Yo majesty
JF-Expert Member
- Sep 13, 2023
- 687
- 1,179
Zinawapa vijana uwezo wa kukabiliana na mazingira na changamoto za kimaisha.Zina faida gani?
Inasikitisha sana, ndio maana kupata maendeleo Africa ni vigumu sana.21st century mnapromote unyago? what about kuwasha umeme watu wafanye kazi wajiari na kupata kipato?
Ajira bora na kipato kizuri ndio vinawapa vijana uwezo wa kukabiliana na mazingira na changamoto za kimaisha.Zinawapa vijana uwezo wa kukabiliana na mazingira na changamoto za kimaisha.
Wee kenge umeandika kitu gani hikiukitaka kujua kwa nini wanazima umeme na kutesa watu au kwa nini watoto albino hawakuwa protected na walitekwa kuuliwa na kukatwa viungo angalia tu matendo ya watawala wetu, hata umeme upo na na wanakata makusudi sababu ya matambiko, nina uhakika kwa 100% raisi mstaafu kikwete hakumpeleka ridhwani unyago kama alitairiwa alimpeleka hospitalini na nina uhakika kama ridhwani ana mtoto hakumpeleka unyago bali hospitalini and the question is kama unyago ni mzuri kwa nini wao wasipeleke watoto wao kwa nini utamaduni uenziwe na wengine tu?
nchi hii adui mkuu wa maendeleo ni uislamu wa tanzania ambao aidha haueleweki na wajiitao waislamu au wenyewe ni tatizo lkn mara nyingi uislamu hauwezi kuwa na tatizo kwani umetumika jamii nyingine kuleta maendeleo na ustaarabu hivyo tatizo ni waislamu wa tanzania na watu aina hii tunategemea watuvushe 20th century kweli?
Wakiwa wanaelewa mila na tamaduni nzuri za wazee wao na jamii inayowazungukaAjira bora na kipato kizuri ndio vinawapa vijana uwezo wa kukabiliana na mazingira na changamoto za kimaisha.
Nadhani hapo wale mnaojifanya kulea watoto kizungu mnakitu Cha kujifunza hapo Kwa hawa jamaa wajanja wanatupa maigizo huku wakituficha uhalisia wa maisha yao . Hakuna asiye na kabila lake na ukijua Hilo utakumbuka kuwa yapo mengi Leo unayopata kama faida ya nasaha na malezi ya utamaduni wenu binafsi nawapongeza sana na hii ilipaswa kuwa sehemu ya maisha yetu hasa katika kipindi hiki cha janga kubwa la malezi ya watoto # KATAA utumwa wa fikra Cha kale ni dhahabuRais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mhe Ridhiwani Kikwete, Mbunge wa Chalinze ambaye pia ni Naibu Waziri katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakitembelea vijana kambini kwao usiku kijijini Msoga wilaya ya Chalinze mkoani Pwani ukoo wa Kikwete walikuwa na sherehe kubwa ya jando na unyago.
Wavulana na Wasichana hao waliotoka siku hiyo ni wajukuu wa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na kaka zake na dada zake.
View attachment 2861386View attachment 2861387View attachment 2861388View attachment 2861389
Bila kusahau mbembe..!!Watoto ambao future yao ipo guarantee itakua super, wa huku lingusenguse, mkongo, Nyalamatata, litola ni giza tupu, mazingira ya kuwafanya wa achieve dreams zao hakuna!
Kumbe hao watoto ni wa familia yaoKwahiyo ni wageni rasmi katika sherehe yao wenyewe.
Hii ni kama kusema leo tumepata mgeni nyumbani ambae ni baba mwenye nyumba anaeishi hapo hapo.
Anyways ni wakati wao huu kila wanachofanya ni headline. Hata kutahiri watoto wao.
Pia hongera kwao kwa kuenzi mila na jadi.
Yes mkuu MbimbiBila kusahau mbembe..!!
Naona ameshaedit thread kaaiweka vzuri sasa.kichwa cha habari tu ndio kimemgomea sio mbayaSawa sawa uko sahihi kbs
Wewe ni kichaaukitaka kujua kwa nini wanazima umeme na kutesa watu au kwa nini watoto albino hawakuwa protected na walitekwa kuuliwa na kukatwa viungo angalia tu matendo ya watawala wetu, hata umeme upo na na wanakata makusudi sababu ya matambiko, nina uhakika kwa 100% raisi mstaafu kikwete hakumpeleka ridhwani unyago kama alitairiwa alimpeleka hospitalini na nina uhakika kama ridhwani ana mtoto hakumpeleka unyago bali hospitalini and the question is kama unyago ni mzuri kwa nini wao wasipeleke watoto wao kwa nini utamaduni uenziwe na wengine tu?
nchi hii adui mkuu wa maendeleo ni uislamu wa tanzania ambao aidha haueleweki na wajiitao waislamu au wenyewe ni tatizo lkn mara nyingi uislamu hauwezi kuwa na tatizo kwani umetumika jamii nyingine kuleta maendeleo na ustaarabu hivyo tatizo ni waislamu wa tanzania na watu aina hii tunategemea watuvushe 20th century kweli?
Ikiwemo ushirina; ili kupata vyeo kisiasa na serikalini hawa watu inabidi walale na maiti!!🤣🤣Napenda sana kuona mambo ya kimila yalizingatiwa.
Kumbe hao watoto ni wa familia yao
Wavulana na Wasichana hao waliotoka siku hiyo ni wajukuu wa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na kaka zake na dada zake.
Jando na unyago zinahusiana vipi mkuu? Saa nyingine ficha upumbavu wako wa kuwaza siasa kwenye kila kitu.Watoto ambao future yao ipo guarantee itakua super, wa huku lingusenguse, mkongo, Nyalamatata, litola ni giza tupu, mazingira ya kuwafanya wa achieve dreams zao hakuna!