Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,388
Hapana mkuu. Mimi sipo huko.nyoosha maelezo. huo ushauri umemlenga baba mwenye nyumba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu. Mimi sipo huko.nyoosha maelezo. huo ushauri umemlenga baba mwenye nyumba.
Rugemalira Yuko jela mpaka Leo mzee wa watu .Wakati Rais mstaafu Jakaya Kikwete anaingia madarakani, kuna ushauri mmoja alimpa Rais aliyekuwa anaingia, yaani John Magufuli.
Alimwambia, 'siyo jambo jema kurithi maadui wa mtu mwingine'.
Sina uhakika au kumbukumbu ujumbe ule alikuwa anawalenga watu gani hasa. Inawezekana sana alikuwa anamaanisha Rais wa Rwanda, Paul Kagame ambaye kuna kipindi Kikwete na Kagame walipishana kauli au kutofautiana mitazamo.
Tuliona baada ya kuingia madarakani, kulikuwa na ukaribu mkubwa kati ya Magufuli na Kagame, ingawa baadae kwa sababu zisizojulikana tuliona ukaribu ule ulipungua au haukuwa wa wazi tena.
Sasa tumepata Rais mpya, Mama Samia Hassan. Nadhani huu ujumbe ni vizuri na yeye akapewa na kuuzingatia kwa maslahi mapana ya taifa.
Rais Magufuli ni mtu ambaye hakuwa anaona aibu kuwashughulikia watu alioona kwa mtazamo wake kuwa 'wanamkwamisha' na hilo lilimtengenezea maadui wengi sana. Ilihitaji nguvu kubwa ya dola kutumika 'kuwashikisha adabu' hawa maadui wake, na kwa kuwa binadamu siyo ng'ombe, wengi hawakusalimu amri mpaka leo.
Sidhani kama ni busara Mama Samia aende kurithi hawa maadui wa marehemu. Nadhani ni vyema atue huu mzigo mzito. Itamsaidia sana kisiasa na kiutawala.
PS. MODS ACHENI KUFUTA NYUZI ZANGU BILA SABABU ZA MSINGI. SIYO POA KABISA MNACHOFANYA.
Wamekusikia hawajafuta,duuu kumbe mkwara unasaidia sanaWakati Rais mstaafu Jakaya Kikwete anaingia madarakani, kuna ushauri mmoja alimpa Rais aliyekuwa anaingia, yaani John Magufuli.
Alimwambia, 'siyo jambo jema kurithi maadui wa mtu mwingine'.
Sina uhakika au kumbukumbu ujumbe ule alikuwa anawalenga watu gani hasa. Inawezekana sana alikuwa anamaanisha Rais wa Rwanda, Paul Kagame ambaye kuna kipindi Kikwete na Kagame walipishana kauli au kutofautiana mitazamo.
Tuliona baada ya kuingia madarakani, kulikuwa na ukaribu mkubwa kati ya Magufuli na Kagame, ingawa baadae kwa sababu zisizojulikana tuliona ukaribu ule ulipungua au haukuwa wa wazi tena.
Sasa tumepata Rais mpya, Mama Samia Hassan. Nadhani huu ujumbe ni vizuri na yeye akapewa na kuuzingatia kwa maslahi mapana ya taifa.
Rais Magufuli ni mtu ambaye hakuwa anaona aibu kuwashughulikia watu alioona kwa mtazamo wake kuwa 'wanamkwamisha' na hilo lilimtengenezea maadui wengi sana. Ilihitaji nguvu kubwa ya dola kutumika 'kuwashikisha adabu' hawa maadui wake, na kwa kuwa binadamu siyo ng'ombe, wengi hawakusalimu amri mpaka leo.
Sidhani kama ni busara Mama Samia aende kurithi hawa maadui wa marehemu. Nadhani ni vyema atue huu mzigo mzito. Itamsaidia sana kisiasa na kiutawala.
PS. MODS ACHENI KUFUTA NYUZI ZANGU BILA SABABU ZA MSINGI. SIYO POA KABISA MNACHOFANYA.
