Jakaya Kikwete ungeachana tu na mambo ya siasa. Haitapendeza siku ukitutoka watu wafanye sherehe

Jakaya Kikwete ungeachana tu na mambo ya siasa. Haitapendeza siku ukitutoka watu wafanye sherehe

Umeifanyia mengi nchi hii
Mpaka unastaafu ulikuwa Rais bora kabisa
Uliwabeba wapinzani na kuimarisha demokrasia

Kujiataach na utawala huu watu wameanza kukuchukia
Nachelea kusema mazuri yote uliyofanya yanafutika
Itakuwa ni huzuni watu wakishetehekea siku ukitutoka.kumbuka una miaka 75 sasa.
Nchi Ina wenyewe, mkae kwa kutulia....hata akija kufa Jk still deep state bado ipo na Cheni ndefuu. Nasikia imejulikana kuna watu wa dini fulani wanataka leta riot katika country... Stop Kuwa na chuki na mamlaka mtaumia wakuu, tutii mamlaka halali
 
Umeifanyia mengi nchi hii
Mpaka unastaafu ulikuwa Rais bora kabisa
Uliwabeba wapinzani na kuimarisha demokrasia

Kujiataach na utawala huu watu wameanza kukuchukia
Nachelea kusema mazuri yote uliyofanya yanafutika
Itakuwa ni huzuni watu wakishetehekea siku ukitutoka.kumbuka una miaka 75 sasa.
Na kwa kuwa umemtamkia hili, mwaka huu hatoboi
 
Kati ya vitu Mzee wa Msoga hawezi kuacha/kusikia/kuelewa, basi ni hiyo ishu ya kuachana na mambo ya siasa na pia kusafiri kwenda Ulaya na Marekani.
Ataacha baada ya mwanae kuwa rais wa hii nchi. Ndicho anachokitengeneza sasa kupitia mama wa kizanzibar. Itafikia muda atachekwa na kudhihakiwa kila sehemu kwa tamaa ya kuufanya ukoo wake uwe wa kisultani katika koti la kidemokrasia nchini.
 
Naunga mkono hoja

Kwangu mimi JK alikuwa rais mwenye nafuu sana, alijitahidi kuvumilia bunge huru, mahakama haikuchezewa kivile, vyombo vya habari vilikuwa na uhuru, matendo ya utekaji yalikuwa ni negligible, alijenga mabarabara mengi, shule nyingi za kata, udahili wa wanafunzi vyuo vikuu uliongezeka, ajira nyingi sana kila siku, internationally tulikuwa influential ktk siasa za Africa. Ofcourse na mapungufu yalikuwepo.

Lakini Pamoja na hayo sasa ni muda muafaka wa yeye kutambua kuwa Rais wa sasa hakubaliki, na yeye kudhani kuwa anaweza kumpigania rais huyu ili kumsaidia "angalau" aweze kuvuka muda wake salama anakuwa anajiharibia legacy yake mwenyewe, wananchi wanakuwa wanamchukia na yeye pia.

Umeelezea vizuri sana.
 
K
Umeifanyia mengi nchi hii
Mpaka unastaafu ulikuwa Rais bora kabisa
Uliwabeba wapinzani na kuimarisha demokrasia

Kujiataach na utawala huu watu wameanza kukuchukia
Nachelea kusema mazuri yote uliyofanya yanafutika
Itakuwa ni huzuni watu wakishetehekea siku ukitutoka.kumbuka una miaka 75 sasa.
Kuna wafanyao Siasa na Wafanyao biashara. Ni vema kuwajua ili kuamua ushauri wa kuwapa, isije kuwa unamshauri MTU kuharibu biadhara yake.
 
Hata yeye itakuwa hivyo hapo watu hawajasahau alivyo mfanyia Babu Seya
Kwani wewe uliyafurahia Babu SEYA aliyo kuwa anawafanyia wanafunzi??

We sema Kikwete ana UTU sana lingekuwa Taifa lingine Babu SEYA angefungwa maisha au kutiwa kitanzi kabisa, for some strange reasons au mambo ya kutaka sifa sijui Babu SEYA alikuja kuachiwa huru katika Serikali ya hawamu ipi??

Hivi sasa sina shaka yeye na genge lake bado wapo mitaani wanaendeleza uharibifu wao kwa wanafunzi.

Jamaa hawa hawafai hata kidogo, cha ajabu bado kuna baadhi ya Watanzania wanao endelea kuwachekelea TU!!
 
Umeifanyia mengi nchi hii
Mpaka unastaafu ulikuwa Rais bora kabisa
Uliwabeba wapinzani na kuimarisha demokrasia

Kujiataach na utawala huu watu wameanza kukuchukia
Nachelea kusema mazuri yote uliyofanya yanafutika
Itakuwa ni huzuni watu wakishetehekea siku ukitutoka.kumbuka una miaka 75 sasa.
Huyo mweu awezi kamwe kufanya hivyo
 
mazuri gani alifanya? VIjana wa chadema bana wengi wao ni washabiki wa CCM kiaina
 
Back
Top Bottom