Jaji Warioba: Viongozi na wanahabari acheni uchawa mnaumiza wananchi
Baada ya hapo, taasisi ya Pascal Mayalla ya PRRR ilikosa kabisa kazi/ biashara, akakutana Na rejection ya hali ya juu, njaa ikampiga vibaya. Baada ya hapo akajiunga Na timu ya CHAWA wa Magu Na baadae akahamia timu ya chawa wa mama
Mkuu Jemima Mrembo, sijawahigi kuwa chawa wa Magu, nilichokifanya ni kumkubali JPM kwa utendaji wake na mazuri yake, ikiwemo kuikubali hali halisi, angalia bandiko hili ni la lini Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

Nchi ilikuwa inaendeshwa kwa the law of the jungle, adapt and survive, or komae u perish!. I chose to survive.

Tukija kwa Samia, sio kweli nimeanza kumkubali baada ya kuwa rais wa JMT!, angalia Samia nimeanza nae lini!. New Cabinet: Baadhi ya Majina ni Haya Hapa! hii ni 2010
Hivyo kusema Samia nimeanza kumkubali leo, sio kunitendea haki.
Pamoja na kumkubali kote Samia, mimi sio chawa wa Samia, chawa hawezi kupandisha bandiko kama HII !.
P
 
Mkuu Jemima Mrembo, sijawahigi kuwa chawa wa Magu, nilichokifanya ni kumkubali JPM kwa utendaji wake na mazuri yake, ikiwemo kuikubali hali halisi, angalia bandiko hili ni la lini Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

Nchi ilikuwa inaendeshwa kwa the law of the jungle, adapt and survive, or komae u perish!. I chose to survive.

Tukija kwa Samia, sio kweli nimeanza kumkubali baada ya kuwa rais wa JMT!, angalia Samia nimeanza nae lini!. New Cabinet: Baadhi ya Majina ni Haya Hapa! hii ni 2010
Hivyo kusema Samia nimeanza kumkubali leo, sio kunitendea haki.
Pamoja na kumkubali kote Samia, mimi sio chawa wa Samia, chawa hawezi kupandisha bandiko kama HII !.
P
Pascal Mayalla, Mnyonge haki yake mpeni. Kitendo cha kupenda kurejea mambo ya awamu ya Tano ndo uchawa wenyewe huo kwa sababu, ni kipi kinamfanya mwandishi Mkongwe kama Pascal Mayalla kuogopa kuzungumza ya hovyo yanayoendelea nchini kwa sasa unarejea ya awamu ya Tano?

Kwa mfano, Sativa ametekwa awamu ya sita husemi!
Ndugai ameondolewa kimizengwe awamu ya sita Husemi!
Mfanyabiashara wa madini mtwara ameuwa mikononi mwa polisi Pascal Mayalla husemi!
Wawekezaji wa kigeni wanabambikizwa kodi na TRA awamu hii ya 6 Husemi

Msanii anafungwa kwa kuchoma picha ya Samia husemi!
Ney wa mitego anafungiwa kufanya shughuli za mziki awamu hii ya 6 husemi!

Ripoti ya CAG imejaa ubadhirifu mkubwa Rais anaishia kusema STUPIT wanahabari wakongwe hamsemi kitu!
Report ya Mto Mara ( Maarufu kama RIPOTI YA MAVI YA NGOMBE) na madhara watu walipata nini serikali hii ilifanya kuwasamini raia wake!

Aliyekuwa Waziri wa kilimo Adof Mkenda alitukanwa hadharani kwa kuambiwa NOSENSE kisa tu alikataa kutoa vibar vya kuagiza sukari kinyume cha sheria kwa WAUZA VOCHA waandishi wakongwe mnaona sawa tu

Viongozi wameruhusiwa kula kwa urefu wa kamba zao Pascal Mayalla unaona sawa tu kwa sababu aliyepo una mahaba naye.

