Eti. "Tanzania nzima" inafahamu upumbavu wa Kikwete!! Wewe hizo takwimu za Waranzania wanaochukia Kikwete ulitumia chombo gani kufanya utafiti, nikwambie kitu?? Usituletee chuki zako binafsi kumuhusu Kikwete ukafikiri watu na akili zao timamu watakaa chini na kisikiliza chuki chuki zako zosizo za msingi kumuhusu Kikwete.
Kumbuka yeye ndiye aliruhusu hata uhuru wa vyombo vya habari nchini, bila yeye hata hii Jamiiforums hisingekuwepo likumbuke sana hilo.
Kitu kingine, jitahidi sana kutumia lugha yenye staha, mimi nimesema Babu SEYA mambo ya adhalilishaji aliyo kuwa anawafanyia wanafunzi ni mabaya sana, wewe unanijibu kwa lugha ya vijiweni/mitaani na cha ajabu zaidi unaonyesha huna hata uchungu wa kweli kuhusu wanafunzi wa Watanzania wen