Too sad ila ndio ukweli. Anajiona mjanjaa, alimradi ni anaharibu tu kila siku. Ila maisha yana mwisho haya.Mzee yupo katikati ya mlo sio rahisi kusikia ushauri wako.....
Kwasasa anajiona bado ni kijana wa shule
Pepo nchafu aliyemuingia msoga hafai kabisaMsoga ana tamaa sana ya madaraka na utajiri licha tetesi za kunufaika kupitia wanawe ESCROW , yeye majumba na kila kitu kufadhiliwa na serikali,mkewe kula za mwenza na ubunge na mwanawe za ubunge na uwaziri hatosheki
Naona snamfukuzia Rostam Azizi na kuona mbona watoto wa Mwinyi na Karume waliukwaa urais kwanini asiwe na mwanawe pia.
Afafanue kidogo kwakweliKivipi
Utakapo fika muda kwenda mbele ya haki mh jk alafu mtu akafanya sherehe basi mtu huyo ameoza kichwaUmeifanyia mengi nchi hii
Mpaka unastaafu ulikuwa Rais bora kabisa
Uliwabeba wapinzani na kuimarisha demokrasia
Kujiataach na utawala huu watu wameanza kukuchukia
Nachelea kusema mazuri yote uliyofanya yanafutika
Itakuwa ni huzuni watu wakishetehekea siku ukitutoka.kumbuka una miaka 75 sasa.
Kikwete ni mmoja wa watu wa ovyo sana, na atakuwa ndio anamharibia Samia.Umeifanyia mengi nchi hii
Mpaka unastaafu ulikuwa Rais bora kabisa
Uliwabeba wapinzani na kuimarisha demokrasia
Kujiataach na utawala huu watu wameanza kukuchukia
Nachelea kusema mazuri yote uliyofanya yanafutika
Itakuwa ni huzuni watu wakishetehekea siku ukitutoka.kumbuka una miaka 75 sasa.
Hata mm nataka iwe hvo etuly kuna mtundarasa ka 5 anamwambia rais mstaafu machine na siasa huyu kashiba mtindinna ugaliMpaka rizimoko awe rais
Aliwabeba wapinzani wapiga deal km yeye kina Mbowe kubalance mawizi yake..Ningekua jakaya ningejisafisha kwa kuwapa watanzania zawadi ya kiongozi wamtakaye...fikiria kwa sasa yeye ndio mwenye uwezo wa kufanya hivyo lakini anaharibu huku akijua watanzania mpaka wa vijijini wanajua michezo yake
Eeeh! KumbeMpaka rizimoko awe rais
Kwani Babu Seya alimfira mwanao ? Tanzania nzima inafahamu upumbavu wa Kikwete wewe unashangilia uovu huo ?Kwani wewe uliyafurahia Babu SEYA aliyo kuwa anawafanyia wanafunzi??
We sema Kikwete ana UTU sana lingekuwa Taifa lingine Babu SEYA angefungwa maisha au kutiwa kitanzi kabisa, for some strange reasons au mambo ya kutaka sifa sijui Babu SEYA alikuja kuachiwa huru katika Serikali ya hawamu ipi??
Hivi sasa sina shaka yeye na genge lake bado wapo mitaani wanaendeleza uharibifu wao kwa wanafunzi.
Jamaa hawa hawafai hata kidogo, cha ajabu bado kuna baadhi ya Watanzania wanao endelea kuwachekelea TU!!
Tuna very short memoryNaunga mkono hoja
Kwangu mimi JK alikuwa rais mwenye nafuu sana, alijitahidi kuvumilia bunge huru, mahakama haikuchezewa kivile, vyombo vya habari vilikuwa na uhuru, matendo ya utekaji yalikuwa ni negligible, alijenga mabarabara mengi, shule nyingi za kata, udahili wa wanafunzi vyuo vikuu uliongezeka, ajira nyingi sana kila siku, internationally tulikuwa influential ktk siasa za Africa. Ofcourse na mapungufu yalikuwepo.
Lakini Pamoja na hayo sasa ni muda muafaka wa yeye kutambua kuwa Rais wa sasa hakubaliki, na yeye kudhani kuwa anaweza kumpigania rais huyu ili kumsaidia "angalau" aweze kuvuka muda wake salama anakuwa anajiharibia legacy yake mwenyewe, wananchi wanakuwa wanamchukia na yeye pia.
Eti. "Tanzania nzima" inafahamu upumbavu wa Kikwete!! Wewe hizo takwimu za Waranzania wanaochukia Kikwete ulitumia chombo gani kufanya utafiti, nikwambie kitu?? Usituletee chuki zako binafsi kumuhusu Kikwete ukafikiri watu na akili zao timamu watakaa chini na kisikiliza chuki chuki zako zosizo za msingi kumuhusu Kikwete.Kwani Babu Seya alimfira mwanao ? Tanzania nzima inafahamu upumbavu wa Kikwete wewe unashangilia uovu huo ?
MH.JAKAYA MRISHO KIKWETE,BABA WA TAIFA LETU KWA SASA, TUNAKUSHUKURU KWA USHAURI WAKO MAKINI KWA KIONGOZI WA TAIFA LETU,TUNAKUTAKIA MAISHA MAREFU ZAIDI NA ZAIDI,HASA KATIKA USHAURI WAKO,TUNAFAHAMU WALE WA NEGATIVITY WANAKUONA KIKWAZO KWELI KWAO,WALIFIKIRI MAMBO YANGEKUWA MARAHISI KWAO,MPAKA MUDA HUU HAWAAMINI MACHO YAO!Umeifanyia mengi nchi hii
Mpaka unastaafu ulikuwa Rais bora kabisa
Uliwabeba wapinzani na kuimarisha demokrasia
Kujiataach na utawala huu watu wameanza kukuchukia
Nachelea kusema mazuri yote uliyofanya yanafutika
Itakuwa ni huzuni watu wakishetehekea siku ukitutoka.kumbuka una miaka 75 sasa.
DahCV yake imeshuka angetulia Msoga awape Kuku chakula