Jakaya Kikwete ungeachana tu na mambo ya siasa. Haitapendeza siku ukitutoka watu wafanye sherehe

Aklcoo
According to late president..urais hauingiliwi na yeyote may b kama unamfano nan nliwahi kumtambua hvyo b4... nikumbushe mkuu..
 
Aklcoo

According to late president..urais hauingiliwi na yeyote may b kama unamfano nan nliwahi kumtambua hvyo b4... nikumbushe mkuu..
Rais mstaafu anakuwa na uzoefu kuliko aliyepo madarakani. Samia zaidi ya kuwapa vyeo jamaa zake Kikwete hajaingiliwa na Kikwete kwenye utendaji wa masuala nyeti ya kiserikali.

Hata Mtoto wa Magufuli Jesca atakuwepo kwenye bunge lijalo, lakini huwezi kusikia watu wakimsema vibaya, nadhani sababu ni ukweli kwamba hayati JPM alikuwa mkristo mwenzetu.

DP World ilianza mpaka kumalizika ikiwa chini ya wanasheria wa serikali, Kikwete hana mkono wake kwenye ufanikishaji wa mchakato mzima.

LNG hivi sasa inakamilishwa na wanasheria wa serikali, Kikwete hana mkono wake kuanzia mchakato ulipoanza mpaka ulipofikia.
 
Kitu kikishakua ndani ya damu ni ngumu kuacha JK siasa ipo ndani ya Damu let say Nyerere hata baada kustaafu still alijihusisha na siasa kama kutoa ushauri wa mambo mbalimbali ya kisiasa, so Acha Mzee wa watu afe na siasa yake
 
Upuuzi mtupu. Fisadi na mtu aliyee na vyeti feki lazima umchukie shujaa wa Afrika
 
Mkuu mbona una hasira hivyo?
Hakuna hasira Mkuu πŸ˜€ !
Haya ni mambo ya kawaida tu !
Ni lazima tukubali Kutokukubaliana !
Ndio maana akina Polepole wanaongea huku wamejificha 🀣🀣 !
Africa kweli ni Shida 😳 !
 
Hakuna hasira Mkuu πŸ˜€ !
Haya ni mambo ya kawaida tu !
Ni lazima tukubali Kutokukubaliana !
Ndio maana akina Polepole wanaongea huku wamejificha 🀣🀣 !
Africa kweli ni Shida 😳 !
Hahaha ni kweli. Changamoto kubwa sisi ngozi nyeusi tuna penda kusikia maneno yanayo tufrahisha tu na sio ukweli japo ni mchungu. Hili ni moja ya mapungufu tuliyo nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…