Hapo jambo la kuomba ni kumpata vp aliye makini itasaidia taifa kuponya madonda na kujenga umoja.Of course Ni wakati wa kukaa meza moja na wote walioumizwa na kujeruhiwa na awamu iliyopita na kutazama namna bora ya kufikia makubaliano na muafaka.
😆😆😆wapiga-dili mmeanza
Wenyewe wanadai kuwa hakuna aliyejeruhiwa na utawala wa JPMOf course Ni wakati wa kukaa meza moja na wote walioumizwa na kujeruhiwa na awamu iliyopita na kutazama namna bora ya kufikia makubaliano na muafaka.
HAPANA. Naweza nisikubaliane na wewe...Samia=Jpm 90%
Ni hatari sana kulipaka rangi kucha linalooza.Wenyewe wanadai kuwa hakuna aliyejeruhiwa na utawala wa JPM
Hata yeye mama samia aliwahi kiri mbele ya JPM kuwa yeye(samia na majaliwa) walipata taabu sana mwanzoni mwa utawala wa JPM,walikuwa wanashangazwa namna JP alivyotaka waenende, anaongezea kuwa baada ya muda mfupi walimuelewa sana JPM,then wakajikuta aina ya utendaji anaoutaka ndiyo utendaji mzuri kabisaaHAPANA. Naweza nisikubaliane na wewe...
Huyu Mama za ndani kabisa zinasema, katika nyakati tofauti tofauti tangu 2016 walipoingia madarakani, alijaribu mara 2 kutaka kujiuzuru umakamu kwa sababu ya kutofautiana ktk maswala mbalimbali ya kiutendaji serikalini kwa sababu ya ubabe wa marehemu..
For sure kabisa, kufanya kazi na Rais Magufuli ilikuwa ni jambo gumu sana. Watu iliwalazimu kwenda kigumugumu hivyo hivyo na kufanya apendavyo yeye mkubwa ili mradi usipoteze kazi yako....
Hopefully, Urais wake utakuwa tofauti na ulivyokuwa wa huyu Mzee anayetembezwa nchi nzima sasa akiwa kageuka kuwa udongo/mavumbi...
Tutegemee mabadiliko makubwa na muhimu katika maeneo mengi bila shaka...
Hivi huyu Lisu pamoja na kuonekana ni mjuzi wa mambo mengi kuliko wengine( maana huwa namsikia kila wafayalo wengine linaitwa la kijinga) lakini siyo kweli kwamba tuna mu overate sana???Unajichanganya mwenyewe. JPM baada ya kushauriwa kuwa rafiki wa Kagame imesaidia nini? Na kwa nini mashamu shamu ya urafiki unasema yalififia. Ushauri huu ulisaidia lolote JPM ama ilikuwa ni njia ya kumhujumu?
Mh Mama Rais Samia SH kwa mfano kuhusu Lissu kutengeneza na kumridhisha labda ampishe Lissu awe ndio Rais wa JMT na sema labda. Mshauri mtu kwa nia njema ya kumsaidia na kwa upendo. Usimshauri mtu kumhujumu au kutengeza mazingira ya kumkwamisha na kuchomeka watu wako.
Weeeee[emoji848]HAPANA. Naweza nisikubaliane na wewe...
Huyu Mama za ndani kabisa zinasema, katika nyakati tofauti tofauti tangu 2016 walipoingia madarakani, alijaribu mara 2 kutaka kujiuzuru umakamu kwa sababu ya kutofautiana ktk maswala mbalimbali ya kiutendaji serikalini kwa sababu ya ubabe wa marehemu..
For sure kabisa, kufanya kazi na Rais Magufuli ilikuwa ni jambo gumu sana. Watu iliwalazimu kwenda kigumugumu hivyo hivyo na kufanya apendavyo yeye mkubwa ili mradi usipoteze kazi yako....
Hopefully, Urais wake utakuwa tofauti na ulivyokuwa wa huyu Mzee anayetembezwa nchi nzima sasa akiwa kageuka kuwa udongo/mavumbi...
Tutegemee mabadiliko makubwa na muhimu katika maeneo mengi bila shaka...
Dah.....nyomi litakuwa limemtia akili [emoji2960]HAPANA. Naweza nisikubaliane na wewe...