Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inataliwa Wabunge wote wajiuzjlu kupisha uchaguzi mdogo wa ndani ya miezi 2.Hahahaaaa....... Mahera anatisha!
Halafu watu wakapitishwa bila kupinga kuwa wabunge.
Nchi ngumu sana hii.
Naye ni mnafiki kama wale wengineKwanini hawakuenda mahakamani?
Kubaki unalialia umeonewa wakati hakuna kesi hata moja mahakamani ya kupinga uchaguzi ni upuuzi na kupoteza muda.
Bila katiba mpya hakuna kitakachowezekana. Katiba mbovu ya sasa imewawekea watawala wa sasa mazingira ya kula isivyo khalali, kamwe hawataacha kula bila kulazimishwa kikatiba.Mzee Warioba anazungumza kama Mzee na ni kweli
Ujinga wa viongozi wa dini kukaribishwa kwa salamu umepandwa na kupaliliwa na John P. Magufuli
Tabia ya kuita viongozi wa dini Ikulu imetengenezwa na JPM.
Hivi kuna ulazima gani wa viongozi hao kwenda Ikulu! na imekuwa utamaduni sasa
Marais waliopita walijitahidi sana kuepuka hilo, siku hizi hata kuapishwa kwa katibu mkuu lazima wawepo viongozi. Viongozi wa dini ofisi zao zipo makanisani, misikitini, masinagogi na hekaluni
Tuwaache viongozi wa dini na taasisi zao! Ikulu ni eneo la serikali
Shughuli za kawaida za Ikulu serikali yote inahamia hapo kuanzia Mahakama, Jeshi , Uhamiaji, Polisi n.k. Haya mambo hayana mantiki kabisa .
Tunahitaji viongozi wafanye kazi si kwenda kushuhudia Balozi Slow anaapishwa! ni upotezaji wa muda usio na ulazima
JokaKuu Pascal Mayalla
Jaji Warioba akichangia kwenye mkutano wa TCD leo Dodoma, amenena haya
Miaka yote watu wanaelewa na wanajaza fomu vizuri lakini Mwaka 2020, ghafla watu hawajui kujaza fomu (wanaenguliwa). Hapa lazima kuna namna
Msitazame Wajumbe wa Tume pekee, angalieni Mfumo mzima wa Uchaguzi. Wizi wa kura unaanzia mbali. Unaanzia kwenye Kuandikisha wapiga kura, wakati wa kupiga kura na kutangaza matokeo
Siasa inataka kuingia kwenye dini, zamani viongozi tulikuwa tunakwenda kwenye vyumba vya ibada kama waumini, unasikiliza neno la Mungu. Siku hizi viongozi wakienda wanaombwa kutoa salamu za kisiasa, hii inaweza iingiza siasa katika dini tukapata matatizo
Vyama vingi vimekuwa kama makabila, vinaanza kugawa wananchi. Wananchi walikuwa kama jumuiya lakini siku hizi mambo mengi ya kijamii tunaingiza siasa, mfano msiba ni wa jamii lakini baadhi ya misiba unakuta sare za vyama,"
Katika vyama jumuiya zetu nazo zinakuwa kama za uhasama, badala ya kutuleta pamoja. Hali tuliyo nayo sasa utamaduni umetikiswa kidogo na tunapozungumzia maridhiano, nia yake kuturudisha kwenye utamaduni tuliokuwa nao
Viongozi wa kisiasa wangehubiri amani kama walivyofanya viongozi wa dini miaka michache iliyopita, nchi isingekuwa na malalamiko yanayolalamikiwa hivi sasa “kama wangetenda kama viongozi wa dini, nadhani matatizo haya tunayozungumza tusingekuwa nayo.
Thubutu!Inataliwa Wabunge wote wajiuzjlu kupisha uchaguzi mdogo wa ndani ya miezi 2.
Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
Ina maana vyama vya upinzani tu Tanzania nzima ndiyo walikuwa hawajui kujaza fomu??? Takwimu za kupika pika zitaendelea kuisumbua nchi yetu mpaka mwisho wa dunia.Wengi wao wanatafuta cha kulamu baada ya kushindwa. Baadhi ya form zilizoenguliwa ziliwekwa hapa JF na walalamikaji, na kweli zilikuwa na makosa, ila wao walisema kuwa makosa hayo yalikuwa madogo. Normally ukishafanya kosa, lazima hukumu ifuatie. Usipokubaliana nayo, unakata rufaa. Wengi wao walikata rufaa na kuhurumiwa, lakini siyo kuwa walikuwa wameonewa bali ni kweli kulikuwa na makosa katika kujaza fomu zao. Mmoja aliandika kuwa chama chake ni ACT, lakini kisheria hakuna chama kinaitwa ACT bali kuna ACT-Wazalendo. Ni kosa dogo, lakini ni kosa.
