Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
- Thread starter
- #61
Kuhusu account zake binafsi hakuwahi kuzungumzia! Ile ilikuwa mambo ya chamaMbowe alisema toka alipo hukumiwa ile kesi tuliwachangia faini wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhusu account zake binafsi hakuwahi kuzungumzia! Ile ilikuwa mambo ya chamaMbowe alisema toka alipo hukumiwa ile kesi tuliwachangia faini wote
Uchaguzi mkuu 2015 Kinana alikuwa katibu mkuu ccm. Demokrasia na haki vilikuwepo wakati huo?!Nmefurahi kusikia Kinana anakiri kuwa Haki na Demokrasia havikuwepo, na ndio mwanzo mzuri kupata chaguzi zenye matakwa ya wananchi Ili kuleta viongozi wenye tija kwenye maendeleo yao
Kama aliweza kumtoa CAG mpenda haki na anayechukia ufisadi kinyume cha sheria, basi wale majaji angewafuta dakika sifuri tu, and wahuni wake wangeanza kuwatukana kuwa siyo wazalendo/wapinga maendeleoHuko mahakamani si ndio wako akina jaji Tiganga? Au unadhani hao mahakama walikuwa hawajui nguvu ya lile kundi la watu wasiojulikana wa Magu?
Chini ya utawala wa Hayati Magufuli, nchi ilikuwa kwenye laana kubwa. Ni kipindi ambacho haki za watu zilikanyagwa, na nchi ikafanywa kuwa jungle, ambapo fisi, mbweha na dubu waliwashambulia kondoo, bila ya kupatikana wa kuzuia uhalifu.Mtu muovu sana alipita nchi hii..Diallo alisema ni miaka 5 iliyopita ni doa jeusi katika history ya nchi yetu
Upinzani walipata 40% ya kura za urais, from 30% ya 2010! Kwa trend hiyo unadhani ingekosa udikteta wa Magu 2020 wangepata ngapi?Uchaguzi mkuu 2015 Kinana alikuwa katibu mkuu ccm. Demokrasia na haki vilikuwepo wakati huo?!
Sidhani kama hilo kosa litarudiwa tena, hawa watu wasiojua misingi ya vyama vyao ni hatari sana kuwapa madaraka makubwa! Naanza kumuelewa Mbowe now kwa nini bado anasita kuachia uenyekiti, kuna watu unaweza kuwaachia madaraka na wakavuruga mambo yote mliyoyajenga kama nchi/chamaChini ya utawala wa Hayati Magufuli, nchi ilikuwa kwenye laana kubwa. Ni kipindi ambacho haki za watu zilikanyagwa, na nchi ikafanywa kuwa jungle, ambapo fisi, mbweha na dubu waliwashambulia kondoo, bila ya kupatikana wa kuzuia uhalifu.
Mahakama ipi kwa muijibu wa katiba ya JMT inauwezo wa kuchunguza shughuli za Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Kesi unazozisikiaga ni kati ya mgombea dhidi ya mgombea mwenzie na si watendaji wa Tume.Kwanini hawakuenda mahakamani?
Kubaki unalialia umeonewa wakati hakuna kesi hata moja mahakamani ya kupinga uchaguzi ni upuuzi na kupoteza muda.
Sukuma gang katika ubora waoHahahaaaa....... Mahera anatisha!
Halafu watu wakapitishwa bila kupinga kuwa wabunge.
Nchi ngumu sana hii.
Lakini wengine wakamdhalilisha kwa kumsukuma na kumtisha !! Ujinga ni mzigo !! Haya sasa wale waliofanya vile Leo wapo wapi ??Mzee Warioba anazidi kuzeeka na hekima zake. Angalau huwa navutiwa kumsikiliza coz he's always straight to the point.
Kesi ya ngedere isikilizwe na nyani? Umeachwa!Kwanini hawakuenda mahakamani?
