LGE2024 Jakaya Kikwete upo unaangalia tu siasa za ovyo wanafanyiwa Watanzania kweli? Demokrasia ipo wapi?

LGE2024 Jakaya Kikwete upo unaangalia tu siasa za ovyo wanafanyiwa Watanzania kweli? Demokrasia ipo wapi?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Acha upumbavu ,muasisi na muanzilishi wa siasa za chuki, kupita bila kupigwa ,kutekana ndani ya nchi hii ni jiwe hawa wengine ni waendelezaji.
Na kilichotokea magufuli alipofanya ule uchafu wakafanikiwa kwa asilimia mia moja kwaiyo hawawezi kuacha tena CCM
 
Mimi ni Mtanzania ila nimeumizwa sana na hiki kilichofanyika Serikali za Mitaa.

Inawezekana vipi ukatumia mabilioni ya pesa kwenye taifa masikini ili tu ufanye uchaguzi wa kiini macho?

Kwanini hizo pesa usiwekeze kwa hili tatizo la ajira, elimu na afya? Sisi ni wazima kweli kiakili?

Jakaya Kikwete umebaki kama mshauri mkuu wa masuala yote ya kijamii, haya mambo yanalifanya hili taifa lijitengenezee uhasama.

Watu hawapendwi ila hawasemi. Kuanzia hao wasimamizi na maafisa uchaguzi hawafurahii haya mambo.

Kumbukeni tulimtoa mkoloni ili tujitawale na eneo pekee la kubadirishana uongozi ni kura na siyo pengine.
HANA KHABARI

LABDA WARIOBA NA MZEE BUTIKU NDIO WATASEMA NENO
 
Back
Top Bottom