Jakaya Kikwete na Ridhiwani, wageni rasmi kwenye sherehe za Jando na Unyago huko Msoga

Jakaya Kikwete na Ridhiwani, wageni rasmi kwenye sherehe za Jando na Unyago huko Msoga

Ila haka kamkoa ka pwani kana Mambo ya hovyo sana. Nmeshuhudia maeneo ya chalinze, msoga, mbonga, lugoba, mindu tulieni, makombe, kinzagu ni Mambo ya jando kutoa mwari na ushenzi wa shuguli za ovyo kila siku. Mkwere Yuko tayari afanye shughuri ya kutoa mwanae ambaye ashatolewa bikra kitambo wakati huo yeye analala kwa nyumba ya miti paa nyasi na analala kwa bed ya kamba.
 
Zinawapa vijana uwezo wa kukabiliana na mazingira na changamoto za kimaisha.
Ajira bora na kipato kizuri ndio vinawapa vijana uwezo wa kukabiliana na mazingira na changamoto za kimaisha.
 
ukitaka kujua kwa nini wanazima umeme na kutesa watu au kwa nini watoto albino hawakuwa protected na walitekwa kuuliwa na kukatwa viungo angalia tu matendo ya watawala wetu, hata umeme upo na na wanakata makusudi sababu ya matambiko, nina uhakika kwa 100% raisi mstaafu kikwete hakumpeleka ridhwani unyago kama alitairiwa alimpeleka hospitalini na nina uhakika kama ridhwani ana mtoto hakumpeleka unyago bali hospitalini and the question is kama unyago ni mzuri kwa nini wao wasipeleke watoto wao kwa nini utamaduni uenziwe na wengine tu?

nchi hii adui mkuu wa maendeleo ni uislamu wa tanzania ambao aidha haueleweki na wajiitao waislamu au wenyewe ni tatizo lkn mara nyingi uislamu hauwezi kuwa na tatizo kwani umetumika jamii nyingine kuleta maendeleo na ustaarabu hivyo tatizo ni waislamu wa tanzania na watu aina hii tunategemea watuvushe 20th century kweli?
Wee kenge umeandika kitu gani hiki
 
Ajira bora na kipato kizuri ndio vinawapa vijana uwezo wa kukabiliana na mazingira na changamoto za kimaisha.
Wakiwa wanaelewa mila na tamaduni nzuri za wazee wao na jamii inayowazunguka
 
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mhe Ridhiwani Kikwete, Mbunge wa Chalinze ambaye pia ni Naibu Waziri katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakitembelea vijana kambini kwao usiku kijijini Msoga wilaya ya Chalinze mkoani Pwani ukoo wa Kikwete walikuwa na sherehe kubwa ya jando na unyago.

Wavulana na Wasichana hao waliotoka siku hiyo ni wajukuu wa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na kaka zake na dada zake.
View attachment 2861386View attachment 2861387View attachment 2861388View attachment 2861389
Nadhani hapo wale mnaojifanya kulea watoto kizungu mnakitu Cha kujifunza hapo Kwa hawa jamaa wajanja wanatupa maigizo huku wakituficha uhalisia wa maisha yao . Hakuna asiye na kabila lake na ukijua Hilo utakumbuka kuwa yapo mengi Leo unayopata kama faida ya nasaha na malezi ya utamaduni wenu binafsi nawapongeza sana na hii ilipaswa kuwa sehemu ya maisha yetu hasa katika kipindi hiki cha janga kubwa la malezi ya watoto # KATAA utumwa wa fikra Cha kale ni dhahabu
 
Kwahiyo ni wageni rasmi katika sherehe yao wenyewe.

Hii ni kama kusema leo tumepata mgeni nyumbani ambae ni baba mwenye nyumba anaeishi hapo hapo.

Anyways ni wakati wao huu kila wanachofanya ni headline. Hata kutahiri watoto wao.

Pia hongera kwao kwa kuenzi mila na jadi.
Kumbe hao watoto ni wa familia yao
 
ukitaka kujua kwa nini wanazima umeme na kutesa watu au kwa nini watoto albino hawakuwa protected na walitekwa kuuliwa na kukatwa viungo angalia tu matendo ya watawala wetu, hata umeme upo na na wanakata makusudi sababu ya matambiko, nina uhakika kwa 100% raisi mstaafu kikwete hakumpeleka ridhwani unyago kama alitairiwa alimpeleka hospitalini na nina uhakika kama ridhwani ana mtoto hakumpeleka unyago bali hospitalini and the question is kama unyago ni mzuri kwa nini wao wasipeleke watoto wao kwa nini utamaduni uenziwe na wengine tu?

nchi hii adui mkuu wa maendeleo ni uislamu wa tanzania ambao aidha haueleweki na wajiitao waislamu au wenyewe ni tatizo lkn mara nyingi uislamu hauwezi kuwa na tatizo kwani umetumika jamii nyingine kuleta maendeleo na ustaarabu hivyo tatizo ni waislamu wa tanzania na watu aina hii tunategemea watuvushe 20th century kweli?
Wewe ni kichaa
 
Watoto ambao future yao ipo guarantee itakua super, wa huku lingusenguse, mkongo, Nyalamatata, litola ni giza tupu, mazingira ya kuwafanya wa achieve dreams zao hakuna!
Jando na unyago zinahusiana vipi mkuu? Saa nyingine ficha upumbavu wako wa kuwaza siasa kwenye kila kitu.
 
Back
Top Bottom