Kama alitumia Tsh 400 Bilioni mwaka 2014 kwa mchakato wa Katiba Mpya na akatoka madarakani bila kutuachia Katiba, anabakia ni mhuni fulani tu na mbabaishaji.Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Nimefikilia sana leo juu ya uchaguzi ulivyo fanyika, kulinganisha na chaguzi zingine zilizo pita chini ya maraisi mbalilmbali Tanzania
Nikabaini kuwa mh.kikwete miaka yake kumi alifanya bora zaidi ya katika kuruhusu democrasia ya kweli.
- Watu wali mtukana ,hakuwazuru
- Watu walikuwa huru kutoa maoni yao
- Vyombo vya habari vilikuwa huru
- Uchaguzi ulifanyika kwa amani kabisa bila kumwaga damu za watu
- Watu hawakupotea ,kutekwa, kuuwawa, nk, ni kesi tu ya mwangosi, ambayo nayo ilikuwa bahati mbaya.
- Wapinzani walifanya siasa na wakachaguliwa, bila shida yoyote .
- Raisi ambaye kwa kweli mm binafsi alifanya vizuri sana ukilinganisha na wengine.
NB. Wengine huwa wanasifa mtu akiwa amekufa, mm mzee nakupa maya Yako wakati u hai , uishi maisha marefu sana. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Angekuwa baba wa demokrasia asingeacha Makonda amdhalikishe hivi Jaji Warioba Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Novemba 2014:Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Nimefikilia sana leo juu ya uchaguzi ulivyo fanyika, kulinganisha na chaguzi zingine zilizo pita chini ya maraisi mbalilmbali Tanzania
Nikabaini kuwa mh.kikwete miaka yake kumi alifanya bora zaidi ya katika kuruhusu democrasia ya kweli.
- Watu wali mtukana ,hakuwazuru
- Watu walikuwa huru kutoa maoni yao
- Vyombo vya habari vilikuwa huru
- Uchaguzi ulifanyika kwa amani kabisa bila kumwaga damu za watu
- Watu hawakupotea ,kutekwa, kuuwawa, nk, ni kesi tu ya mwangosi, ambayo nayo ilikuwa bahati mbaya.
- Wapinzani walifanya siasa na wakachaguliwa, bila shida yoyote .
- Raisi ambaye kwa kweli mm binafsi alifanya vizuri sana ukilinganisha na wengine.
NB. Wengine huwa wanasifa mtu akiwa amekufa, mm mzee nakupa maya Yako wakati u hai , uishi maisha marefu sana. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Mungu ampe umri mrefu na afya Tele JkBila shaka wote ni wazima wa afya njema. Nimefikilia sana leo juu ya uchaguzi ulivyo fanyika, kulinganisha na chaguzi zingine zilizo pita chini ya maraisi mbalilmbali Tanzania
Nikabaini kuwa mh.kikwete miaka yake kumi alifanya bora zaidi ya katika kuruhusu democrasia ya kweli.
- Watu wali mtukana ,hakuwazuru
- Watu walikuwa huru kutoa maoni yao
- Vyombo vya habari vilikuwa huru
- Uchaguzi ulifanyika kwa amani kabisa bila kumwaga damu za watu
- Watu hawakupotea ,kutekwa, kuuwawa, nk, ni kesi tu ya mwangosi, ambayo nayo ilikuwa bahati mbaya.
- Wapinzani walifanya siasa na wakachaguliwa, bila shida yoyote .
- Raisi ambaye kwa kweli mm binafsi alifanya vizuri sana ukilinganisha na wengine.
NB. Wengine huwa wanasifa mtu akiwa amekufa, mm mzee nakupa maya Yako wakati u hai , uishi maisha marefu sana. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Jiwe ye alitaka amalize watu wote abakie peke yake, mtani wangu yule alikuwa ana roho mbayaAwamu ya magu kasheshe ndo ilipoanza. Ya samia mambo yaleyale ya mwendazake
Sasa alifanya ni makonda sio jkAngekuwa baba wa demokrasia asingeacha Makonda amdhalikishe hivi Jaji Warioba Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Novemba 2014:
View attachment 3165654
Baada ya tukio hili Makonda akawa DC Kinondoni. Kikwette hawezi kuwa baba wa demokrasia hata kidogo
Aliyemmwagia tindikali Kubenea ni JPM?Aliemminya kende Dr Ulimboka ni Samia?
