StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Anahangaikia future ya familia yake!Miaka 75 yote hiyo badala ya kupumzika yeye bado anahangaika na sasaš¤
Anahangaikia future ya familia yake!Miaka 75 yote hiyo badala ya kupumzika yeye bado anahangaika na sasaš¤
Ondoa maneno "anajiona kama" ili ueleweke vizuri na baada ya kuondoa soma sasa kuanzia hapo ulipoanzia kwenye JK.Jk anajiona kama ndo mwenye mamlaka ya nchi
Basi, Roho ya BWANA ilikuwa imemwacha Sauli, na roho mbaya kutoka kwa BWANA ikamsumbua....Umeifanyia mengi nchi hii
Mpaka unastaafu ulikuwa Rais bora kabisa
Uliwabeba wapinzani na kuimarisha demokrasia
Kujiataach na utawala huu watu wameanza kukuchukia
Nachelea kusema mazuri yote uliyofanya yanafutika
Itakuwa ni huzuni watu wakishetehekea siku ukitutoka.kumbuka una miaka 75 sasa.
waliomfata wakaja na formula kuondoa upinzania bungeni eti unachelewesha maendeleo matokeo yake hakuna utulivu na maendelwo pia hakunaWapinzani alikuwa anawagawia gawio ili kuwe na utulivu.
waliomfata wakaja na formula kuondoa upinzania bungeni eti unachelewesha maendeleo matokeo yake hakuna utulivu na maendelwo pia hakuna
Umeifanyia mengi nchi hii
Mpaka unastaafu ulikuwa Rais bora kabisa
Uliwabeba wapinzani na kuimarisha demokrasia
Kujiataach na utawala huu watu wameanza kukuchukia
Nachelea kusema mazuri yote uliyofanya yanafutika
Itakuwa ni huzuni watu wakishetehekea siku ukitutoka.kumbuka una miaka 75 sasa.
Mbona enzi za JPM aliweza
Huu upuuzi wote unafanywa na kundi la JK ni matokeo ya utawala wa kipuuzi wa kundi la sukuma gang chini ya Magufuli. Kundi hili linaogopa kukaa mbali na maamuzi ya kisiasa lisije kufanyaziwa tena. Wanajua fika sukuma gang wakipata madaraka watawafanyizia. Magufuli na genge lake walipandikiza siasa chafu sana, kiasi kwamba wengine wanalamika kubaki kwenye siasa kwa usalama wao.Umeifanyia mengi nchi hii
Mpaka unastaafu ulikuwa Rais bora kabisa
Uliwabeba wapinzani na kuimarisha demokrasia
Kujiataach na utawala huu watu wameanza kukuchukia
Nachelea kusema mazuri yote uliyofanya yanafutika
Itakuwa ni huzuni watu wakishetehekea siku ukitutoka.kumbuka una miaka 75 sasa.
Wanaoumaliza mwendo vizuri Huwa wanakuaje?Mwendo anaenda kummaliza vibaya sana!!
Bado hujasemaKati ya vitu Mzee wa Msoga hawezi kuacha/kusikia/kuelewa, basi ni hiyo ishu ya kuachana na mambo ya siasa na pia kusafiri kwenda Ulaya na Marekani.
Umeifanyia mengi nchi hii
Mpaka unastaafu ulikuwa Rais bora kabisa
Uliwabeba wapinzani na kuimarisha demokrasia
Kujiataach na utawala huu watu wameanza kukuchukia
Nachelea kusema mazuri yote uliyofanya yanafutika
Itakuwa ni huzuni watu wakishetehekea siku ukitutoka.kumbuka una miaka 75 sasa.
Mungu alivyo fundi unaweza kutangulia wewe na watu tusijue humu.Mungu Anisamehe Kwa hili
ila JK na huyo mama
siku hiyo hata mimi nitachinja mnyama
nile yaani kifupi nitafanya party
kiukweli
Nawaombea waumalize mwendo
Sio wao tu
bali na familia zao ZOTE hata muda huu!
ššš Kwenda ulaya / Marekani was necessary!?Kati ya vitu Mzee wa Msoga hawezi kuacha/kusikia/kuelewa, basi ni hiyo ishu ya kuachana na mambo ya siasa na pia kusafiri kwenda Ulaya na Marekani.
HakikaMungu alivyo fundi unaweza kutangulia wewe na watu tusijue humu.