DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Wakishua hao "funua pale"Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mhe Ridhiwani Kikwete, Mbunge wa Chalinze ambaye pia ni Naibu Waziri katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakitembelea vijana kambini kwao usiku kijijini Msoga wilaya ya Chalinze mkoani Pwani ukoo wa Kikwete walikuwa na sherehe kubwa ya jando na unyago.
Wavulana na Wasichana hao waliotoka siku hiyo ni wajukuu wa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na kaka zake na dada zake.
View attachment 2861386View attachment 2861387View attachment 2861388View attachment 2861389
Safi sana sanaRais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mhe Ridhiwani Kikwete, Mbunge wa Chalinze ambaye pia ni Naibu Waziri katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakitembelea vijana kambini kwao usiku kijijini Msoga wilaya ya Chalinze mkoani Pwani ukoo wa Kikwete walikuwa na sherehe kubwa ya jando na unyago.
Wavulana na Wasichana hao waliotoka siku hiyo ni wajukuu wa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na kaka zake na dada zake.
View attachment 2861386View attachment 2861387View attachment 2861388View attachment 2861389
Hahaha anavaa Jeans Na Raba badala angevaa kama NgaribaSafi sana sana
At least tunaanza kurejea yale mazuri ya jando na unyago.
Lakini residaa mstaafu alipaswa kuvaa mavao stahiki ya shughuli hiyo. Aache ubishoo🤣
Lakini mwanzo mzuri. Ni vile hana mshauri wa mambo ya mila.Hahaha anavaa Jeans Na Raba badala angevaa kama Ngariba
Si kingekuwa kituko cha taifa na ile mirangi wansyojipaka usonHahaha anavaa Jeans Na Raba badala angevaa kama Ngariba
Kikwete ni mzee wa mila sana na anaendeleza hiyo mila ya jando na unyago hata kwa watoto wake mwenyewe.Lakini mwanzo mzuri. Ni vile hana mshauri wa mambo ya mila.
Pwani hawakeketiSafi sana lkn wakike wasikeketwe
Kitu pekee ambacho watu wasichojua ni kuwa, huko watoto hawapelekwi kutahiliwa siku hizi, wanatahiliwa hospital isipokuwa kwenye jando na unyago unaenda kufundishwa elimu mbalimbali za kimila, kijamii pamoja na kufanya matambiko kwenye mizimu.ukitaka kujua kwa nini wanazima umeme na kutesa watu au kwa nini watoto albino hawakuwa protected na walitekwa kuuliwa na kukatwa viungo angalia tu matendo ya watawala wetu, hata umeme upo na na wanakata makusudi sababu ya matambiko, nina uhakika kwa 100% kikwete hakumpeleka ridhwani unyago kama alitairiwa alimpeleka hospitalini na nina uhakika kama ridhwani ana mtoto hakumpeleka unyago bali hospitalini and the queation is kama unyago ni mzuri kwa nini wao wasipeleke watoto wao kwa nini utamaduni uenziwe na wengine tu?
nchi hii adui mkuu wa maendeleo ni uislamu wa tanzania ambao aidha haueleweki na wajiitao waislamu au wenyewe ni tatizo lkn mara nyingi uislamu hauwezi kuwa na tatizo kwani umetumika jamii nyingine kuleta maendeleo na ustaarabu hivyo tatizo ni waislamu wa tanzania …
Kitu pekee ambacho watu wasichojua ni kuwa, huko watoto hawapelekwi kutahiliwa siku hizi, wanatahiliwa hospital isipokuwa kwenye jando na unyago unaenda kufundishwa elimu mbalimbali za kimila, kijamii pamoja na kufanya matambiko kwenye mizimu.
Alifanyiwa, kumbuka kwenye unyago na jando jamii zote za kuanzia Mtwara, Lindi, Pwani n.k, suala la kupeleka mtoto kwenye jando (mtoto wa kiume) na unyago (mtoto wa kike ) ni "LAZIMA"sawa, swali je ridhwani alipelekwa unyago na raisi kikwete? au yeye ridhwani kama ana mtoto kampeleka kwenye huo unyago? jibu lake wewe mwenyewe unalijua kwamba ni no, sasa kwa nini huo unyago kama ni mzuri uwe kwa watoto wa wengine tu?
Mkuu mbona jamaa kaelezea vizursawa, swali je ridhwani alipelekwa unyago na raisi kikwete? au yeye ridhwani kama ana mtoto kampeleka kwenye huo unyago? jibu lake wewe mwenyewe unalijua kwamba ni no, sasa kwa nini huo unyago kama ni mzuri uwe kwa watoto wa wengine tu?