We nenda kwenye white party zenuKutumia umaarufu wa Rais mstaafu katika hii jando, ni kurudisha nyuma fikra na maendeleo ya kisasa.. Kwanini, asitumie umaarufu kuleta kitu cha kisasa cha kimaendeleo kwa watu wao.... Ukiona mtu anajikita katika mila, kuna kitu analenga au anataka kukwepa... Hiyo ni kuwateka mawazo watu wa maeneo hayo... Hawa watoto ambao wanaonekana karibu miaka 10 , wangepewa ujuzi unaowasaidia katika maisha ya sasa, sio kuwaweka kwenye kambi ya jando kama hizo..
😂😂😂Hahaha anavaa Jeans Na Raba badala angevaa kama Ngariba
Marais na mawaziri wenu wa karne nyingi zijazo.Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mhe Ridhiwani Kikwete, Mbunge wa Chalinze ambaye pia ni Naibu Waziri katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakitembelea vijana kambini kwao usiku kijijini Msoga wilaya ya Chalinze mkoani Pwani ukoo wa Kikwete walikuwa na sherehe kubwa ya jando na unyago.
Wavulana na Wasichana hao waliotoka siku hiyo ni wajukuu wa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na kaka zake na dada zake.
View attachment 2861386View attachment 2861387View attachment 2861388View attachment 2861389
Hatareeeee....Kwa tajiri ni kujiachia, huku pangu pakavu tia mchuzi unafurahia lishe siku ukitoka jandoni, ila ukiwa huko jandoni ni mwendo wa ugali dagaa wa kuchemshwa
Kwanini?Safi sana lkn wakike wasikeketwe
Uko sahihi, umeme uwashwe saa 24 bila kukatika Kama hakuna national emergency.
Kuhusu kupromote Unyago karne ya 21 naona Kama hata watu wanachelewa sana, Unyago ulipaswa uwe lazima kwa kila kabila kuendana na mila na desturi zao.
KTY; Mila, Desturi na Tamaduni ndivyo vinavyotufafanua na kutukamilisha as individuals and societies in general. Ni zaidi ya muhimu.
Unaweza leta ushahidi kuwa wanalala na maiti mkuu?Kulala na maiti ni ushrikina, hakuna technolojia hapo! Watu wa huko anakotoka Vasco Dagama ni maarufu kwa nguvu za giza!
Ushahidi unatolewa mahakamani kwa kiapo! Kule mortuary attendants wataleta na picha; upo?Unaweza leta ushahidi kuwa wanalala na maiti mkuu?
Bado ni maneno leta ushahidi usio na shaka.Ushahidi unatolewa mahakamani kwa kiapo! Kule mortuary attendants wataleta na picha; upo?
Ushahidi usio na shaka hutolewa kwa kiapo!! Kama muislam unashika msaafu ; mkristo unashika bibilia na kama huna dini unatafutiwa utaratibu wa kuapa!! Hapo hutakiwi kuleta porojo ama sivyo unakwenda lupango!!!Bado ni maneno leta ushahidi usio na shaka.