Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Nyie UWT mmelaaniwa haswa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamesambaza mapikipiki kila kona halafu wanaogopa uchaguziMalalamiko yalikuwepo hata kabla ya uchaguzi.
Kwa nini mliwaengua kwa maelfu wagombea wapinzani wenu?
Wewe kiazi mtu mzima yeyote ambaye sio mhalifu na ni raia wa Tanzania anatosha kuwa mwenyekiti au mjumbe wa kijiji, mtaa na kitongoji. Hayo mengine yote ni porojo za kihuni tu.Sasa mtu amekosa vigezo vya kuwa mgombea atachaguliwa vipi?
Kesi ya mbuzi kwenda kwa fisi,ni ama mawili fisi apate kitoweo ama amraruerarue tu mbuzi bila hata ya sababu kwani hata kumla hamli kwa kuwa anashibe.Ni kawaida katika nchi zote duniani baada ya chaguzi zo zote za kisiasa upande ulioshindwa kulalamika kufanyiwa ndivyo sivyo.
Kushindwa kura kunauma, na walioshindwa ni haki yao kulalamika kuwa uchaguzi haukuwa fare and transparent na hivyo ni batili. Kwamba kura ziliibiwa, kulikuwa na kura fake, ujumlishaji wa kura haukuwa sahihi, wagombea walienguliwa kinyume na sheria etc etc
Utaratibu kote duniani pamoja na hapa kwetu (isipokuwa kwa uchaguzi wa raisi), malalamiko kama hayo huwataka walalamikaji kuyafikisha mahakamani wakiwa na ushahidi. Upande wa walalamikiwa (serikali, tume ya uchaguzi etc) hupewa nafasi ya kujitetea na kutoa ushahidi kabla ya mahakama kutoa maamuzi aka hukumu.
Haya yote unayajua vizuri kuliko sisi kwani wewe ni mwanasheria mbobezi uliyepitia mengi. Hata wewe Mzee Wasira alipokushinda kwenye ubunge wa jimbo la Bunda miaka ile ulimburuza mahakamani, kilichotokea kule unakifahamu.
Sasa kwa nini huwashauri hao wanaolalamika kwenye huu uchaguzi wa s/mitaa kuyapeleka malalamiko yao mahqkamani ili mbichi na mbivu zikajulikane huko? Ikajulikane kama ni kweli polisi au hao wasimamizi wa uchaguzi kweli walihusika na wizi wa kura aka kura fake na mengineyo hususani yale ya kuengua wagombea kinyume na sheria na kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa.
Hapa ndio tunathibitisha kuwa vilaza ni wengi mno katika hili taifa nabahati mbaya wameongeza ugonjwa mwingine wa uchawa.Wewe ni wa kumjibu Warioba!
Wangewezaji kuitambulisha aibu yenu,hapo wamewaacheni bila nguo,basi angalao mngechutama,ila wapi?Yaan kati ya kitu ambacho wapinzan walijichanganya ni kuingia kwenye huu uchaguz wakijua fika mwamuz wa matokeo ni CCM,kwanza wagombea wa upinzani walienguliwa mbaya Zaid CCM ikajitangazia ushindi wa mezani,Hawa wapinzan wasije wakathubutu kuingia tena kwenye uchaguz wa namna hii,nafikiri hata mwakani yatatokea haya haya halafu wataanza kulalamika bila kuchukua hatua,Warioba anastahili tuzo amegusa penyewe na ni mzalendo
Na hata ikatokea hakimu ama jugde mwadilifu ajue ama akubali maelekezo ama awe tiyari kitekwaMahakama ipi itakayosikiliza malalamiko hayo?