Kama hujui kuwa populism ni urge ya kupenda sifa, basi rudi shule ukafundishwe basic psychology
Hayo kamwambie JK, title imeletwa kama msemaji alivyosema.Wewe ndio urudi shuleni, populism ina maana nyingine kabisa labda unachanganya na popularity ambapo ni vitu viwili tofauti, ungetumia tu neno kupenda sifa ingeleta maana uliokusudia, ...
Kwani JK ndo dictionaryHayo kamwambie JK, title imeletwa kama msemaji alivyosema.
Na sisi huwa tunaangalia vitu kwa context yaani muktadha. Hatuchukui maana za kidictionary.
Yeye mwenyewe alijifananisha na malaikaNasikia kuna mpuuzi mmoja aliwahi kumfananisha Magufuli na Yesu
Kwa mujibu wa hii speech (eulology) aliyoitoa JK kwenye msiba wa BWM, imetusaidia kujua Mkapa alikuwa ni mtu wa namna gani. Licha ya kufanya mambo makubwa katika nchi lakini hakutumia kabisa vyombo vya habari vya Taifa kujipigia mapromo kama tunavyoona kwenye utawala wa sasa.
Ifahamike Mkapa ndiye rais wa kwanza aliyekataa title ya "Mtukufu"
Na ni rais wa kwanza wa nchi yetu aliyekataa picha yake kukaa kwenye fedha
Huyo ndiye rais aliyekuwa hapigi mayowe, bali aliacha watu waone wenyewe.
Na kweli mwanaume yule alipiga kazi ya maana kwa nchi.
Namkumbusha rais wa sasa na wapambe wao, chema chajiuza kibaya chajitembeza, acheni kupiga mayowe, tuacheni tuone wenyewe.
"Na hiyo ndo tatizo la kustukizwa"
Ila huyu wa sasa ni kiboko.. soon atalazikisha kuitwa mtukufu.
Hayo kamwambie JK, title imeletwa kama msemaji alivyosema.
Na sisi huwa tunaangalia vitu kwa context yaani muktadha. Hatuchukui maana za kidictionary.
Nchi haiendeshwi kwa katiba na sheria tu.Kwani kupenda sifa unavunja katiba au sheria??
Basi ila ameeleweka alichokusudia kusema!Lakini populism tafsiri yake siyo ,,kupenda sifa“ angeweza kutumia tu neno sifa bila ya populism, ...
Essentially huwezi kuwa populist bila kupenda sifa.JK ndiye aliyesema maana ya kupenda sifa ni populism?
Asante sana kwa kuweka hili wazi tena, kweli tupu awamu hii imejinadi kama awamu ya wapenda sifa na wapiga propaganda utafikiri wao ndio waanzilishi wa kila kitu katika nchi hii.Kwa mujibu wa hii speech (eulology) aliyoitoa JK kwenye msiba wa BWM, imetusaidia kujua Mkapa alikuwa ni mtu wa namna gani. Licha ya kufanya mambo makubwa katika nchi lakini hakutumia kabisa vyombo vya habari vya Taifa kujipigia mapromo kama tunavyoona kwenye utawala wa sasa.
Ifahamike Mkapa ndiye rais wa kwanza aliyekataa title ya "Mtukufu"
Na ni rais wa kwanza wa nchi yetu aliyekataa picha yake kukaa kwenye fedha
Huyo ndiye rais aliyekuwa hapigi mayowe, bali aliacha watu waone wenyewe.
Na kweli mwanaume yule alipiga kazi ya maana kwa nchi.
Namkumbusha rais wa sasa na wapambe wao, chema chajiuza kibaya chajitembeza, acheni kupiga mayowe, tuacheni tuone wenyewe.
"Na hiyo ndo tatizo la kustukizwa"
Kuna tafsiri nyingi kutegemeana na mazingira na mtazamo (hasa ya kisiasa).Populism maana yake siyo sifa, acha kujiokotea maneno ambayo wala hauelewi maana yake, ungeacha tu neno sifa peke yake, kwa maana,,populism“ ina maana nyingine kabisa na wala haifit kwenye ujumbe wako, ...
Essentially huwezi kuwa populist bila kupenda sifa.
Populism ni siasa za kupenda kupendwa bila kujali kama kupendwa huko kunatokana na mambo yenye manufaa au yasiyo manufaa.
Kwa mfano. Serikali ya Rais Magufuli haitengi bajeti kupeleka huduma za jamii vijijini.
Rais anajua hilo.
Lakini anapenda sifa, anapenda kupendwa, ni populist.
Anachofanya ni kwenda hizo sehemu, kuita tendaji kwenye mikutano, kuwatia jambajamba na kuwatumbua kwenye mikutano ya hadhara.
Watu wanafurahia. Magufuki kidume.
Rais mpenda sifa kuliko tija. Populist.
Wananchi wajinga wanapenda show za tumbua tumbua kuliki maendeleo ya kweli wanazidi kumsifia na kumoenda rais wao.
Hapo unaunganisha populost na mpenda sifa.
.
Mifano unayoitoa haiendi na suala la kupenda sifa au kutopenda sifa maana hakuna fedheha yeyote kama ambavyo ukijinyea au kujikojolea hadharani.Nchi haiendeshwi kwa katiba na sheria tu.
Ndiyo maana hakuna sheria wala kifungu cha katiba kinachomzuia rais kujikojolea akiwa anawahutubia wananchi, lakini hajikojolei hivyo.
Akijikojolea hivyo itakuwa ni political suicide
Hakuna sheria wala kifungu cha katiba kinachomzuia rais kuchukua ardhi yote ya Tanzania na kumpa mjomba wake -rais ndiye muhifadhi wa mwisho wa arhi Tanzania, na akitaka kufanya hivyo hakuna sheria inayomkataza).
Lakini hafanyi hivyo.
Akifanya hivyo itakuwa ni political suicide.
Kuna "social contract" pana zaidi ambayo ndiyo imezaa katiba na sheria.
Umeuliza kama kuna sheria au katiba iliyovunjwa.Mifano unayoitoa haiendi na suala la kupenda sifa au kutopenda sifa maana hakuna fedheha yeyote kama ambavyo ukijinyea au kujikojolea hadharani.
Kama kuna madhara umeyapat kwa hizo sifa hilo ni suala jingine ila kulalamika mtu kupenda sifa ni hoja mufilisi.
haha JK ni mwanasiasa mbobeziIla kuna kitu. Jk alimaanisha kusema BWM hakupenda sifa
Ndio maana nikakuambia mifano yako uliotoa ya kujikojolea haiendani kabisa na suala la sifa.Umeuliza kama kuna sheria au katiba iliyovunjwa.
Nimekuonesha kwamba nchi haiendeshwi kwa sheria na katiba tu.
Umekubali kwamba nchi haiendeshwi kwa sheria na katiba tu?
Kwamba, kuna mambo ambayo hayajakatazwa na sheria wala katiba, lakini Rais akiyafanya atakuwa kajimaliza?
Unakubali hilo?