Jaji Werema: Tumepitia magumu awamu ya 5, Katiba Mpya ni muhimu

Jaji Werema: Tumepitia magumu awamu ya 5, Katiba Mpya ni muhimu

Jf pekee yao ndio seheme watu wanadai katiba mpya wakati huku mtaani hata hyo ya ssa hawaijui na wala hawajaisoma ssa si jui tuanze na ipi maana jf watu hata mil 5 hawafiki

Huku mtaani watu wote tunajua shetani ni mbaya, lakini kwenye nyumba za ibada tu ndio kuna mahubiri hayo. Je tuseme huko kwenye nyumba za ibada tu ndio wanaamini shetani ni mbaya? Sasa hivi hata mtu akivaa t-shirt ya katiba mpya, au kuandaa kongamano la katiba mpya anakamatwa. Kisha unakuja kusema huku jf tu ndio wanataka katiba mpya! Humuwezi kupingana na mahitaji ya wakati kwa kufanya hila.
 
Katiba mpya haikwepek taifa lime pita ktk kipindi kigumu sana. Wtu wa aina hiyo hutokea mara kwa mara na huja kulipa visasi kwa wanaoamini walichangia maumivu yao au wapendwa wao.
 
Katiba hii anayoipinga ndiyo enzi zake iliwawezesha kuchota hela za escrow na kutoshtakiwa. Yakija hayo mabadiliko anayoyataka basi maisha yao yote watayamalizia jela maana haitaruhusu kabisa ufisadi.
Hata kama swali lako litakosa majibu lakini ukweli utabaki palepale kuwa Raisi wa kwanza wa nchi hii kwa nini alibariki uovu wa katiba ya 1977 na huyo huyo akalazimisha uwepo wa mfumo wa vyama vingi vya siasa halafu bila katiba inayoendana na mfumo wa vyama vingi vya siasa.Yule ndie aliekuwa mchawi namba moja alietufikisha hapa tulipo.
 
Jaji werema huyu Huyu aliyewahi kuwa AG serikali ya awamu ya nne?? Iliyoshitumiwa na mwendazake kwamba ilibadilisha vifungu vya Sheria zilizopitishwa na bunge pasipo Bunge kujua?? Any way kila jiwe litafunuliwa.
 
Jf pekee yao ndio seheme watu wanadai katiba mpya wakati huku mtaani hata hyo ya ssa hawaijui na wala hawajaisoma ssa si jui tuanze na ipi maana jf watu hata mil 5 hawafiki
Mtaa gani? Labda uwanja wa fisi Manzese
 
😁😁😁
16403302158000.jpg
 
View attachment 2057716

Huyu alikuwa Mwanasheria Mkuu awamu ya nne. Anasema nchi imepitia magumu sana awamu ya Magufuli.

Kwamba Rais alitumia vibaya madaraka makubwa aliyopewa kwenye katiba iliyopo.
Kumbe ana akili sometimes!
Amenena vyema.
Kujaribu kuzuia vuguvugu la KATIBA MPYA majira hii ya sasa ni sawa na kujaribu kudhibiti kimbunga kwa mikono!
 
Back
Top Bottom