Hovyo kabisa!!
Jk ndio dalali mfaidikaji mkuu wa huu utawala wa hovyo!.
Mkewe mbunge, mwanae kawa waziri kabisa....
Rais mstafuu kikwete ni bure kabisa
Kwa nini ni Bure? Kwamba ukizeeka hutakiwi kusema Samia analeta maendeleo?Jamani huyu mzee mnamlisha maneno au anazungumza mwenyewe...amezeeka yule hafai kuendelea kutoa kauli kama hizi kwa nchi yetu
DoziJamani huyu mzee mnamlisha maneno au anazungumza mwenyewe...amezeeka yule hafai kuendelea kutoa kauli kama hizi kwa nchi yetu
DoziRais mstafuu kikwete ni bure kabisa
Mm sijaona🤪, naona tu maneno mengi. Ukizeeka maarifa hupungua ndio maana wanashauri upumzikeKwa nini ni Bure? Kwamba ukizeeka hutakiwi kusema Samia analeta maendeleo?
Chadomo mna shida sana ya Afya ya akili,haya sio maendeleo aliyoyassma JK? 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DK-ZFb5t9jd/?igsh=MWo5dzB0Z29zYWZsYw==
Bado hujaona au hutaki kuona?Mm sijaona🤪, naona tu maneno mengi. Ukizeeka maarifa hupungua ndio maana wanashauri upumzike
🤣🤣🤣machawa wanafurahishaMy Take
Linapokuja Suala la delivery,Samia ni next level,tunae Rais anaeleta matokeo.JK Yuko sahihi
Pia soma Pre GE2025 - Rais Samia na Miaka 4 ya Uongozi wenye Neema, Watanzania Waogelea Kwenye Mafanikio huku Akijenga Dira ya Tanzania Mpya
View attachment 3299518View attachment 3299519
Mm sijaona🤪, naona tu maneno mengi. Ukizeeka maarifa hupunguaKwa nini ni Bure? Kwamba ukizeeka hutakiwi kusema Samia analeta maendeleo?
Chadomo mna shida sana ya Afya ya akili,haya sio maendeleo aliyoyassma JK? 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DK-ZFb5t9jd/?igsh=MWo5dzB0Z29zYWZsYw==
Kuzindua??...hizo hafla ndizo anaweza. Vitu vya msingi hawezi
Tatizo lako Mjinga Unapewa Tokenism unasema maendeleo unajua alikopa kiasi gani na nimwaka gani alikopa hizo ela ?? Tatzo ukiwa chawa hufikri tenaKwa nini ni Bure? Kwamba ukizeeka hutakiwi kusema Samia analeta maendeleo?
Chadomo mna shida sana ya Afya ya akili,haya sio maendeleo aliyoyassma JK? 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DK-ZFb5t9jd/?igsh=MWo5dzB0Z29zYWZsYw==