Haa huyu jamaa amepona chupu chupu maana pressures ilikuwa juu muda wote aungane na akina rugemarila soon kwa sasa lazima apumue aiseeView attachment 2057716
Huyu alikuwa Mwanasheria Mkuu awamu ya nne. Anasema nchi imepitia magumu sana awamu ya Magufuli.
Kwamba Rais alitumia vibaya madaraka makubwa aliyopewa kwenye katiba iliyopo.
Jaji wa hivyo kuwahi kutokea nadhani kipi cha jijwa alikuwa analala massa 4 kwa siku kwa kuwa muda wowote alikuwa anajihisi ni mfungwaKatiba hii anayoipinga ndiyo enzi zake iliwawezesha kuchota hela za escrow na kutoshtakiwa. Yakija hayo mabadiliko anayoyataka basi maisha yao yote watayamalizia jela maana haitaruhusu kabisa ufisadi.
Kipindi kile alimwita mtu 1 tumbiliView attachment 2057716
Huyu alikuwa Mwanasheria Mkuu awamu ya nne. Anasema nchi imepitia magumu sana awamu ya Magufuli.
Kwamba Rais alitumia vibaya madaraka makubwa aliyopewa kwenye katiba iliyopo.
View attachment 2057716
Huyu alikuwa Mwanasheria Mkuu awamu ya nne. Anasema nchi imepitia magumu sana awamu ya Magufuli.
Kwamba Rais alitumia vibaya madaraka makubwa aliyopewa kwenye katiba iliyopo.
Viongozi, wananchi na wanasiasa wote ni wanafiki sana, late baba wa taifa alisema mapema sana kuwa katiba hii ikimpata kiongozi wa ajabu atafanya madudu au mambo ya ajabu leo wanajifanya kama hawajawahi kusikia la mkuu.Aliwanyoosha
Rohoni kwa MTU ni mbali, anaweza akatokea tena mwingine, wala hakuna ajabu,View attachment 2057716
Huyu alikuwa Mwanasheria Mkuu awamu ya nne. Anasema nchi imepitia magumu sana awamu ya Magufuli.
Kwamba Rais alitumia vibaya madaraka makubwa aliyopewa kwenye katiba iliyopo.
Kweli kabisa !! Sometimes you have to swallow a bitter pill !!Viongozi, wananchi na wanasiasa wote ni wanafiki sana, late baba wa taifa alisema mapema sana kuwa katiba hii ikimpata kiongozi wa ajabu atafanya madudu au mambo ya ajabu leo wanajifanya kama hawajawahi kusikia la mkuu.
Binafsi Jiwe alikuwa sahihi kwa asilimia 100% sababu ndiye anazidi kuwatoa wahafidhina walikojificha wakati ONYO lilishatolewa.
👉🏾 Binafsi naendelea kujifunza tabia ya binadamu.
Milion kote ,laki yenyewe ni kwa tindoJf pekee yao ndio seheme watu wanadai katiba mpya wakati huku mtaani hata hyo ya ssa hawaijui na wala hawajaisoma ssa si jui tuanze na ipi maana jf watu hata mil 5 hawafiki
Walikuwa na Nia? Rasimu ya warioba ilitupwa juu mawinguniUmesahau mchato wa katiba uliendeshwa awamu ya nne?
Naye akanyooshwa.
CCM itaendelea kupata shida sana sababu ni chama ambacho tiyari kipo nyuma ya nyakati na hivyo kipo kinayalinda madhaifu na maovu yake si kwa nguvu ya hoja bali hoja za nguvu kupitia udhaifu wa katiba uliopo. Mapinduzi ya zanzibar yanalazimishwa na ccm kimabavu, kutokuwepo kwa katiba mpya kunalazimshwa na ccm kimabavu, chaguzi za michongo zinalazishwa na ccm kimabavu, kesi za michongo na ukiukwaji wa haki za binadamu kiujumla unalazimishwa na ccm kimabavu...yaan kwa kifupi ccm haina lolote inaliweza kufanya kwa kutumia mifumo yake ya kiungozi kupitia nguvu ya hoja sababu haikubaliki tena, ni kama yenyewe haipo, inatumia taasisi za serikali kinyme cha sheria kulazimisha hoja za nguvu.Hivi kwa nini CCM wanaogopa katiba mpya kuliko wanavyomuogopa Mungu?
Kudai kwao katiba humu JF ni kosa?Jf pekee yao ndio seheme watu wanadai katiba mpya wakati huku mtaani hata hyo ya ssa hawaijui na wala hawajaisoma ssa si jui tuanze na ipi maana jf watu hata mil 5 hawafiki
Ccm na serikali wanajifanya kuwa wao ni Wananchi wasio ona umuhimu wa katiba kwamba wao Wanataka maendeleo, na kwamba eti wao (ccm na serikali) hawajaitaka katiba mpya.Naye akanyooshwa.
Mla huliwa
JiWE NI ZAidi HovyoJiwe alikuwa kiongozi wa hovyo.
Hata wakati wa kudai uhuru hali ilikuwa hivohivo, kuna mijitu ilikuwa inampinga Nyerere na ikitoa mifano hai kama yako.Jf pekee yao ndio seheme watu wanadai katiba mpya wakati huku mtaani hata hyo ya ssa hawaijui na wala hawajaisoma ssa si jui tuanze na ipi maana jf watu hata mil 5 hawafiki
Suala sio wangapi wanataka katiba mpya, suala ni kwamba je inafaa iendelee hivi hivi ? Maana inaonekana watu wameanza kuogopa kwamba akipatikana mwingine mkali kidogo atawapeleka puta hata wenzie kwa sababu katiba inamruhusu, fahamu kwamba rohoni kwa MTU ni mbali, Unaweza kumuona MTU ni mpole lakini akishakaa pale anabadilika na kuwa mkali kama pilipili, huu ni ushauri tu !!Milion kote ,laki yenyewe ni kwa tindo
Ilan ipi tena wakati mchakato umeanza tangu awamu ya nne?!!! Sasa kama ccm hamkuingiza kwenye ilan hayo ni ya kwenu huko ccm. Kwani ilani si mnaandika wenyewe au mlitaka chauma ije iwaingizie hilo hitaji muhimu kwenye ilan yenyu??!!Halafu haipo kwenye ilani hili kikatiba mujue
Labda 2025 iingizwe kwenye ilani
Wanajifanya hawakumbuki ilikuwa mtu akisema anawindwa kama swala porin..kina ben saanane wapo wapi?!!!!Kutokusema awamu ya nne kunaondoa umuhimu wa katiba sasa?
Umeandika nini hichi?Jaji werema huyu Huyu aliyewahi kuwa AG serikali ya awamu ya nne?? Iliyoshitumiwa na mwendazake kwamba ilibadilisha vifungu vya Sheria zilizopitishwa na bunge pasipo Bunge kujua?? Any way kila jiwe litafunuliwa.