Jakaya Kikwete na Ridhiwani, wageni rasmi kwenye sherehe za Jando na Unyago huko Msoga

sawa, swali je ridhwani alipelekwa unyago na raisi kikwete? au yeye ridhwani kama ana mtoto kampeleka kwenye huo unyago? jibu lake wewe mwenyewe unalijua kwamba ni no, sasa kwa nini huo unyago kama ni mzuri uwe kwa watoto wa wengine tu?
Hakuna mzazi anaelazimishwa kupeleka mtoto wake huko, na wala haukatazwi.

Ambae anataka kupeleka apeleke asiona kama kuna manufaa asipeleke

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Kutumia umaarufu wa Rais mstaafu katika hii jando, ni kurudisha nyuma fikra na maendeleo ya kisasa.. Kwanini, asitumie umaarufu kuleta kitu cha kisasa cha kimaendeleo kwa watu wao.... Ukiona mtu anajikita katika mila, kuna kitu analenga au anataka kukwepa... Hiyo ni kuwateka mawazo watu wa maeneo hayo... Hawa watoto ambao wanaonekana karibu miaka 10 , wangepewa ujuzi unaowasaidia katika maisha ya sasa, sio kuwaweka kwenye kambi ya jando kama hizo..
 
Inasikitisha sana, ndio maana kupata maendeleo Africa ni vigumu sana.
Mbona wazungu wana Mila zao mpaka leo na Bado wana maendeleo yaani uwa natamani kuwapiga makofi nyie wenye mawazo ya kijinga..
Mnaona bora kukumbatia Mila za wazungu na Sio mila zetu..

Mbona wao wana mila zao na hawazioni kama ni mbaya
 
Ajira bora na kipato kizuri ndio vinawapa vijana uwezo wa kukabiliana na mazingira na changamoto za kimaisha.
Ajira ni utumwa na Elimu ya Kimagharibi ni Utumwa wa Kizazi kipya (Neo-Colonialism)
 
Inategemeana na tafsiri yako ya neno "USHIRIKINA" hata teknolojia waweza itumia upate vyeo.
Kulala na maiti ni ushrikina, hakuna technolojia hapo! Watu wa huko anakotoka Vasco Dagama ni maarufu kwa nguvu za giza!
 


Jitahidi kuondoa chuki zinazoleta giza katika fikra zako, umeziacha mpaka zinakutawala kiasi hueleweki unataka kusema nini.

You sound like you’re about to get a seizure. Pole.
 
21st century mnapromote unyago? what about kuwasha umeme watu wafanye kazi wajiari na kupata kipato?


Uko sahihi, umeme uwashwe saa 24 bila kukatika Kama hakuna national emergency.

Kuhusu kupromote Unyago karne ya 21 naona Kama hata watu wanachelewa sana, Unyago ulipaswa uwe lazima kwa kila kabila kuendana na mila na desturi zao.


KTY; Mila, Desturi na Tamaduni ndivyo vinavyotufafanua na kutukamilisha as individuals and societies in general. Ni zaidi ya muhimu.
 


Sio dhambi kuwa tofauti. Jamii ulimwenguni kote ni mkusanyiko wa watu/koo tofauti tofauti.

Tofauti zetu ndizo zinazotufanya binaadam/viumbe hai kufanana.

Hakuna mila, desturi ama Tamaduni bora wala dhaifu katika jamii husika kwa maana hizo kwao ni Sawa na miongozo ya maisha iliyorithiwa kizazi kwa kizazi na kudumu kutokana na Imani yao kwa kuleta ufanisi wanaouhitaji/wanaoutarajia.

Ndiyo misingi ya ujenzi wa jamii zao, ni muhimu kwao. Zinawahusu zaidi wao.
 
Binti gani saizi ambaye hajui mtoto anapatikana vip
 
Ila nimeona madogo wa 3 wana vitambi na viduku. Ina maana huko ni buffee na saloon kwa sana.
 
Ila nimeona madogo wa 3 wana vitambi na viduku. Ina maana huko ni buffee na saloon kwa sana.
Kwa tajiri ni kujiachia, huku pangu pakavu tia mchuzi unafurahia lishe siku ukitoka jandoni, ila ukiwa huko jandoni ni mwendo wa ugali dagaa wa kuchemshwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…