Bull shit!!!Wakuu naona utaendelea kushaangaana sasa, wa kuondoa mshangao naye anawashangaa wanoshangaa
===
Jakaya Kikwete amesema anawashangaa wanaoshangazwa na suala la Ridhwan kikwete kupita bila kupingwa/kutokuwa na mpinzani kwani jambo hilo ni la kawaida na amewahi kupita mara kdahaa bila moinzani kabla ya sasa.
"Mkoa wa Pwani huu, wilaya hii ya Bagamoyo ni wilaya ya CCM
Niliona watu walipoona Ridhwani kapita bila kupingwa wakasema aah hakuna demokrasia. Hata uchaguzi uliopita hakuwa na mpinzani ndani ya CCM.
Na kabla ya hapo uchaguzi mwingine ule pia hakuwa naye mwingine , kwahiyo unashangaa safari hii" - Jakaya Kikwete
Acha ujinga.Na ndio mikoa inaongoza kwa ufukara ukiacha Dar...
Kuna nini cha maana Bagamoyo?Acha ujinga.
Bagamoyo sio ufukara.
Kwa hiyo mnashaangaana πHapa kushangaa kuna-produce kushangaa. Tumemshangaa kikwete kumbe nae anatushangaa, sasa na sisi tunashangaa yeye anavyoshangaa.. Akisikia tunavyoshangaa anavyoshangaa hapo atashangaa zaidi..
Wachaga ndio matajiri wa BagamoyoKuna nini cha maana Bagamoyo?
Yes kumbe unalijua hilo, wachaga wanajituma na wapo kila sehemu kama mvuaWachaga ndio matajiri wa Bagamoyo
Wameolewa na wapemba πYes kumbe unalijua hilo, wachaga wanajituma na wapo kila sehemu kama mvua
Kwani aliulizwa swali? ππMheshimiwa yuko sahihi kama hakuna aliyegombea shida iko wapi,na hatukusikia kama kuna mtu kanyimwa fomu Chalinze .
Hakuna mchaga mjinga wa kuoelewa na mpemba mtu mvivu na hana akiliWameolewa na wapemba π
3, 7, ama 28 lakini kutokana na "mathematical error" uwezekano mkubwa ni 3, 6, ama 9, ama jumla ya hesabu ya hesabu hii.Wakuu naona utaendelea kushaangaana sasa, wa kuondoa mshangao naye anawashangaa wanoshangaa
===
Jakaya Kikwete amesema anawashangaa wanaoshangazwa na suala la Ridhwan kikwete kupita bila kupingwa/kutokuwa na mpinzani kwani jambo hilo ni la kawaida na amewahi kupita mara kdahaa bila moinzani kabla ya sasa.
"Mkoa wa Pwani huu, wilaya hii ya Bagamoyo ni wilaya ya CCM
Niliona watu walipoona Ridhwani kapita bila kupingwa wakasema aah hakuna demokrasia. Hata uchaguzi uliopita hakuwa na mpinzani ndani ya CCM.
Na kabla ya hapo uchaguzi mwingine ule pia hakuwa naye mwingine , kwahiyo unashangaa safari hii" - Jakaya Kikwete
Vingi tu vya maana Bagamoyo.Kuna nini cha maana Bagamoyo?
Hizi koo 3 ni hatari sn kwa ustawi wa nchi yetu(Maza, Mwinyi na JK)Mchongo wa royal family huu, ila jambo la muda mfupi ujao!
Huyu bila kuondoka tutachelewa sana! Halafu anadharau iliyovuka mipaka mno!Jk must go!