Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Atoe UshauriDah ndo atatue hio kero JK☻
Hujui na yeye huko yupo kwenye hali gani.............Atoe Ushauri
Jakaya naye ni mtu basi?Jakaya Kikwete alikuwa na nafasi ya kutupa katiba mpya akatupiga danadana.
Unafikiri ana interest na demokrasia ya kweli?
KabisaMimi ni mtanzania ila nimeumizwa sana na hiki kilichofanyika serikali za mitaa.
Inawezekana vipi ukatumia mabilioni ya pesa kwenye taifa masikini ili tu ufanye uchaguzi wa kiini macho?
Kwanini hizo pesa usiwekeze kwa hili tatizo la ajira, elimu na afya? Sisi ni wazima kweli kiakili?
Jakaya Kikwete umebaki kama mshauri mkuu wa masuala yote ya kijamii, haya mambo yanalifanya hili taifa lijitengenezee uhasama.
Watu hawapendwi ila hawasemi. Kuanzia hao wasimamizi na maafisa uchaguzi hawafurahii haya mambo.
Kumbukeni tulimtoa mkoloni ili tujitawale na eneo pekee la kubadirishana uongozi ni kura na siyo pengine.
Nimeandika Uzi.Wewe umechukua hatua gani??
Kikwete asitwishwe mzigo husio muhusu , wenda ametengwa ndo maana mambo hayaendi sawa ,please mwacheni mzee ale maishaMimi ni mtanzania ila nimeumizwa sana na hiki kilichofanyika serikali za mitaa.
Inawezekana vipi ukatumia mabilioni ya pesa kwenye taifa masikini ili tu ufanye uchaguzi wa kiini macho?
Kwanini hizo pesa usiwekeze kwa hili tatizo la ajira, elimu na afya? Sisi ni wazima kweli kiakili?
Jakaya Kikwete umebaki kama mshauri mkuu wa masuala yote ya kijamii, haya mambo yanalifanya hili taifa lijitengenezee uhasama.
Watu hawapendwi ila hawasemi. Kuanzia hao wasimamizi na maafisa uchaguzi hawafurahii haya mambo.
Kumbukeni tulimtoa mkoloni ili tujitawale na eneo pekee la kubadirishana uongozi ni kura na siyo pengine.
Hakuna kitu wanaweza kumfanyia mzee wa msoga yeye ndo kawaweka hapo walipoNafikili kaishaona kuwa sasaivi ukishauli unaweza kwenda na maji kaona bora akae kimya kunusuru maisha yake yaliobakia maa ndani ya CCM sasaivi wazalimu ni wengi sana