mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Nadhani ile rasimu ya Mzee Warioba ilishakamilika maoni watu wote wa pande mbili walishatoa maoni yao !! Sasa kuna haja gani ya kuendelea na tume zingine ?? Nilishangaa kusoma comment moja kwamba eti ile rasimu kwa sasa itakuwa baadhi ya vitu Fulani Fulani vitakuwa vimepitwa na wakati !! Nikajiuliza hii miaka saba tangu huo mchakato utelekezwe ndio kutakuwa na vitu vimeshapitwa na wakati ?? Kwani katiba huwa inatengenezwa kila baada ya miaka mitano ?? !!Ishu siyokupendekeza maoni ishu ni saa ya kuandika ikifika vitu vitasukwa kisomi nawasomi waliopo jikoni kwa ajili ya matumbo yao.warioba naye mwogamwoga tu si aseme tuendelee tuliposhia kwenye ile rasimu yake