Jakaya Kikwete atabaki kuwa Baba wa Demokrasia bora Tanzania kupita Marais wote waliopita na wajao

Aliposhindwa kuruhusu katiba Mpya huo ubaba wa demokrasia ukamuondoka. Aliendekeza uchama
 
Kikwete ndio raisi aliyetukanwa na CHADEMA kuliko maraisi wote
Ila Kuna kauli yake Moja pendwa alisema
MTANIKUMBUKA
 
Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Nimefikilia sana leo juu ya uchaguzi ulivyo fanyika, kulinganisha na chaguzi zingine zilizo pita chini ya maraisi mbalilmbali Tanzania

Nikabaini kuwa mh.kikwete miaka yake kumi alifanya bora zaidi ya katika kuruhusu democrasia ya kweli.
- Watu wali mtukana ,hakuwazuru
  • Watu walikuwa huru kutoa maoni yao
  • Vyombo vya habari vilikuwa huru
  • Uchaguzi ulifanyika kwa amani kabisa bila kumwaga damu za watu
  • Watu hawakupotea ,kutekwa, kuuwawa, nk, ni kesi tu ya mwangosi, ambayo nayo ilikuwa bahati mbaya.
  • Wapinzani walifanya siasa na wakachaguliwa, bila shida yoyote .
  • Raisi ambaye kwa kweli mm binafsi alifanya vizuri sana ukilinganisha na wengine.

NB. Wengine huwa wanasifa mtu akiwa amekufa, mm mzee nakupa maya Yako wakati u hai , uishi maisha marefu sana. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Kama alitumia Tsh 400 Bilioni mwaka 2014 kwa mchakato wa Katiba Mpya na akatoka madarakani bila kutuachia Katiba, anabakia ni mhuni fulani tu na mbabaishaji.

Huyu hawezi kuwa Baba wa Demokrasia
 
Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Nimefikilia sana leo juu ya uchaguzi ulivyo fanyika, kulinganisha na chaguzi zingine zilizo pita chini ya maraisi mbalilmbali Tanzania

Nikabaini kuwa mh.kikwete miaka yake kumi alifanya bora zaidi ya katika kuruhusu democrasia ya kweli.
- Watu wali mtukana ,hakuwazuru
  • Watu walikuwa huru kutoa maoni yao
  • Vyombo vya habari vilikuwa huru
  • Uchaguzi ulifanyika kwa amani kabisa bila kumwaga damu za watu
  • Watu hawakupotea ,kutekwa, kuuwawa, nk, ni kesi tu ya mwangosi, ambayo nayo ilikuwa bahati mbaya.
  • Wapinzani walifanya siasa na wakachaguliwa, bila shida yoyote .
  • Raisi ambaye kwa kweli mm binafsi alifanya vizuri sana ukilinganisha na wengine.

NB. Wengine huwa wanasifa mtu akiwa amekufa, mm mzee nakupa maya Yako wakati u hai , uishi maisha marefu sana. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Angekuwa baba wa demokrasia asingeacha Makonda amdhalikishe hivi Jaji Warioba Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Novemba 2014:
20241130_112438.jpg

Baada ya tukio hili Makonda akawa DC Kinondoni. Kikwette hawezi kuwa baba wa demokrasia hata kidogo
 
Mungu ampe umri mrefu na afya Tele Jk
 
Angekuwa baba wa demokrasia asingeacha Makonda amdhalikishe hivi Jaji Warioba Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Novemba 2014:
View attachment 3165654

Baada ya tukio hili Makonda akawa DC Kinondoni. Kikwette hawezi kuwa baba wa demokrasia hata kidogo
Sasa alifanya ni makonda sio jk
 
Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Nimefikilia sana leo juu ya uchaguzi ulivyo fanyika, kulinganisha na chaguzi zingine zilizo pita chini ya maraisi mbalilmbali Tanzania

Nikabaini kuwa mh.kikwete miaka yake kumi alifanya bora zaidi ya katika kuruhusu democrasia ya kweli.
- Watu wali mtukana ,hakuwazuru
  • Watu walikuwa huru kutoa maoni yao
  • Vyombo vya habari vilikuwa huru
  • Uchaguzi ulifanyika kwa amani kabisa bila kumwaga damu za watu
  • Watu hawakupotea ,kutekwa, kuuwawa, nk, ni kesi tu ya mwangosi, ambayo nayo ilikuwa bahati mbaya.
  • Wapinzani walifanya siasa na wakachaguliwa, bila shida yoyote .
  • Raisi ambaye kwa kweli mm binafsi alifanya vizuri sana ukilinganisha na wengine.

