Jaji Warioba: Miaka yote watu wanaelewa kujaza fomu, lakini 2020 ghafla hawajui. Siasa inataka kuingia kwenye Dini

2020 haukuwa uchaguzi bali teuzi kutoka kiti kikuu jumba jeupe.
 
Mzee Warioba anazungumza kama Mzee na ni kweli

Ujinga wa viongozi wa dini kukaribishwa kwa salamu umepandwa na kupaliliwa na John P. Magufuli
Tabia ya kuita viongozi wa dini Ikulu imetengenezwa na JPM.

Hivi kuna ulazima gani wa viongozi hao kwenda Ikulu! na imekuwa utamaduni sasa

Marais waliopita walijitahidi sana kuepuka hilo, siku hizi hata kuapishwa kwa katibu mkuu lazima wawepo viongozi. Viongozi wa dini ofisi zao zipo makanisani, misikitini, masinagogi na hekaluni
Tuwaache viongozi wa dini na taasisi zao! Ikulu ni eneo la serikali

Shughuli za kawaida za Ikulu serikali yote inahamia hapo kuanzia Mahakama, Jeshi , Uhamiaji, Polisi n.k. Haya mambo hayana mantiki kabisa .

Tunahitaji viongozi wafanye kazi si kwenda kushuhudia Balozi Slow anaapishwa! ni upotezaji wa muda usio na ulazima


JokaKuu Pascal Mayalla
 
Kwanini hawakuenda mahakamani?

Kubaki unalialia umeonewa wakati hakuna kesi hata moja mahakamani ya kupinga uchaguzi ni upuuzi na kupoteza muda.
Naye ni mnafiki kama wale wengine
 
Bila katiba mpya hakuna kitakachowezekana. Katiba mbovu ya sasa imewawekea watawala wa sasa mazingira ya kula isivyo khalali, kamwe hawataacha kula bila kulazimishwa kikatiba.
 

Kuemguliwa kwani kumeanza 2020 mbona 2014 na 2015 watu walienguliwa pakubwa tu
 
Ina maana vyama vya upinzani tu Tanzania nzima ndiyo walikuwa hawajui kujaza fomu??? Takwimu za kupika pika zitaendelea kuisumbua nchi yetu mpaka mwisho wa dunia.
 
Kuemguliwa kwani kumeanza 2020 mbona 2014 na 2015 watu walienguliwa pakubwa tu
Acha ujinga tangu nizaliwe sijawahi ona yale yaliyofanyika 2019 na 2020 labda watu wa Rwanda na Uganda walishayazoea,uchaguzi unasindikizwa na figisu figisu mara mitutu ya bunduki mara washwa washwa,je huo ni uchaguzi??
 
Excellent analysis
 
Tutazunguka we lakini kumaliza hili bila kufumua mfumo wa idara ya usalama kuwa under SIMBA WA YUDA nikuuzunguka mbuyu.Uozo na madhara yote wanayajua,sasa nani apambane na simba wa Yuda.
 
Kwanini hawakuenda mahakamani?

Kubaki unalialia umeonewa wakati hakuna kesi hata moja mahakamani ya kupinga uchaguzi ni upuuzi na kupoteza muda.
Ni upuzi na Upumbavu zaidi kuamini kuwa kwenda Mahakamani kipindi hicho kungekuwa na,Tija yoyote kwa Mlalamikaji.
 
Hahahaaaa....... Mahera anatisha!

Halafu watu wakapitishwa bila kupinga kuwa wabunge.

Nchi ngumu sana hii.
Waliopita bila kupingwa wamo Nape na Kasimu Majaliwa , tena kwa kuteka wagombea wa upinzani na kuokotwa Mkuranga , hii ni aibu kubwa sana !

Hata hivyo ifahamike kwamba KILA UBAYA UTALIPWA .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…