Jakaya Kikwete: Mkapa hakupenda sifa (populism)

Jakaya Kikwete: Mkapa hakupenda sifa (populism)

Kama hujui kuwa populism ni urge ya kupenda sifa, basi rudi shule ukafundishwe basic psychology

Wewe ndio urudi shuleni, populism ina maana nyingine kabisa labda unachanganya na popularity ambapo ni vitu viwili tofauti, ungetumia tu neno kupenda sifa ingeleta maana uliokusudia, ...
 
Wewe ndio urudi shuleni, populism ina maana nyingine kabisa labda unachanganya na popularity ambapo ni vitu viwili tofauti, ungetumia tu neno kupenda sifa ingeleta maana uliokusudia, ...
Hayo kamwambie JK, title imeletwa kama msemaji alivyosema.
Na sisi huwa tunaangalia vitu kwa context yaani muktadha. Hatuchukui maana za kidictionary.
 
Ila huyu wa sasa ni kiboko.. soon atalazikisha kuitwa mtukufu.
Kwa mujibu wa hii speech (eulology) aliyoitoa JK kwenye msiba wa BWM, imetusaidia kujua Mkapa alikuwa ni mtu wa namna gani. Licha ya kufanya mambo makubwa katika nchi lakini hakutumia kabisa vyombo vya habari vya Taifa kujipigia mapromo kama tunavyoona kwenye utawala wa sasa.

Ifahamike Mkapa ndiye rais wa kwanza aliyekataa title ya "Mtukufu"

Na ni rais wa kwanza wa nchi yetu aliyekataa picha yake kukaa kwenye fedha

Huyo ndiye rais aliyekuwa hapigi mayowe, bali aliacha watu waone wenyewe.

Na kweli mwanaume yule alipiga kazi ya maana kwa nchi.

Namkumbusha rais wa sasa na wapambe wao, chema chajiuza kibaya chajitembeza, acheni kupiga mayowe, tuacheni tuone wenyewe.

"Na hiyo ndo tatizo la kustukizwa"

Kwani kupenda sifa unavunja katiba au sheria??
Nchi haiendeshwi kwa katiba na sheria tu.

Ndiyo maana hakuna sheria wala kifungu cha katiba kinachomzuia rais kujikojolea akiwa anawahutubia wananchi, lakini hajikojolei hivyo.

Akijikojolea hivyo itakuwa ni political suicide

Hakuna sheria wala kifungu cha katiba kinachomzuia rais kuchukua ardhi yote ya Tanzania na kumpa mjomba wake -rais ndiye muhifadhi wa mwisho wa arhi Tanzania, na akitaka kufanya hivyo hakuna sheria inayomkataza).

Lakini hafanyi hivyo.

Akifanya hivyo itakuwa ni political suicide.

Kuna "social contract" pana zaidi ambayo ndiyo imezaa katiba na sheria.
 
JK ndiye aliyesema maana ya kupenda sifa ni populism?
Essentially huwezi kuwa populist bila kupenda sifa.

Populism ni siasa za kupenda kupendwa bila kujali kama kupendwa huko kunatokana na mambo yenye manufaa au yasiyo manufaa.

Kwa mfano. Serikali ya Rais Magufuli haitengi bajeti kupeleka huduma za jamii vijijini.

Rais anajua hilo.

Lakini anapenda sifa, anapenda kupendwa, ni populist.

Anachofanya ni kwenda hizo sehemu, kuita watendaji kwenye mikutano, kuwatia jambajamba na kuwatumbua kwenye mikutano ya hadhara.

Watu wanafurahia. Magufuli kidume.

Rais mpenda sifa kuliko tija. Populist.

Wananchi wajinga wanapenda show za tumbua tumbua kuliko maendeleo ya kweli wanazidi kumsifia na kumpenda rais wao.

Hapo unaunganisha populist na mpenda sifa.
.
 
Kwa mujibu wa hii speech (eulology) aliyoitoa JK kwenye msiba wa BWM, imetusaidia kujua Mkapa alikuwa ni mtu wa namna gani. Licha ya kufanya mambo makubwa katika nchi lakini hakutumia kabisa vyombo vya habari vya Taifa kujipigia mapromo kama tunavyoona kwenye utawala wa sasa.

Ifahamike Mkapa ndiye rais wa kwanza aliyekataa title ya "Mtukufu"

Na ni rais wa kwanza wa nchi yetu aliyekataa picha yake kukaa kwenye fedha

Huyo ndiye rais aliyekuwa hapigi mayowe, bali aliacha watu waone wenyewe.

Na kweli mwanaume yule alipiga kazi ya maana kwa nchi.

Namkumbusha rais wa sasa na wapambe wao, chema chajiuza kibaya chajitembeza, acheni kupiga mayowe, tuacheni tuone wenyewe.

"Na hiyo ndo tatizo la kustukizwa"

Asante sana kwa kuweka hili wazi tena, kweli tupu awamu hii imejinadi kama awamu ya wapenda sifa na wapiga propaganda utafikiri wao ndio waanzilishi wa kila kitu katika nchi hii.
 