Nchi haina FEDHA ZA KIGENI hususani US Dolla Waandishi machawa mnaona sawa tu!
US Dollar inapanda kila siku kwa kasi kubwa mnaona sawa tu. 2015 to 2021 Dollar ilipanda kutoka 2170 to 2290 lakin 2021 to 2024 US Dollar imepanda Kutoka 2290 to 2700 nini hii jamini!

Pascal Mayalla , mnyonge mnyonge haki yake mpeni. Ivi ni kitu gani kibaya JPM (awamu ya Tano) Kilifanya ambacho hakijafanywa na awamu ya 6. Naomba tutaje humu humu
 
08 Juky 2024

DC BOMBOKO ATIMULIWA NA WAFANYABIASHARA DAR ES SALAAM

View: https://m.youtube.com/watch?v=IksYKndA9i4
Baada ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko kuwasili eneo la Soko la Simu2000, wafanyabiashara wamemtaka aondoke.Hatua ya kumfukuza kiongozi huyo inatokana na kile walichodai hawana imani naye katika kushughulikia changamoto yao.....

DC Hassan Bomboko ambaye pia alivuma katika operesheni iliyoendeshwa kibabe ya inayosemekana wananchi wanaonekana kujiuza miili huko Ubungo Dar es Salaam kutokana na mavazi yao ... au kukutwa wamelala guest House


Leo wafanyabiashara wa soko la Simu2000 wameamua hatoshi kwa uongozi wake wa staili ya kibabe isiyoshirikisha umma wala kutaka kusikiliza maoni ...
 
Wilaya ya Ubungo,
Dar es Salaam, Tanzania

1720450768781.png
 
08 July 2024
Ubungo, Dar es Salaam
Tanzania

ENEO LA SIMU2000 UBUNGO DSM
Wafanyabiashara walaumu viongozi wa wilaya, halmashauri na pia vyombo vya habari yaani media kwa kutoa taarifa zisizo sahihi ..... kuhusu eneo la SIMU2000 jijini ....

View: https://m.youtube.com/watch?v=LOfm5sIbnIE
 
DC Hassan Bomboko ambaye pia alivuma katika operesheni iliyoendeshwa kibabe ya inayosemekana wananchi wanaonekana kujiuza miili huko Ubungo Dar es Salaam kutokana na mavazi yao ... au kukutwa wamelala guest House

09 July 2024

KESI YA MAKAHABA YAZIDI KUTIKISA, HAKIMU ATOA ONYO KWA SERIKALI, ATISHIA KUIFUTA KESI MAHAKAMANI


View: https://m.youtube.com/watch?v=wH1t99MM7ic
Mawakili Peter Madeleka, Kambole na Mushi wazidi kuwabana upande wa serikali ....
 
jaji Joseph Warioba kuonesha tabaka .... wananchi wamekuwa kama ni mali ya viongozi wakati wananchi ndiyo waliowaajiri viongoziv....

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ashindwa kufuata ushauri wa jaji Warioba.

13 July 2024
Ubungo, Dar es Salaam
Tanzania

RC Albert Chalamila afika Soko la SIMU2000 na kufoka kuwa ameacha kazi zake leo jumamosi tarehe 13 July 2024 kufika soko hilo na kukuta hoja kinzani zilizomfanya afoke :

RC CHAMILA AKASIRIKA, WAFANYABIASHARA WA SIMU 2000 WAMKERA “NITAWAVURUGA, NITAONDOKA NA NINYI”​


View: https://m.youtube.com/watch?v=ufIjTfa6Dsc
RC Chalamila atishia kutumia chombo cha dola yaani jeshi la Polisi kutisha wafanyabiashara waliotofautiana naye ...
 
Mimi kwangu Huyu na Mzee Butiku ndiyo Wazee waliobaki ambao angalau wakisema unakaa chini unatulia kusikiliza wanasema nini!
 
RC Chalamila atishia kutumia chombo cha dola yaani jeshi la Polisi kutisha wafanyabiashara waliotofautiana naye ...

