Jaji Werema: Tumepitia magumu awamu ya 5, Katiba Mpya ni muhimu

Jaji Werema: Tumepitia magumu awamu ya 5, Katiba Mpya ni muhimu

Jf pekee yao ndio seheme watu wanadai katiba mpya wakati huku mtaani hata hyo ya ssa hawaijui na wala hawajaisoma ssa si jui tuanze na ipi maana jf watu hata mil 5 hawafiki
Hii haifanyi isiwe uhimu. Hata wanachama wa ccm wengi tu hawajui katiba yao, hata cdm lakini ndizo zinazotumika kuendesha hivyo vyama. So watu kutojua katiba hakufanyi katiba bora isiwe muhimu huku ni kujazana ujinga.
 
Hahaha mbona hakuliona Enzi hizo kwani Enzo zake katiba haikufanya kazi, ila tumshukuru kwa kugeuka na kuona ukweli. Asante mheshimiwa. Nakukumbuka enzi za tumbili Kafulila.
Also Judge Warema he got his voice back!!wengi wa hawa walipoteza sauti zao!
 
Huyu werema si ndie aliyetumika na jiwe.
Wapo waliokuzulu punde baada ya jiwe kukalia usukani
 
Katiba hii anayoipinga ndiyo enzi zake iliwawezesha kuchota hela za escrow na kutoshtakiwa. Yakija hayo mabadiliko anayoyataka basi maisha yao yote watayamalizia jela maana haitaruhusu kabisa ufisadi.
Jinga sana,aliapa kwa kuitumikia na kuilinda wakati akijua kabisa haifai.
 
Hahaha mbona hakuliona Enzi hizo kwani Enzo zake katiba haikufanya kazi, ila tumshukuru kwa kugeuka na kuona ukweli. Asante mheshimiwa. Nakukumbuka enzi za tumbili Kafulila.
Kwenye moja ya maelezo yake kuna mahali alisema kiongozi hata akikosea hatakiwi kuchukuliwa hatua Kama raia.
 
hata sasa bado inatumika vibaya,katiba ya sasa inafanya hatuna uhakika wakesho yetu nchi haina sera ya taifa kila kiongozi akija anakuja na lake,unakuta yaliokataliwa mwanzo yatafanywa sasa,badala yakuwa viongozi wanakuwa watawala harafu watu niwale wale wanageuza maneno tu! Wakati dunia inapambana nawaharifu nawavunja katiba zao wao wanaweka sheria zakuwakinga waharifu tena kwa viongozi wamihimili mikuu ya nchi..
Wabunge wa CCM hawafai kbs kbs.
 
Katiba mpya ndio itaipa nchi hii hatua moja muhimu sana ya kusonga mbele, vinginevyo ni mark time tu.
 
Hivi hawa mamluki wanapata wapi guts za kujifanya wapo upande wa wananchi sasa?

Yes, huenda katiba mpya inahitajika lakini wa kuipigania sio hawa kina Werema, Slowslow, wahuni na viroboto wenzake wote...
 
Back
Top Bottom