Hii haifanyi isiwe uhimu. Hata wanachama wa ccm wengi tu hawajui katiba yao, hata cdm lakini ndizo zinazotumika kuendesha hivyo vyama. So watu kutojua katiba hakufanyi katiba bora isiwe muhimu huku ni kujazana ujinga.Jf pekee yao ndio seheme watu wanadai katiba mpya wakati huku mtaani hata hyo ya ssa hawaijui na wala hawajaisoma ssa si jui tuanze na ipi maana jf watu hata mil 5 hawafiki
Kutokusema awamu ya nne kunaondoa umuhimu wa katiba sasa?Huyu nae ni jipu tu! Alikuwa wapi? Kudai katiba awamu ya nne? Shit hole
Also Judge Warema he got his voice back!!wengi wa hawa walipoteza sauti zao!Hahaha mbona hakuliona Enzi hizo kwani Enzo zake katiba haikufanya kazi, ila tumshukuru kwa kugeuka na kuona ukweli. Asante mheshimiwa. Nakukumbuka enzi za tumbili Kafulila.
Kesi ya uhujumu ingemhusuAlso Judge Warema he got his voice back!!wengi wa hawa walipoteza sauti zao!
Upumbavu kabisa huuView attachment 2057716
Huyu alikuwa Mwanasheria Mkuu awamu ya nne. Anasema nchi imepitia magumu sana awamu ya Magufuli.
Kwamba Rais alitumia vibaya madaraka makubwa aliyopewa kwenye katiba iliyopo.
Jinga sana,aliapa kwa kuitumikia na kuilinda wakati akijua kabisa haifai.Katiba hii anayoipinga ndiyo enzi zake iliwawezesha kuchota hela za escrow na kutoshtakiwa. Yakija hayo mabadiliko anayoyataka basi maisha yao yote watayamalizia jela maana haitaruhusu kabisa ufisadi.
Kwenye moja ya maelezo yake kuna mahali alisema kiongozi hata akikosea hatakiwi kuchukuliwa hatua Kama raia.Hahaha mbona hakuliona Enzi hizo kwani Enzo zake katiba haikufanya kazi, ila tumshukuru kwa kugeuka na kuona ukweli. Asante mheshimiwa. Nakukumbuka enzi za tumbili Kafulila.
Tutachukua viwanja vyetu vyoote vya mpira wa miguu.kwa madudu waliyoifanyia nchi lazima waiogope katiba mpya maana itawaadhibu.
Lakini Ni watu, na wakienda mitaani wanatekwa na kina Kingai na kupewa bogus terrorism chargesJf pekee yao ndio seheme watu wanadai katiba mpya wakati huku mtaani hata hyo ya ssa hawaijui na wala hawajaisoma ssa si jui tuanze na ipi maana jf watu hata mil 5 hawafiki
Wabunge wa CCM hawafai kbs kbs.hata sasa bado inatumika vibaya,katiba ya sasa inafanya hatuna uhakika wakesho yetu nchi haina sera ya taifa kila kiongozi akija anakuja na lake,unakuta yaliokataliwa mwanzo yatafanywa sasa,badala yakuwa viongozi wanakuwa watawala harafu watu niwale wale wanageuza maneno tu! Wakati dunia inapambana nawaharifu nawavunja katiba zao wao wanaweka sheria zakuwakinga waharifu tena kwa viongozi wamihimili mikuu ya nchi..
Sasa umefuata nini huku.Jf pekee yao ndio seheme watu wanadai katiba mpya wakati huku mtaani hata hyo ya ssa hawaijui na wala hawajaisoma ssa si jui tuanze na ipi maana jf watu hata mil 5 hawafiki
naona jamaa ana machungu ya kuachwaView attachment 2057716
Huyu alikuwa Mwanasheria Mkuu awamu ya nne. Anasema nchi imepitia magumu sana awamu ya Magufuli.
Kwamba Rais alitumia vibaya madaraka makubwa aliyopewa kwenye katiba iliyopo.
Mali zote zilizopatikana chini ya mfumo wa chama kimoja (Kabla ya 1961 hadi 1992), ni lazima zirudi kwa Watanzania wote chini ya Mrajisi wa SerikaliTutachukua viwanja vyetu vyoote vya mpira wa miguu.
Hata huyo mashungi anatumia vibaya wakati anajua urais wake unatokana na uchaguzi haramuView attachment 2057716
Huyu alikuwa Mwanasheria Mkuu awamu ya nne. Anasema nchi imepitia magumu sana awamu ya Magufuli.
Kwamba Rais alitumia vibaya madaraka makubwa aliyopewa kwenye katiba iliyopo.
Kwani Samia na Magufuli wana tofauti gani ?Katiba mpya ni lazima ili kuepuka kupata jiwe zito zaidi ya Jiwe lililopapasuka.