Jakaya Kikwete ungeachana tu na mambo ya siasa. Haitapendeza siku ukitutoka watu wafanye sherehe

Jakaya Kikwete ungeachana tu na mambo ya siasa. Haitapendeza siku ukitutoka watu wafanye sherehe

Ile ni heshima aliyonayo kwa JK akiwa rais mstaafu pekee aliye hai dakika hii.

Unaweza kumchukia kwa tabia zake za kiswahili na ujuaji wake, lakini huwezi kuupinga ukweli kwamba Samia ni lazima hadharani aonyeshe kumheshimu mstaafu anayemtazama kutokea pembeni akiwa na utayari wa kumshauri pale inapobidi.

Kikwete hawezi kuingilia ufanisi wa shughuli za kiserikali, hana nguvu hizo na ushauri wake unaweza kupingwa pia.
Aklcoo

According to late president..urais hauingiliwi na yeyote may b kama unamfano nan nliwahi kumtambua hvyo b4... nikumbushe mkuu..
 
Aklcoo

According to late president..urais hauingiliwi na yeyote may b kama unamfano nan nliwahi kumtambua hvyo b4... nikumbushe mkuu..
Rais mstaafu anakuwa na uzoefu kuliko aliyepo madarakani. Samia zaidi ya kuwapa vyeo jamaa zake Kikwete hajaingiliwa na Kikwete kwenye utendaji wa masuala nyeti ya kiserikali.

Hata Mtoto wa Magufuli Jesca atakuwepo kwenye bunge lijalo, lakini huwezi kusikia watu wakimsema vibaya, nadhani sababu ni ukweli kwamba hayati JPM alikuwa mkristo mwenzetu.

DP World ilianza mpaka kumalizika ikiwa chini ya wanasheria wa serikali, Kikwete hana mkono wake kwenye ufanikishaji wa mchakato mzima.

LNG hivi sasa inakamilishwa na wanasheria wa serikali, Kikwete hana mkono wake kuanzia mchakato ulipoanza mpaka ulipofikia.
 
Kitu kikishakua ndani ya damu ni ngumu kuacha JK siasa ipo ndani ya Damu let say Nyerere hata baada kustaafu still alijihusisha na siasa kama kutoa ushauri wa mambo mbalimbali ya kisiasa, so Acha Mzee wa watu afe na siasa yake
 
Sidhani kama hiyo sababu ina mashiko. Watu kusherehekea ni kawaida tu, huwezi kupendwa na wote.

Hata alipokufa J K Nyerere baba wa Taifa, nakumbuka Christopher Mtikila alisherehekea wazi wazi kwa kununua soda na kuwagawia watu pale Kariakoo mwaka 1999.

Mimi mwenyewe alipokufa Magufuli nilichanga hela na wenzangu tukanunua ngamia pale Kigamboni. Tulimchinja tukala cc Crimea , Idugunde , Nyankurungu2020 , Carlos The Jackal
Upuuzi mtupu. Fisadi na mtu aliyee na vyeti feki lazima umchukie shujaa wa Afrika
 
Mkuu mbona una hasira hivyo?
Hakuna hasira Mkuu 😀 !
Haya ni mambo ya kawaida tu !
Ni lazima tukubali Kutokukubaliana !
Ndio maana akina Polepole wanaongea huku wamejificha 🤣🤣 !
Africa kweli ni Shida 😳 !
 
Hakuna hasira Mkuu 😀 !
Haya ni mambo ya kawaida tu !
Ni lazima tukubali Kutokukubaliana !
Ndio maana akina Polepole wanaongea huku wamejificha 🤣🤣 !
Africa kweli ni Shida 😳 !
Hahaha ni kweli. Changamoto kubwa sisi ngozi nyeusi tuna penda kusikia maneno yanayo tufrahisha tu na sio ukweli japo ni mchungu. Hili ni moja ya mapungufu tuliyo nayo.
 
Back
Top Bottom