mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
We nenda kwenye white party zenuKutumia umaarufu wa Rais mstaafu katika hii jando, ni kurudisha nyuma fikra na maendeleo ya kisasa.. Kwanini, asitumie umaarufu kuleta kitu cha kisasa cha kimaendeleo kwa watu wao.... Ukiona mtu anajikita katika mila, kuna kitu analenga au anataka kukwepa... Hiyo ni kuwateka mawazo watu wa maeneo hayo... Hawa watoto ambao wanaonekana karibu miaka 10 , wangepewa ujuzi unaowasaidia katika maisha ya sasa, sio kuwaweka kwenye kambi ya jando kama hizo..
Na pink party endelea na uzungu wenu
Ndomana ushg unatamalaki
Ova