Haa huyu jamaa amepona chupu chupu maana pressures ilikuwa juu muda wote aungane na akina rugemarila soon kwa sasa lazima apumue aiseeView attachment 2057716
Huyu alikuwa Mwanasheria Mkuu awamu ya nne. Anasema nchi imepitia magumu sana awamu ya Magufuli.
Kwamba Rais alitumia vibaya madaraka makubwa aliyopewa kwenye katiba iliyopo.
Sent using Jamii Forums mobile app