Jaji Werema: Tumepitia magumu awamu ya 5, Katiba Mpya ni muhimu

Jaji Werema: Tumepitia magumu awamu ya 5, Katiba Mpya ni muhimu

View attachment 2057716

Huyu alikuwa Mwanasheria Mkuu awamu ya nne. Anasema nchi imepitia magumu sana awamu ya Magufuli. Kwamba Rais alitumia vibaya madaraka makubwa aliyopewa kwenye katiba iliyopo.
Katiba hii anayoipinga ndiyo enzi zake iliwawezesha kuchota hela za escrow na kutoshtakiwa. Yakija hayo mabadiliko anayoyataka basi maisha yao yote watayamalizia jela maana haitaruhusu kabisa ufisadi.
 
View attachment 2057716

Huyu alikuwa Mwanasheria Mkuu awamu ya nne. Anasema nchi imepitia magumu sana awamu ya Magufuli.

Kwamba Rais alitumia vibaya madaraka makubwa aliyopewa kwenye katiba iliyopo.
hata sasa bado inatumika vibaya,katiba ya sasa inafanya hatuna uhakika wakesho yetu nchi haina sera ya taifa kila kiongozi akija anakuja na lake,unakuta yaliokataliwa mwanzo yatafanywa sasa,badala yakuwa viongozi wanakuwa watawala harafu watu niwale wale wanageuza maneno tu! Wakati dunia inapambana nawaharifu nawavunja katiba zao wao wanaweka sheria zakuwakinga waharifu tena kwa viongozi wamihimili mikuu ya nchi..
 
Back
Top Bottom