ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
- Thread starter
-
- #321
Hamia kwenye Haki.Tatizo lako Mjinga Unapewa Tokenism unasema maendeleo unajua alikopa kiasi gani na nimwaka gani alikopa hizo ela ?? Tatzo ukiwa chawa hufikri tena
Leo wafanya biashara wameongezewa kodi ya Kifalaa Unasema Maendeleo.. nchi Haina Haki unasema maendeleo You must be the dumbest mafaka i seen in my damn life You actually a true meaning of a Fool
Acha kukariri ujingaHATUKUMBUKI MAPOLICE WA HITLER TUNAMKUMBUKA HITLER... HATA AFANYE JEMA LIPI KAMA KATIBA KWAKE NI KITABU HAKUNA MAENDELEO KAKULETEA HIZO NI PLAN ZA KWANZIA AWAMU YA MAGUFULI HANA PLAN MPYA YOYOTE YA MAANA ZAIDI YA KUTOKUKEMEA UHARIBIFU WA HAKI NCHI FALA WEWE PIMBI HUNA COMMON SENSE
HATUKUMBUKI MAPOLICE WA HITLER TUNAMKUMBUKA HITLER... HATA AFANYE JEMA LIPI KAMA KATIBA KWAKE NI KITABU HAKUNA MAENDELEO KAKULETEA HIZO NI PLAN ZA KWANZIA AWAMU YA MAGUFULI HANA PLAN MPYA YOYOTE YA MAANA ZAIDI YA KUTOKUKEMEA UHARIBIFU WA HAKI NCHI FALA WEWE PIMBI HUNA COMMON SENSE
Mbunge wa kisesa Anadai ela Bungeni Kama Unaona Kuna Haki Niambie Nani amehukumiwa na kifo cha kibao ama samia anaongea nini juu waliopotea?Hamia kwenye Haki.
Hamia ambako hawaongezi Kodi/ushauri
Hamia ambako hawakopi
Sasa wewe Chadomo kwako maendeleo ni nini? ππ
Kazi ya Samia inaonekana ππ
View: https://www.instagram.com/reel/DK_4eVGSgFF/?igsh=YzQ1YWN2eXI2ZHo0
Kikwete hajawahi kuwa na Akili ww.My Take
Linapokuja Suala la delivery,Samia ni next level,tunae Rais anaeleta matokeo.JK Yuko sahihi
Pia soma Pre GE2025 - Rais Samia na Miaka 4 ya Uongozi wenye Neema, Watanzania Waogelea Kwenye Mafanikio huku Akijenga Dira ya Tanzania Mpya
View attachment 3299518View attachment 3299519
Kifo Cha kibao ndio maendeleo? Kibao ndio wa kwanza kufa Dunia hii?Mbunge wa kisesa Anadai ela Bungeni Kama Unaona Kuna Haki Niambie Nani amehukumiwa na kifo cha kibao ama samia anaongea nini juu waliopotea?
Hutakaa unukuu samia alichoongea ila unajua kuropoka Neno Haki.. ! Nachojua Unajiabisha kwa Maneno yako na Huezi kuongeaa Kwa Mdomo Hadharani
Alimgawia nani?Kikwete aligawa raslimali za Taifa kwa kiasi cha kutisha ie Gas yetu.
Fedha za Escraw
Hii ni familia ya JK?Maendeleo makubwa kwa familia yake, wala hajakosea...
Maendeleo makubwa kwa familia yake, wala hajakosea...
Tumekubaliana kwamba anaegawa Rasilimali za Tanganyika ni Mzanzibar Samia iweje umsingizie mtanganyika Kikwete? πππππKikwete aligawa raslimali za Taifa kwa kiasi cha kutisha ie Gas yetu.
Fedha za Escraw
Tutaingia uchumi wa kati.My Take
Linapokuja Suala la delivery,Samia ni next level,tunae Rais anaeleta matokeo.JK Yuko sahihi
Pia soma Pre GE2025 - Rais Samia na Miaka 4 ya Uongozi wenye Neema, Watanzania Waogelea Kwenye Mafanikio huku Akijenga Dira ya Tanzania Mpya
View attachment 3299518View attachment 3299519