Imeshuka Imeenda wapi kwasasa wenye Akili wengi umuombea maisha marefu Asa kipindi nchi taifa lipo kwenye kujitafuta upya baada kuondekewa na Marais wengi wastaafu.CV yake imeshuka angetulia Msoga awape Kuku chakula

Mkuu naona umesahau according to madam president alimwita Boss wangu au umesahau? Boss huwa hapingwiMnyonge mnyongeni haki yake mpeni. JK wakati wa Urais wake alifanya mambo mengi mema, ya kuigwa, kukumbukwa na kuenziwa. Ni katika wakati wake tuliona viongozi wa vyama vya upinzani walizunguka kila siku Ikulu wakinywa juisi na kula mapocho pocho. Kulipotokea changamoto za kisiasa, alikaa na viongozi wa upinzani na kuzungumza nao mambo yakaenda.
Ni katika kipindi hicho Demokrasia nchini ilishamir. Uhuru wa vyombo vya habari ulikuwa mkubwa. Nikitaja kwa uchache. Siyo Malaika yapo pia kama binadamu hakufanya vya kutosha.
Baada ya JPM kufariki, tunasikia JK Kawa karibu sana na Rais aliyeko madarakani SSH. Si jambo baya maana mama alipata nafasi hiyo bila kutarajia, ni mipango ya Mungu. Japo Urais ni taasisi, kwenye mazingira hayo haikuwa kosa kwa Rais mstaafu kuwa karibu na mama kwa maana ya kumshauri na kumtia moyo. Urais si mchezo ukizingatia kuwa SSH alishtukizwa tu.
Hata kama Rais wetu SSH anashauriwa na Rais mstaafu JK, sidhani na siamini kama ushauri huo unaingia moja kwa moja kwenye utekelezaji bila kupitia kwenye vyombo husika. Siasa ni nzuri sana maana ni maisha ya leo na kesho. Lakini Siasa ni mbaya sana, inaweza kukujenga leo lakini ikakubomoa na kukufinyanga kesho.
Unamiaka mingapi ndugu??Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. JK wakati wa Urais wake alifanya mambo mengi mema, ya kuigwa, kukumbukwa na kuenziwa. Ni katika wakati wake tuliona viongozi wa vyama vya upinzani walizunguka kila siku Ikulu wakinywa juisi na kula mapocho pocho. Kulipotokea changamoto za kisiasa, alikaa na viongozi wa upinzani na kuzungumza nao mambo yakaenda.
Ni katika kipindi hicho Demokrasia nchini ilishamir. Uhuru wa vyombo vya habari ulikuwa mkubwa. Nikitaja kwa uchache. Siyo Malaika yapo pia kama binadamu hakufanya vya kutosha.
Baada ya JPM kufariki, tunasikia JK Kawa karibu sana na Rais aliyeko madarakani SSH. Si jambo baya maana mama alipata nafasi hiyo bila kutarajia, ni mipango ya Mungu. Japo Urais ni taasisi, kwenye mazingira hayo haikuwa kosa kwa Rais mstaafu kuwa karibu na mama kwa maana ya kumshauri na kumtia moyo. Urais si mchezo ukizingatia kuwa SSH alishtukizwa tu.
Hata kama Rais wetu SSH anashauriwa na Rais mstaafu JK, sidhani na siamini kama ushauri huo unaingia moja kwa moja kwenye utekelezaji bila kupitia kwenye vyombo husika. Siasa ni nzuri sana maana ni maisha ya leo na kesho. Lakini Siasa ni mbaya sana, inaweza kukujenga leo lakini ikakubomoa na kukufinyanga kesho.
Umeifanyia mengi nchi hii
Mpaka unastaafu ulikuwa Rais bora kabisa
Uliwabeba wapinzani na kuimarisha demokrasia
Kujiataach na utawala huu watu wameanza kukuchukia
Nachelea kusema mazuri yote uliyofanya yanafutika
Itakuwa ni huzuni watu wakishetehekea siku ukitutoka.kumbuka una miaka 75 sasa.
Aliweza vipi na bado yuko kwente payroll ya serikali.Mbona enzi za JPM aliweza
Mbona Kwa wazungu ama waarabu haijafanya kazi mkuu ama ni kwetu tu weusi inafanya kaziMwambie Karma is bitch
what goes around comes around.
Karma is realMbona Kwa wazungu ama waarabu haijafanya kazi mkuu ama ni kwetu tu weusi inafanya kazi
Uliwahi kumuona kwenye ziara za JPM akijimwambafyAliweza vipi na bado yuko kwente payroll ya serikali.
Angalia UDSM yeye ni nani na anafanya nini pale cha maana?
Analinda maslahi ya familiaHiyo itakuwa ngumu sana kuirebisha kwa sasa.
How Sasa mbona wazungu wanawaibia watu, wanawaua, wanatengeneza vita wanauliwa watu wengi kwa kuuza silaha zao Ila bado wanazidi kudunda jamani.Karma is real
Akifa Leo watu watashangiliaImeshuka Imeenda wapi kwasasa wenye Akili wengi umuombea maisha marefu Asa kipindi nchi taifa lipo kwenye kujitafuta upya baada kuondekewa na Marais wengi wastaafu.
Karma inashika mtu mmoja mmoja sio taifaHow Sasa mbona wazungu wanawaibia watu, wanawaua, wanatengeneza vita wanauliwa watu wengi kwa kuuza silaha zao Ila bado wanazidi kudunda jamani.
Waafrika wanaibiwa Kila siku wao wanazidi kuwa masikini, magonjwa ,ujinga ni WA kwao
Ridhiwan na Abdul ni watoto wa baba mmoja mama mbalimbaliRidhwani Rais 2030 au tunampa Abdul... Or January makamba
Ahame nchi kabisa tumemchokaUliwahi kumuona kwenye ziara za JPM akijimwambafy
Alitulia na kusubiri maelekezo
Wafuasi wa jiwe ni watu wa ovyo sana. Jiwe alitumia ujinga wenu kujinufaisha huku nyie akiwaita wanyonge. Hata kuandika tu hujui. AiseeHaowapinzani aliwabeba kwa maslahi ya nani.
Uyo mzee aliwabeba kimkakati Ili wapige madili hakuna kingine.
JPM aliujua mchezowao ndiomaana akawapuuza wapinzani wakiongozwa na DJ.
Muda nimwalimu mkuu wa ukweli, Sasa tunajionea wenyewe DJ na kina kigaila waliovyo onyesha rangizao halisi.
Du...imekuwa hayo?Umeifanyia mengi nchi hii
Mpaka unastaafu ulikuwa Rais bora kabisa
Uliwabeba wapinzani na kuimarisha demokrasia
Kujiataach na utawala huu watu wameanza kukuchukia
Nachelea kusema mazuri yote uliyofanya yanafutika
Itakuwa ni huzuni watu wakishetehekea siku ukitutoka.kumbuka una miaka 75 sasa.
ameshamharibiaMpaka rizimoko awe rais
Weee usiniambieee 🤣🤣safi sanaUnaushetani mwingi Sana ww nadhani ww ndo jamii wa wanawake ambao huwa tunasikia wameua waume zao