Jakaya Kikwete achaguliwa kuishinikiza Taliban kurudisha watoto wa kike shule

Aliyepewa na Mungu kapewa, Kikwete is the next level.

Wenye akili duniani wanamwamini.

Wewe mtu wa Nanjilinji hata ukimdharau huwezi fikia daraja lake katu wala kumpunguzia chochote.
Kaka mm niko hapa nanjilinji ndo home ,mbona unanikosea kudharau napopapenda jaman ,anyway nakubaliana na un kumchagua mzee kimkakati sana (kidini na kiukomavu wake)
 
Mkuu usijali, ni majina tu huwa yavutia kuyataja. Mie hata sijafika Nanjilinji. Ila huwa napenda kuitaja tu kama ambavyo huwa twapenda kupataja Buza. Wakati Buza kuna sehemu nzuri zimepangika vema.
 
Yuko vizuri kichwani ndio maana wamemchagua aende
All the best bro
 
Ndio maana mataifa makubwa kama US huwa wanaidharau hii United Nations na mpaka kutishia kuacha kuchangia...

Sasa Kikwete masikini ya Mungu eti anatumwa aka negotiate na Taliban kurejesha watoto wa kike shule akiwa kama mwenyekiti wa Global Partnership for Education.

Mtu atakaepata mkanda wa mazungumzo ya Kikwete na Taliban atauza filamu ya comedy kali kuliko zote Afrika kama wasipom-behead mkutanoni.

Lakini lengo pana zaidi la GPE ni kupeleka fursa ya elimu bora kwa kila mtoto mnyonge duniani.

Huku nyumbani the Kikwetes of the third world wamefanya nini japo kujaribu kumpa mtoto mnyonge elimu wanayopata watoto wao binafsi? (Kumbuka hotuba ya JK kwenye mazishi ya JPM alivyoeleza bila aibu jinsi watoto wake wanavyosoma shule za academy).

Wanachaguliwa na UN kwa kigezo gani watu hawa hawa waliofeli katika maeneo hayo hayo ya kuleta maendeleo kwa watu masikini?
Ukifanya mazuri dunia inakuona,na wanasema nabii hakubaliki kwao.
Tuishi tu.
 
Huyu mtoa post kwa alichoandika hapo....maandishi yake yanaonyesha bado ni kijana mdogo sana hata maisha hayajui....
anhaaa, nimeonakana mimi ni kijana mdogo sana?

basi sawa, fahamu kwamba katikati yenu kuna kijana mdogo mmoja anasema mfalme hajavaa nguo!

kiongozi ambae ameshindwa kuleta fursa sawa za elimu bora kwa kila mtoto wa nchi yake, tena bila aibu huwa anasomesha watoto wake yeye kwenye shule maalum, na anadiriki kusimama mbele ya hadhara kujitangaza (kwenye hotuba yake mazishi ya Magufuli) huyo mtu hafai kuongoza taasisi ya UN ya kusambaza elimu bora kwa kila mtoto.
 
Hujui mchango wa JK katika Elimu wewe, it's better you shut up!!!
Leo hii unaandika huu upuuzi baada ya kupata elimu ktk Shule za Kata alizoziasisi JK.
Ni vema uwe na shukrani kidogo.
 
okay, sawa

kwa nini yeye Jakaya Kikwete hasomeshi watoto wake shule za kata alizoziasisi?
 
Yaani kikwete una muona ana cheka cheka unahisi ni naive ,weak na asiye na skills.

Tafuta profile yake utamjua vyema.

Ukion hadi Nyerere alimkubali those time tambua aliona kitu kwa huyu Jamaa. Mtu aliye pitia mafunzo ya kijeshi, hadi kufika vyeo kama Kanali tena jeshi lile la zamani, tambua humo kichwani na moyoni anavitu flani flani.
taja basi tuvijue
 
Ndio maana mataifa makubwa kama US huwa wanaidharau hii United Nations na mpaka kutishia kuacha kuchangia...

Sasa Kikwete masikini ya Mungu eti anatumwa aka negotiate na Taliban kurejesha watoto wa kike shule akiwa kama mwenyekiti wa Global Partnership for Education.

Mtu atakaepata mkanda wa mazungumzo ya Kikwete na Taliban atauza filamu ya comedy kali kuliko zote Afrika kama wasipom-behead mkutanoni.

Lakini lengo pana zaidi la GPE ni kupeleka fursa ya elimu bora kwa kila mtoto mnyonge duniani.

Huku nyumbani the Kikwetes of the third world wamefanya nini japo kujaribu kumpa mtoto mnyonge elimu wanayopata watoto wao binafsi? (Kumbuka hotuba ya JK kwenye mazishi ya JPM alivyoeleza bila aibu jinsi watoto wake wanavyosoma shule za academy).

Wanachaguliwa na UN kwa kigezo gani watu hawa hawa waliofeli katika maeneo hayo hayo ya kuleta maendeleo kwa watu masikini?

Unateseka ukiwa wapi ndugu? Pole sana! Unachokidharau wenzako wanajua thamani yake na wanakitumia kwa manufaa ya wengi
 
kwann mnamchukia sana the simple jk?!!!!

Aliyepewa na Mungu kapewa,

Unateseka ukiwa wapi ndugu?

Unateseka ukiwa wapi

Aliyepewa kapewa

Una kijiba cha roho

Una roho ya korosho.....

Hoja za kiswahili na very primitive, very illiterate hizi jamaniiiiiii..... hahahahaaaaa

Jakaya Kikwete hafai kusema chochote duniani kuhusu equal access to quality education wakati yeye kashindwa kuleta usawa kwenye fursa za elimu bora kwa watoto wote nchini mwake.....

Jakaya Kikwete hathubutu kupeleka watoto wake kwenye shule wanaosomesha watu aliowaongoza.... na yeye anajua.
 
Mwenzio ana stastus huwezi fanana nae
 
OK, basi km vp nenda kapinge mahakamani km mbatia alivyoenda kupinga kujiuzulu kwa ndugai maana UN, wenye vigezo vyao, ndo wameshamteua hivyo!

Unajiona 'literate' mwenyewe kwa hoja za kuchamba eti 'jk hathubutu kupeleka watoto wake kwenye shule wanaosomesha watu aliowaongoza...', wewe ni zaidi illiterate, ni zaidi ya mswahili, ni zaidi ya primitive. Wewe ni uncouth!!!
 
Ndio hao waliokuwa wanatamkwa Watanzania wanyonge na Hayati, endelea kumuombea wako kibao mtaani. Yaani jitu linachuki na Mzee wa watu ambaye hana hata shida na mtu.###*# kabisa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hizo chuko zako kwa Rais mstaafu hazikuongezi chochote sana sana zitakutesa tu.

Tuambie sasa nani unadhani anafaa kushika hiyo nafasi...au wewe hapo?
 
Kikwete kwenye mambo ya diplomasia na utawala hana mpinzani, kaonesha yote ayo akiwa rais na baada ya kuisha urais wake.

Ulitaka jiwe ndio aende huko au ?
 
Back
Top Bottom