Populism maana yake siyo sifa, acha kujiokotea maneno ambayo wala hauelewi maana yake, ungeacha tu neno sifa peke yake, kwa maana,,populism“ ina maana nyingine kabisa na wala haifit kwenye ujumbe wako, ...
Kuna tafsiri nyingi kutegemeana na mazingira na mtazamo (hasa ya kisiasa).
Kwa neno 'sifa' mleta uzi hayuko mbali sana, hakukosea. Kwa kiswahili 'chetu' cha kubumba tungeweza pia kuita 'misifa'.

Populism
i. political ideas and activities that are intended to get the support of ordinary people by giving them what they want. Cambridge English Dictionary
ii. political approach that strives to appeal to ordinary people who feel that their concerns are disregarded by established elite groups. Dictionary.com
iii. range of political stances that emphasise the idea of "the people" and often juxtapose this group against "the elite". Wikipedia
 
Essentially huwezi kuwa populist bila kupenda sifa.

Populism ni siasa za kupenda kupendwa bila kujali kama kupendwa huko kunatokana na mambo yenye manufaa au yasiyo manufaa.

Kwa mfano. Serikali ya Rais Magufuli haitengi bajeti kupeleka huduma za jamii vijijini.

Rais anajua hilo.

Lakini anapenda sifa, anapenda kupendwa, ni populist.

Anachofanya ni kwenda hizo sehemu, kuita tendaji kwenye mikutano, kuwatia jambajamba na kuwatumbua kwenye mikutano ya hadhara.

Watu wanafurahia. Magufuki kidume.

Rais mpenda sifa kuliko tija. Populist.

Wananchi wajinga wanapenda show za tumbua tumbua kuliki maendeleo ya kweli wanazidi kumsifia na kumoenda rais wao.

Hapo unaunganisha populost na mpenda sifa.
.

umemuelewesha vizuri.

Populism ni aina ya siasa za mtu kupenda umaarufu kutoka kwa kundi moja la waliowengi dhidi ya kundi fulani la wachache kwa kufanya mambo hata yasiyo na maana ilimradi kupata huo ujiko.

Watoto wa mjini wanasema kufanya mambo kwa kuangalia "macho"
i. e
Wanyonge (wengi) vs Matajiri (wachache)
Walalahoi (wengi) vs Walalahai(wachache)
Watwana (wengi) vs Mabwana(wachache)

Nashangaa huyo jamaa anashindwa kuona link ya populism na kupenda ujiko a. k. a Sifa.

Na hili ni tatizo la watu kutoweza kwenda mbele kuanalyse vitu kwa Context badala yake kung'ang'ania semantics kama maroboti
 
Huyu jiwe anapenda sifa na kutukuzwa mpaka ana boa! Na wenyewe wameshamjulia!
 
Nchi haiendeshwi kwa katiba na sheria tu.

Ndiyo maana hakuna sheria wala kifungu cha katiba kinachomzuia rais kujikojolea akiwa anawahutubia wananchi, lakini hajikojolei hivyo.

Akijikojolea hivyo itakuwa ni political suicide

Hakuna sheria wala kifungu cha katiba kinachomzuia rais kuchukua ardhi yote ya Tanzania na kumpa mjomba wake -rais ndiye muhifadhi wa mwisho wa arhi Tanzania, na akitaka kufanya hivyo hakuna sheria inayomkataza).

Lakini hafanyi hivyo.

Akifanya hivyo itakuwa ni political suicide.

Kuna "social contract" pana zaidi ambayo ndiyo imezaa katiba na sheria.
Mifano unayoitoa haiendi na suala la kupenda sifa au kutopenda sifa maana hakuna fedheha yeyote kama ambavyo ukijinyea au kujikojolea hadharani.

Kama kuna madhara umeyapat kwa hizo sifa hilo ni suala jingine ila kulalamika mtu kupenda sifa ni hoja mufilisi.
 
nasubiri ile kauli ya wastafu wanawashwawashwa...
 
Mifano unayoitoa haiendi na suala la kupenda sifa au kutopenda sifa maana hakuna fedheha yeyote kama ambavyo ukijinyea au kujikojolea hadharani.

Kama kuna madhara umeyapat kwa hizo sifa hilo ni suala jingine ila kulalamika mtu kupenda sifa ni hoja mufilisi.
Umeuliza kama kuna sheria au katiba iliyovunjwa.

Nimekuonesha kwamba nchi haiendeshwi kwa sheria na katiba tu.

Umekubali kwamba nchi haiendeshwi kwa sheria na katiba tu?

Kwamba, kuna mambo ambayo hayajakatazwa na sheria wala katiba, lakini Rais akiyafanya atakuwa kajimaliza?

Unakubali hilo?
 
Ndio maana nikakuambia mifano yako uliotoa ya kujikojolea haiendani kabisa na suala la sifa.

Labda tu nikuambie hakuna kiumbe asiyependa sifa. Hata mkapa alikuwa anapenda kusifiwa. Mwenyezi Mungu mwenyewe anapenda sifa ndio maana kuna watu kama kina Daud walikuwa wafalme sababu tu walitumia muda mwingi kumsifu Mungu.

Ndio maana nikauliza kwa muktadha wa kwamba kuna shida yoyote. Kisheria, kikatiba au kijamii.?

Maana kisiasa ile ni mileage. Ndio maana akisimama anatoa takwimu alipotokea na alipo kimaendeleo. Sasa hapo inabaki kwenu nyie.
 
Back
Top Bottom