Acha ujinga tangu nizaliwe sijawahi ona yale yaliyofanyika 2019 na 2020 labda watu wa Rwanda na Uganda walishayazoea,uchaguzi unasindikizwa na figisu figisu mara mitutu ya bunduki mara washwa washwa,je huo ni uchaguzi??Kuemguliwa kwani kumeanza 2020 mbona 2014 na 2015 watu walienguliwa pakubwa tu
Masalia ya mwendazake mlijua kutukomesha aiseKwanini hawakuenda mahakamani?
Kubaki unalialia umeonewa wakati hakuna kesi hata moja mahakamani ya kupinga uchaguzi ni upuuzi na kupoteza muda.
Excellent analysisJaji Warioba akichangia kwenye mkutano wa TCD leo Dodoma, amenena haya
Miaka yote watu wanaelewa na wanajaza fomu vizuri lakini Mwaka 2020, ghafla watu hawajui kujaza fomu (wanaenguliwa). Hapa lazima kuna namna
Msitazame Wajumbe wa Tume pekee, angalieni Mfumo mzima wa Uchaguzi. Wizi wa kura unaanzia mbali. Unaanzia kwenye Kuandikisha wapiga kura, wakati wa kupiga kura na kutangaza matokeo
Siasa inataka kuingia kwenye dini, zamani viongozi tulikuwa tunakwenda kwenye vyumba vya ibada kama waumini, unasikiliza neno la Mungu. Siku hizi viongozi wakienda wanaombwa kutoa salamu za kisiasa, hii inaweza iingiza siasa katika dini tukapata matatizo
Vyama vingi vimekuwa kama makabila, vinaanza kugawa wananchi. Wananchi walikuwa kama jumuiya lakini siku hizi mambo mengi ya kijamii tunaingiza siasa, mfano msiba ni wa jamii lakini baadhi ya misiba unakuta sare za vyama,"
Katika vyama jumuiya zetu nazo zinakuwa kama za uhasama, badala ya kutuleta pamoja. Hali tuliyo nayo sasa utamaduni umetikiswa kidogo na tunapozungumzia maridhiano, nia yake kuturudisha kwenye utamaduni tuliokuwa nao
Viongozi wa kisiasa wangehubiri amani kama walivyofanya viongozi wa dini miaka michache iliyopita, nchi isingekuwa na malalamiko yanayolalamikiwa hivi sasa “kama wangetenda kama viongozi wa dini, nadhani matatizo haya tunayozungumza tusingekuwa nayo.
Ni upuzi na Upumbavu zaidi kuamini kuwa kwenda Mahakamani kipindi hicho kungekuwa na,Tija yoyote kwa Mlalamikaji.Kwanini hawakuenda mahakamani?
Kubaki unalialia umeonewa wakati hakuna kesi hata moja mahakamani ya kupinga uchaguzi ni upuuzi na kupoteza muda.
Halafu hajaenda chato tangu aliposindikiza MaitiMasalia ya mwendazake mlijua kutukomesha aise
Waliopita bila kupingwa wamo Nape na Kasimu Majaliwa , tena kwa kuteka wagombea wa upinzani na kuokotwa Mkuranga , hii ni aibu kubwa sana !Hahahaaaa....... Mahera anatisha!
Halafu watu wakapitishwa bila kupinga kuwa wabunge.
Nchi ngumu sana hii.
Ni wapi ambapo Mahera aliwahi kusema tatizo ni aliyemteua ? usimlishe manenoTatizo halikuwa Mahera, lilikuwa aliyemteua Mahaera
Stretch your thinking a bit.Kwanini hawakuenda mahakamani?
Kubaki unalialia umeonewa wakati hakuna kesi hata moja mahakamani ya kupinga uchaguzi ni upuuzi na kupoteza muda.
Kuna Mgombea alibisha kuwa anajua kusoma na kuandika akaandikiwa Zinjathroupus akashindwa kusoma wakala kichwa