Jaji Warioba: Kikosi kazi cha Profesa Mukandala kikusanye maoni ya Wananchi wa kawaida siyo Watu maarufu pekee

Ishu siyokupendekeza maoni ishu ni saa ya kuandika ikifika vitu vitasukwa kisomi nawasomi waliopo jikoni kwa ajili ya matumbo yao.warioba naye mwogamwoga tu si aseme tuendelee tuliposhia kwenye ile rasimu yake
Nadhani ile rasimu ya Mzee Warioba ilishakamilika maoni watu wote wa pande mbili walishatoa maoni yao !! Sasa kuna haja gani ya kuendelea na tume zingine ?? Nilishangaa kusoma comment moja kwamba eti ile rasimu kwa sasa itakuwa baadhi ya vitu Fulani Fulani vitakuwa vimepitwa na wakati !! Nikajiuliza hii miaka saba tangu huo mchakato utelekezwe ndio kutakuwa na vitu vimeshapitwa na wakati ?? Kwani katiba huwa inatengenezwa kila baada ya miaka mitano ?? !!
 
Ni kweli kabisa eti kikosi kazi!!?
tume ya Warioba ilishafanya kazi yake
Unasahau rasimu ya warioba ilishajadiliwa tena kisheria ndo ikazaa katiba pendekezwa?
Unadhani tutarudi ten kujadili rasimu ya warioba?, Be realistic
 
Watake wasitake watarudisha Rasimu ya Warioba mezani.

Tuifanyie Maboresho muhimu.

Pesa yetu ilitumika kukusanya maoni, hatutokubali JASHO letu lipite Bure. Amen
Rasimu ishafanyiwa maboresho,, hilo sahau,, nikubainishie kabisa,, maana hata wakirudia upya, matokeo ni yale yale
 
Softcopy zipo, tunaanza pale kwenye RASIMU, tuweke Maboresho kdg maana muda mrefu umepita.

Hicho kikosi KAZI hakiwezi kujibu HOJA za wananchi. Mchakato haukufa, wahuni waliingiza Yao kuharibu.

Time hii hatoharibu mtu. Amen
 
Unakatwa wewe unaetaka hela za bure ambazo wanaume wenzio wamewekeza. Njoo nikukate namimi umalize madeni shwaini.
Usinizoee sawa?
Unakatwa wewe unaetaka hela za bure ambazo wanaume wenzio wamewekeza. Njoo nikukate namimi umalize madeni shwaini.
Usizoee sawa? Muda sio mrefu utapoteza usichana wako.
 
Baadhi ya mawazo ya wananchi na madai ya wanasiasa kwenye katiba mpya.

Mfano Zitto Kabwe; anataka CAG apewe meno ya kulazimisha auditing advise on system ambazo azijafanyiwa kazi achukue hatua.

Sasa jiulize what is the purpose of external auditing. Dhana yote ipo based on agency theory ya auditor kumshauri mteja wake in this instance ni (mamlaka ya teuzi au raisi au wananchi).

Kuna sababu mahususi za kihasibu ziliozewa in ISBA. M

Ili kufanyia kazi CAG recommendations inategemea uwezo wa directors on management skills kwenye kuendesha mashirika. Watu ambao wanateuliwa na raisi au waziri including management board of directors. Maana yake kumpa CAG nafasi ya kusimamia mapendekezo yake inabidi umpe na madaraka hayo ya raisi, mamlaka ya teuzi na waziri; kiuhalisia na TISS wa-report kwake.

Vinginevyo teuzi za raisi na waziri wasipofanyia kazi audit advice nwaka unaofuara atarudia matatizo yapo palepale akishafanya kazi yake. Why so it’s a culture issue, uwezo wa accountants and management (inayoteuliwa na mamlaka zingine za kiserikali).

Sasa hilo tatizo kutatua linataka auditor kupewa mamlaka zaidi au kuwapa nafasi watu wenye uwezo kutoka mamlaka ya teuzi (if anything this is where overhauling is needed) na hilo ni swala la katiba mpya au succession planning.

Ni serikali ya wehu tu kwa kusikiliza hoja za katiba mpya za wapinzani na wadau wa ovyo inaweza poteza muda na upuuzi huo.

Asilimia kubwa ya kusikiliza sababu za madai ya katiba mpya ni ujinga mtupu.

Ujinga zaidi ni kumsikiliza mtu kama jaji Warioba; hawa watu vyeti vyao vinahitaji uchunguzi. Wananchi wachangie mambo ya katiba only possible in Africa.

Wengine wanakwambia internal auditor apewe majukumu zaidi do they even know the concept of independence in auditing; kwa mazingira yetu serikali kuamini kazi za internal audit zaidi ya collusions tu na management.

Asilimia kubwa ya hoja za katiba mpya ni ujinga mtupu kwa mambo ambayo ayatekelezeki ni ujinga ku entertain huu upuuzi; yaani we na akili zako timamu uwasikilize matahira kama Fatma Karume na Maria Sarungi.

We need serious people to run this country.

Utaki kujua upuuzi wa pension kuwa sehemu ya katiba.

Bi Tozo ashauriwe vyema: kudra za mungu mwisho 2025 on a serious note. Hiyo kazi ni ngumu na hana uwezo nayo.
 
" Africa does not need strong man it needs strong institutions " by Barack Hussein Obama !!!
 
Ila kwenye katiba yetu kulazimisha 50/50 itasababisha tupate viongozi wasiofaa, bora watu washindane bila kuweka jinsia
 
usinizoee sawa? Muda sio mrefu utakuja na mafuta kwenye sikio.
Hapa sio sehemu ya kutishana mkuu, unaambiwa ukweli , unaamaua kubadilika au unaacha,
Ila huwezi kuzuia watu kukueleza ukweli na wala usijaribu
This is JF for GT
 
Back
Top Bottom