizuri kuliko sisi kwani wewe ni mwanasheria mbobezi uliyepitia mengi. Hata wewe Mzee Wasira alipokushinda kwenye ubunge wa jimbo la Bunda miaka ile ulimburuza mahakamani, kilichotokea kule unakifahamu.

Sasa kwa nini huwashauri hao wanaolalamika kwenye huu uchaguzi wa s/mitaa kuyapeleka malalamiko yao mahqkamani ili mbichi na mbivu zikajulikane huko? Ikajulikane kama ni kweli polisi au hao wasimamizi wa uchaguzi kweli walihusika na wizi wa kura aka kura fake na mengineyo hususani yale ya kuengua wagombea kinyume na sheria na kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa.
Ushahidi upo kila mahali wa uchafuzi wa uchaguzi wa S/mtaa, ni aibu hata waliotangazwa washindi wanaogopa kuonekana.
 
Mahakama za Porapesa Juma?
Unatania sio?
 
Back
Top Bottom