Kweli kabisa huyu dada yake anafanana zaidi na yule kaka yake wa Chato kuliko kaka yake wa Msoga.Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Nimefikilia sana leo juu ya uchaguzi ulivyo fanyika, kulinganisha na chaguzi zingine zilizo pita chini ya maraisi mbalilmbali Tanzania
Nikabaini kuwa mh.kikwete miaka yake kumi alifanya bora zaidi ya katika kuruhusu democrasia ya kweli.
- Watu wali mtukana ,hakuwazuru
- Watu walikuwa huru kutoa maoni yao
- Vyombo vya habari vilikuwa huru
- Uchaguzi ulifanyika kwa amani kabisa bila kumwaga damu za watu
- Watu hawakupotea ,kutekwa, kuuwawa, nk, ni kesi tu ya mwangosi, ambayo nayo ilikuwa bahati mbaya.
- Wapinzani walifanya siasa na wakachaguliwa, bila shida yoyote .
- Raisi ambaye kwa kweli mm binafsi alifanya vizuri sana ukilinganisha na wengine.
NB. Wengine huwa wanasifa mtu akiwa amekufa, mm mzee nakupa maya Yako wakati u hai , uishi maisha marefu sana. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Wewe unabidi ukapimwe akili milembe, Hakuna kiongozi wa ccm mpenda demokrasia, wote ni vibaka majizi, hata Warioba na wenzie, ni majizi tu, hata kama Hawaii, lakini wanawajua majizi yote ya ccmBila shaka wote ni wazima wa afya njema. Nimefikilia sana leo juu ya uchaguzi ulivyo fanyika, kulinganisha na chaguzi zingine zilizo pita chini ya maraisi mbalilmbali Tanzania
Nikabaini kuwa mh.kikwete miaka yake kumi alifanya bora zaidi ya katika kuruhusu democrasia ya kweli.
- Watu wali mtukana ,hakuwazuru
- Watu walikuwa huru kutoa maoni yao
- Vyombo vya habari vilikuwa huru
- Uchaguzi ulifanyika kwa amani kabisa bila kumwaga damu za watu
- Watu hawakupotea ,kutekwa, kuuwawa, nk, ni kesi tu ya mwangosi, ambayo nayo ilikuwa bahati mbaya.
- Wapinzani walifanya siasa na wakachaguliwa, bila shida yoyote .
- Raisi ambaye kwa kweli mm binafsi alifanya vizuri sana ukilinganisha na wengine.
NB. Wengine huwa wanasifa mtu akiwa amekufa, mm mzee nakupa maya Yako wakati u hai , uishi maisha marefu sana. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Na ni kikwete aliyeisuka CHADEMA kutoka kwenye upinzani hadi kuwa genge la wahuni na wavuruga juhudi za maendeleo.Kikwete ndio raisi aliyetukanwa na CHADEMA kuliko maraisi wote
Ila Kuna kauli yake Moja pendwa alisema
MTANIKUMBUKA
Uko sahihi kabisa kikwete alikuwa Raisi bora kabisa kuwahi kutokea tz mwenye hofu ya Mungu, hakuwa katili wafanyakazi alitujali sana, aliyempokea kijiti baada tu ya kuingia madarakani wafanyakazi tulilia na kusaga meno ubarikiwe sana mzee kikweteJakaya Kikwete hazeeki haraka kwasababu hana kinyongo na mtu, hana roho ya kukunja wala uonevu.
Mwenyezi Mungu azidi kumpa umri mrefu ili ibaki kuwa hazina kwa watoto wetu tuwaonyeshe wamuone akiwa hai.
Juu ya shingo yako una kichwa au kabeji? Kama Makonda anaweza akamkaba Mwenyekiti wa Tume ambaye ni mteule wa Rais, halafu badala ya kuadhibiwa anapewa u-DC, then halmashauri ya ubongo wako ni takatakaSasa alifanya ni makonda sio jk