Ni kweli kabisa tatiza la bongo ni unafiki. Maana comment yako ni ya kinafiki kiwango cha jiwe, ccm, kabudi, .....Possibility kubwa ni kuwa, miaka yote fomu zilikuwa zinajazwa hovyo hovyo bila kuzingatia kanuni, sheria na taratibu, lakini watu wakawa wanafumbia macho au kuangalia pembeni na kuzipitisha kiujumla jumla. Mwaka 2020 watu wakaamua ku-enforce sheria kwa ku-scrutinize fomu ili kuhakikisha kama zipo sawa, kwakuwa watu waliweka mazoea ya ilimradi fomu imejazwa, matokeo ndiyo yakawa yale tuliyoona.
Tatizo bongo yetu ni unafiki.