BAVICHA WAMVAA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, KUFUATIA MKUTANO WA CHALAMILA JULY 13, 2024 SIMU2000


View: https://m.youtube.com/watch?v=Sci0fwwK__c

Uongozi wa juu wa BAVICHA wafuatilia kwa karibu utendaji wa kazi wa viongozi wa serikali mkoani Dar es Salaam

BAVICHA haikubaliani wafanyabiashara wadogo kunyanyaswa na viongozi wa serikali ya mkoa na haivumiliki kuufungia macho.

Wafanyabiashara wa Soko Kuu Kariakoo na soko la SIMU2000 Ubungo yote yapo jijini Dar es Salaam wamekuwa wakinyanyaswa sana na uongozi wa wilaya za Ubungo na Ilala huku mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam RC Albert Chalamila akiwakingia kifua maDC wa wilaya hizo kuwanyanyasa wafanyabiasha zaidi ya 5,000
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ashindwa kufuata ushauri wa jaji Warioba.

13 July 2024
Ubungo, Dar es Salaam
Tanzania

RC Albert Chalamila afika Soko la SIMU2000 na kufoka kuwa ameacha kazi zake leo jumamosi tarehe 13 July 2024 kufika soko hilo na kukuta hoja kinzani zilizomfanya afoke :

RC CHAMILA AKASIRIKA, WAFANYABIASHARA WA SIMU 2000 WAMKERA “NITAWAVURUGA, NITAONDOKA NA NINYI”​


View: https://m.youtube.com/watch?v=ufIjTfa6Dsc
RC Chalamila atishia kutumia chombo cha dola yaani jeshi la Polisi kutisha wafanyabiashara waliotofautiana naye ...



13 July 2024
Ubungo, Dar es Salaam
Tanzania

RC Chalamila Atimiza Ahadi ya Kukutana na Wafanyabiashara wa Simu 2000​

thumb_2967_800x420_0_0_auto.jpg
Posted On: July 13th, 2024
PHOTO-2024-07-13-17-24-38.jpg

-Awakutanisha DART, Manispaa ya Ubungo na Wafanyabishara wadogo.
-Aeleza dhamira ya Serikali kutekeleza mradi huo
-Asisitiza bado serikali itaendelea kujali na kuweka mazingira rafiki kwa wafanyabiashara wadogo
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo julai 13,2024 amekutana na wafanyabishara wa Simu 2000 ikiwa ni ahadi aliyoitoa wiki iliyopita baada ya wafanyabiashara hao kufanya mgomo katika eneo hilo.
RC Chalamila akiwa katika eneo la kituo cha Simu 2000 amewakutanisha wafanyabiashara hao na wakala wa mabasi yaendayo kasi DART, na Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ambapo mawasilisho ya utekelezaji wa mradi wa kujenga karakana kwa ajili ya mabasi ya mwendokasi na umuhimu wake kwa pande zote mbili Manispaa na DART yaliwasilishwa kwa uwazi mbele ya wafanyabiashara hao
PHOTO-2024-07-13-17-24-37.jpg

Aidha RC Chalamila alitoa nafasi kwa wafanyabiashara hao kutoa maoni huku akiweka wazi dhamira ya serikali kutekeleza mradi huo ambao una masilahi mapana kwa umma na kuwahakikishia pamoja na kutekelezwa kwa mradi huo bado kuna sehemu ambayo wafanyabiashara hao watapatiwa ili kufanya biashara zao lakini pia katika kipindi chote cha kutekeleza mradi huo utaratibu utawekwa ili kutovuruga biashara zilizoko.
PHOTO-2024-07-13-17-24-36.jpg