Kubaki unalialia umeonewa wakati hakuna kesi hata moja mahakamani ya kupinga uchaguzi ni upuuzi na kupoteza muda.
Baada ya kunyimwa ulaji?Mtu muovu sana alipita nchi hii.. Anthony Diallo alisema miaka 5 iliyopita ni doa jeusi katika history ya nchi yetu
Harembi! Vita ni Vita mraah! Nyeusi ni nyeusi! Bashite sijui anajisikiaje??Mzee Warioba anazidi kuzeeka na hekima zake. Angalau huwa navutiwa kumsikiliza coz he's always straight to the point.
Huyo Kinana hayo ameona hayakuwepo 2020 tu?Zaidi ya Nusu za kata nchi nzima CCM ilipita bila kupingwa sasa mahakamani unaenda kufungua kesi Gani wakati hata uchaguzi haukufanyika?
NEC watu walipeleka rufaa zilikaa zaidi ya wiki 2 mpaka 3 huku CCM ilishaanza kampeni ghafla unaambiwa rufaa Yako imefeli!!! Then what?? Hiyo kesi mpaka iishe si inabaki wiki moja kwenda uchaguzi!!!
Nmefurahi kusikia Kinana anakiri kuwa Haki na Demokrasia havikuwepo, na ndio mwanzo mzuri kupata chaguzi zenye matakwa ya wananchi Ili kuleta viongozi wenye tija kwenye maendeleo yao
Usijali 2025 mtashinda kwa kishindoNchi ilipitia kwenye mateso makubwa .
Pichani huyo alikua ni mgombea aliyekua akirejesha fomu ili kuepuka kutekwa na makuwadi wa dikteta ilibidi jamaa avae ushungi.
Udikteta ulitembea kwenye kivuli cha uzalendo uchwara.
View attachment 2176537View attachment 2176537View attachment 2176538
Siku Mahera alipoteuliwa kuwa mkurugenzi Arusha then Nec nilishangaa sana maana tumepiga naye sana ulabu akiwa principal AIM TANZANIA, Tukiwa na totoz pembeni
Jaji Warioba akichangia kwenye mkutano wa TCD leo Dodoma, amenena haya
Miaka yote watu wanaelewa na wanajaza fomu vizuri lakini Mwaka 2020, ghafla watu hawajui kujaza fomu (wanaenguliwa). Hapa lazima kuna namna
Msitazame Wajumbe wa Tume pekee, angalieni Mfumo mzima wa Uchaguzi. Wizi wa kura unaanzia mbali. Unaanzia kwenye Kuandikisha wapiga kura, wakati wa kupiga kura na kutangaza matokeo
Siasa inataka kuingia kwenye dini, zamani viongozi tulikuwa tunakwenda kwenye vyumba vya ibada kama waumini, unasikiliza neno la Mungu. Siku hizi viongozi wakienda wanaombwa kutoa salamu za kisiasa, hii inaweza iingiza siasa katika dini tukapata matatizo
Vyama vingi vimekuwa kama makabila, vinaanza kugawa wananchi. Wananchi walikuwa kama jumuiya lakini siku hizi mambo mengi ya kijamii tunaingiza siasa, mfano msiba ni wa jamii lakini baadhi ya misiba unakuta sare za vyama,"
Katika vyama jumuiya zetu nazo zinakuwa kama za uhasama, badala ya kutuleta pamoja. Hali tuliyo nayo sasa utamaduni umetikiswa kidogo na tunapozungumzia maridhiano, nia yake kuturudisha kwenye utamaduni tuliokuwa nao
Viongozi wa kisiasa wangehubiri amani kama walivyofanya viongozi wa dini miaka michache iliyopita, nchi isingekuwa na malalamiko yanayolalamikiwa hivi sasa “kama wangetenda kama viongozi wa dini, nadhani matatizo haya tunayozungumza tusingekuwa nayo.
Kwa tume ya kina chaijaba Mahera nani ashiriki ushenzi huo?