Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Na nyie nendeni mahakamani mkashtaki kuwa mwendazake anachafuliwa na chama chakeKwa nini hawakuenda mahakamani?
Kubaki unalialia umeonewa wakati hakuna kesi hata moja mahakamani ya kupinga uchaguzi ni upuuzi na kupoteza muda.
Hahahaha, watu wake wanataka atajwe kwa mazuri tu, as if alikuwa Mungu, kwamba hakoseiHatajwi huyo....akitajwa nchi inazizima, matetemeko, radi na ngurumo!
Mfuasi wake mmoja tokea jalalani alimuita Mheshimiwa Mungu siyo??😆Hahahaha, watu wake wanataka atajwe kwa mazuri tu, as if alikuwa Mungu, kwamba hakosei
Mwenzake Kabudi kaanza tena stories zake za mabeberu na uzalendo fake, nilimsikia jana kongamano la mwalimuMzee Warioba anazidi kuzeeka na hekima zake. Angalau huwa navutiwa kumsikiliza coz he's always straight to the point.
Kwanini hawakuenda mahakamani?
Kubaki unalialia umeonewa wakati hakuna kesi hata moja mahakamani ya kupinga uchaguzi ni upuuzi na kupoteza muda.
Mjane unatamani umchape makofi mzee warioba baada ya kusema ukweli 😂😂😂Kwanini hawakuenda mahakamani?
Kubaki unalialia umeonewa wakati hakuna kesi hata moja mahakamani ya kupinga uchaguzi ni upuuzi na kupoteza muda.
Alikuwa wapi kusema huyu Mzee nae?"Miaka yote watu wanaelewa na wanajaza fomu vizuri lakini Mwaka 2020, ghafla watu hawajui kujaza fomu (wanaenguliwa). Hapa lazima kuna namna" - Jaji Warioba.
Amesema hayo wakati akichangia kwenye mkutano wa TCD leo Dodoma.
Mahakama ipi ya Jaji Tiganga😂😂😂😂 na dpp Biswalo!!!Kwanini hawakuenda mahakamani?
Kubaki unalialia umeonewa wakati hakuna kesi hata moja mahakamani ya kupinga uchaguzi ni upuuzi na kupoteza muda.
Mtu anazurura mahala kote na hakimu halafu upeleke kesi kwake huyo basi utakuwa mjinga tu kutaraji kushindwa kama sio ndio unaharalisha eti utawala wa Sheria unafuatwaKwanini hawakuenda mahakamani?
Kubaki unalialia umeonewa wakati hakuna kesi hata moja mahakamani ya kupinga uchaguzi ni upuuzi na kupoteza muda.
Kama waliokukata ndiyo Wana ushawishi mkubwa kwa mahakama unategemea haki iapatikane?!Kwanini hawakuenda mahakamani?
Kubaki unalialia umeonewa wakati hakuna kesi hata moja mahakamani ya kupinga uchaguzi ni upuuzi na kupoteza muda.
Tatizo halikuwa Mahera, lilikuwa aliyemteua Mahaera
Dikteta aliharibu democracy ya nchi yetu"Miaka yote watu wanaelewa na wanajaza fomu vizuri lakini Mwaka 2020, ghafla watu hawajui kujaza fomu (wanaenguliwa). Hapa lazima kuna namna" - Jaji Warioba.
Amesema hayo wakati akichangia kwenye mkutano wa TCD leo Dodoma.
Acha upuuzi.Kwanini hawakuenda mahakamani?
Kubaki unalialia umeonewa wakati hakuna kesi hata moja mahakamani ya kupinga uchaguzi ni upuuzi na kupoteza muda.
Possibility kubwa ni kuwa, miaka yote fomu zilikuwa zinajazwa hovyo hovyo bila kuzingatia kanuni, sheria na taratibu, lakini watu wakawa wanafumbia macho au kuangalia pembeni na kuzipitisha kiujumla jumla. Mwaka 2020 watu wakaamua ku-enforce sheria kwa ku-scrutinize fomu ili kuhakikisha kama zipo sawa, kwakuwa watu waliweka mazoea ya ilimradi fomu imejazwa, matokeo ndiyo yakawa yale tuliyoona.
Tatizo bongo yetu ni unafiki.