Vilevile RC Chalamila amesema hakuna serikali isiyojali wafanyabiashara bali inapotokea kuna mradi wenye masilahi mapana kwa umma lazima tupishe,pia sio vizuri kuwa na migomo ya mara kwa mara kama una maoni au ushauri wasilisha katika njia nzuri “wale wote waliotoa maoni leo yenye tija wakati wa kutekeleza mradi huo yatazingatiwa kwa umakini mkubwa”.Alisema Chalamila
Mwisho RC Chalamila ametoa rai kwa wakazi wa Mkoa huo kuilinda Dar es Salaam kwa nguvu zote Amani ikitoweka athari zake ni kubwa.
PHOTO-2024-07-13-17-24-35.jpg
 
Dar Es Salaam, Tanzania

MAHOJIANO EXCLUSIVE :

Musa Ndile mmoja wa viongozi wa soko la SIMU2000 jijini Dar es Salaam, Kielelezo cha raia wengine walioamua kujiajiri kama yeye, lakini serikali huja baadaye kuwaharibia juhudi zao ...

ALIYESHUTUMIWA KUWA ASKARI WA SIRI WA CHADEMA (JASUSI) AWEKA KILAKITU WAZI / HAWA WANAMHARIBIA RAIS


View: https://m.youtube.com/watch?v=Hup8DRWBKzM

msikilize kwa Musa Ndile ambaye ni mfanyabiashara mdogo (mmachinga) kutoka soko la SIMU 2000, wilayani Ubungo kata ya Sinza mkoa wa Dar es Salaam.

Ukiwa mgeni katika watu watatu hapo kwenye video,kama ukiambiwa kuna Mkuu wa Mkoa mmoja, Mkuu wa wilaya mmoja na Mmachinga mmoja. Unaweza kufikiri huyu anaye ongea ndiyo Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa Wilaya kumbe ndiyo mmachinga mwenyewe kwa kutiririka kwa umakini huku akirejea kazi data walizonazo wafanyabiashara wa soko la SIMU2000 ...
1721049081922.png

Musa Ndile anapangilia hoja zake kwa mifano,anarejea nukuu za viongozi na anatakwimu za Wafanyabiashara wenzie, takwimu za mapato,anajua na kiasi cha fedha kilichowekezwa na serikali.

Musa ndile ni mwenyeji wa Mkoa wa Rukwa alikuja Dar es saalam kwa ajili ya Masomo ya Chuo kikuu baada ya Kupangiwa na TCU. Akaja kusoma Chuo kikuu cha Institute of Finance Management (IFM ) na kumaliza mwaka 2013, Bachelor of Science in Information technology.

Musa Ndile aliamua asirudi kwao Sumbawanga, Rukwa akaamua kuwa mfanyabiashara mdogo mdogo baada ya kusota na kukosa ajira kwa miaka yote hadi leo hii, ana vyeti ambavyo vimegeuka kuwa mapambo kabatini kwake.

Musa aliamua kujiajiri mwenyewe kwa kuanzisha biashara ya kuuza nguo za mitumba soko la simu 2000. Biashara ambayo alianza kwa mtaji wa Tsh 50,000/= leo ameanza kuimarika kupata japo chakula chake cha uhakika. Anashuhudia serikali iliyomnyima ajira na kukuacha mtaani bila msaada inakuja tena mahala pake pa kupata riziki eti imeamua kumgawia Mwekezaji bure kabisaaaaaaaa...!

Haya ndiyo maisha ya maelfu ya vijana wa Kitanzania wanapitia kila siku. Wanaachwa na serikali bila msaada wowote na hata wanapoamua kujisaidia wao wenyewe serikali inarudi tena kwao njia nyingine kuwaharibia maisha waliyojisaidia wenyewe.
 