NB. Wengine huwa wanasifa mtu akiwa amekufa, mm mzee nakupa maya Yako wakati u hai , uishi maisha marefu sana. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Kweli kabisa huyu dada yake anafanana zaidi na yule kaka yake wa Chato kuliko kaka yake wa Msoga.
 
Naungana na wewe JK hana makuu na sisi; ila marais wote tukimwondoa Mwalimu ambaye hatuwezi kumlaumu sana wakati wake, na walau Mzee winyi kidogo - hao wengine wote ni wakandamizaji wa Demokrasia - tena vinara ni Jiwe na huyu mama abduli.
 
Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Nimefikilia sana leo juu ya uchaguzi ulivyo fanyika, kulinganisha na chaguzi zingine zilizo pita chini ya maraisi mbalilmbali Tanzania

Nikabaini kuwa mh.kikwete miaka yake kumi alifanya bora zaidi ya katika kuruhusu democrasia ya kweli.
- Watu wali mtukana ,hakuwazuru
  • Watu walikuwa huru kutoa maoni yao
  • Vyombo vya habari vilikuwa huru
  • Uchaguzi ulifanyika kwa amani kabisa bila kumwaga damu za watu
  • Watu hawakupotea ,kutekwa, kuuwawa, nk, ni kesi tu ya mwangosi, ambayo nayo ilikuwa bahati mbaya.
  • Wapinzani walifanya siasa na wakachaguliwa, bila shida yoyote .
  • Raisi ambaye kwa kweli mm binafsi alifanya vizuri sana ukilinganisha na wengine.

NB. Wengine huwa wanasifa mtu akiwa amekufa, mm mzee nakupa maya Yako wakati u hai , uishi maisha marefu sana. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Wewe unabidi ukapimwe akili milembe, Hakuna kiongozi wa ccm mpenda demokrasia, wote ni vibaka majizi, hata Warioba na wenzie, ni majizi tu, hata kama Hawaii, lakini wanawajua majizi yote ya ccm
 
Jk ni mwanajeshi anaejua athari ya kutumia risasi Kwa wasiostahili risasi hizo!

Ukiwa na uelewa was mambo huwezi piga risasi raia na virungu kisa matokeo mabovu ya uchaguzi!!
 
Kikwete ndio raisi aliyetukanwa na CHADEMA kuliko maraisi wote
Ila Kuna kauli yake Moja pendwa alisema
MTANIKUMBUKA
Na ni kikwete aliyeisuka CHADEMA kutoka kwenye upinzani hadi kuwa genge la wahuni na wavuruga juhudi za maendeleo.

Ashukuriwe JPM kwa kuja kututhibitishia kuwa hakukuwa na wapinzani bali kulikuwa na mamluki waliotengenezwa na Mkwere kwa manufaa ya Mkwere.

Zaidi ya yote hakujawahi kuwako wapinzani nchini zaidi ya kuwa na malaya wa kisiasa tu.
 
Jakaya Kikwete hazeeki haraka kwasababu hana kinyongo na mtu, hana roho ya kukunja wala uonevu.

Mwenyezi Mungu azidi kumpa umri mrefu ili ibaki kuwa hazina kwa watoto wetu tuwaonyeshe wamuone akiwa hai.
Uko sahihi kabisa kikwete alikuwa Raisi bora kabisa kuwahi kutokea tz mwenye hofu ya Mungu, hakuwa katili wafanyakazi alitujali sana, aliyempokea kijiti baada tu ya kuingia madarakani wafanyakazi tulilia na kusaga meno ubarikiwe sana mzee kikwete
 
Sasa alifanya ni makonda sio jk
Juu ya shingo yako una kichwa au kabeji? Kama Makonda anaweza akamkaba Mwenyekiti wa Tume ambaye ni mteule wa Rais, halafu badala ya kuadhibiwa anapewa u-DC, then halmashauri ya ubongo wako ni takataka
 
Mpeleke mahamani
 
Back
Top Bottom