Wasomi walaani serikali kandamizi Kenya, LSK chama cha mawakili Kenya LSK na waandishi wa habari wajitokeza kupinga ubeberu wa serikali

LSK condemns attacks on journalists covering protests​

LSK President Faith Odhiambo said the move violates press freedom.​

In Summary
  • Wanjeri, a Radio/TV reporter with Media Max was shot three times in the thigh in a blatant attack on the press.
  • She was identifiable as she wore a press jacket, had a media tag and a branded microphone.
by PERPETUA ETYANG
18 July 2024 - 19:14
Nairobi, Kenya

Nakuru journalists protest against the shooting of journalist Catherine Kariuki during anti-government demos in Nakuru town on July 17, 2024
Nakuru journalists protest against the shooting of journalist Catherine Kariuki during anti-government demos in Nakuru town on July 17, 2024
Image: FILE
The Law Society of Kenya has condemned the recent attacks on media freedom.

In a statement, LSK President Faith Odhiambo said the move violates press freedom.
She condemned the shooting of journalist Catherine Wanjeri in Nakuru and the abduction of veteran journalist Macharia Gaitho.

Gaitho was arrested and later released with police apologising saying it was a case of mistaken identity.
"These incidents report serious violations of press freedom, crucial for democracy and enshrined in the Constitution," she said.
"As the Law Society of Kenya, we will continue to monitor developments across the country and offer our support to all those in need. We remain dedicated to our statutory mandate of upholding the constitution, and we urge members of the public to report all incidences to the Law Society of Kenya to enable expeditious intervention."
Odhiambo said they have responded to calls by members of the public who have dutifully brought instances of human rights violations to our attention.
Wanjeri, a Radio/TV reporter with Media Max was shot three times in the thigh.
She was identifiable as she wore a press jacket, had a media tag and a branded microphone.
She was taken to Valley Hospital for first aid and thereafter referred to Rift Valley Provincial Hospital annexe for surgery.

All the three rubber bullets that were lodged in her thigh were removed and medics say she is responding well to treatment.
The Media Council of Kenya (MCK) has also condemned the shooting.
MCK CEO David Omwoyo termed the incident as shameful and terrifying.
"The shooting of Catherine Wanjeri Kariuki, a journalist attached to Kameme TV, while in the company of other journalists and the police is shameful and terrifying," he said.
The Kenya Editors' Guild also condemned the continued, targeting, and brazen attacks on journalists covering protests.
Journalist in Nakuru on Wednesday held a peaceful protest of the shooting against their colleague.
They gathered at the railway ground before starting their walk through Kenyatta Avenue which is the main street in the busy city.
They stopped briefly at the spot where Catherine Wanjeri Kariuki was shot three times as she covered the anti-government protests on Tuesday.
They then proceeded through to government road, joined Oginga Odinga road to Nakuru central police station where they sought audience with the county police commander, Samuel Ndanyi
 
Katiba Institute Yashinda Kesi Dhidi ya Zuio la Maandamano lilotolewa. Mhimili huru wa Mahakama umetafsiri kuwa agizo la marufuku ya maandamano ni batili kikatiba

HABARI KAMILI :
18 Jul2024
Nairobi, Kenya

Mahakama yabatilisha agizo la Inspekta wa polisi Kuzuia Maandamano​


View: https://m.youtube.com/watch?v=Y0ICTuvDGJ0
Mahakama kuu nchini imebatilisha amri ya kaimu inspekta wa polisi Douglas Kanja ya kupiga marufuku maandamano kwa kipindi kisichojulikana. Katika kesi iliyowasilishwa mahakamani na shirika la katiba institute, mahakama imemuamuru kanja kutoa taarifa kwa maafisa wote akibatilisha amri yake.
 
29 July 2024

Waandishi wa habari wambana Mpina kwa maswali:

View: https://m.youtube.com/watch?v=qqdrkt4iZHw
  • hatua yake kukikosea kiti cha spika,
  • hatua yake ya kwenda mahakamani dhidi ya mawaziri wa CCM siyo usaliti dhidi ya chama chako,
  • kamati ya haki na maadili ya Bunge,
  • mivutano ya Mpina na mawaziri wa sekta mbalimbali,
  • mabadiliko ya karibuni Nape Nnauye na January Makamba kutimuliwa maana yake ni nini
  • n.k
 
Back
Top Bottom