Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ushauri alioutowa kwa makamu wake unamfaa kila mtu akiwemo JPJM!Acheni kuchukulia maneno out of context na kwa mitizamo ya kisiasa. JK alikuwa anatoa ushauri ambao ni genuine na wala alikuwa hampigi mtu kijembe!!
Babu Seya alikamatwa mwaka 2003 akafungwa 2004 utawala ukiwa ni wa Mkapa.
Hata hivyo aliappeal mpaka ngazi ya mwisho kabisa ya rufaa kote huko wale majaji walimuona na hatia sasa mtasemaje ni bifu?
Soma hiyo hukumu ya mahakama ya rufaa ndo utaona hali ilivyokuwa
Huyu ana hekima tangu zamani. Bahati yake mabaya wanoko wakatumia hiyo advantage kumjaribu. Walipoona bado ni gentleman kawakaribisha chai hadi Ikulu, wakamdharau wakamwita dhaifu. Bahati mbaya kwao kaingia mwingine asiyependa kujaribiwa sasa si Ikulu si Muhimbili. Mambo ni mazuri tu, huyu bado hekima yake iko palepale, ila wao ni kilio na kusaga meno hadi madiwani wanawakimbia.Mkuu siku hizi una hekima sana nini kimekutokea mkuu
Japo yawezekana JK alikuwa na ushawishi!Jana kuna mdada humu ana msimamo huo, nikamuomba ushahidi akabaki anapiga mboyoyo! Na haya yaliyokea JK akiwa Waziri, hakuwa na nguvu ya kimagogoni!
Jamii ya watanzania imegubikwa na wajinga wengi sana ndugu yangu..Babu Seya alifungwa 2004 Rais akiwa Mkapa acheni maneno ya vijiweni kama ungemsikiliza vizuri Magufuli na ukawa na akili alimaanisha Msamaha hauna maana hawakutenda kosa!Wale jamaa ni issue ya nani na nani hawakutenda ila ushenzi ulifanywa
😀😀😀 hapo kwenye kurithi wake huo ndio utamaduni halisi wa mwafrica, tuudumishe wadauHakika JK amenena maneno ya busara kabisa. Tunatakiwa kurithi mali na wake siyo maadui.
Jamaa anaongea na Troll JF sio Jakaya.Huyu ana hekima tangu zamani. Bahati yake mabaya wanoko wakatumia hiyo advantage kumjaribu. Walipoona bado ni gentleman kawakaribisha chai hadi Ikulu, wakamdharau wakamwita dhaifu. Bahati mbaya kwao kaingia mwingine asiyependa kujaribiwa sasa si Ikulu si Muhimbili. Mambo ni mazuri tu, huyu bado hekima yake iko palepale, ila wao ni kilio na kusaga meno hadi madiwani wanawakimbia.
KweliKama wangekuwa maadui Babu SEYA asingewepo chin ya hili jua,Naina watu wanaushabikia ushoga kwa nguvu zote
Nakubaliana na weweUmbea tu kama kunamtu anaoushahidi au kavideo aweke tujadili
Mkuu nampongeza Sana mtu wenu rais Magufuli kwa kumuachia babu seya. Safi sana Sizonje kea hiliAmejibiwa kwa vitendo atulie nae dawa iingie
Nafikiri sasa atapunguza mipasho
Baadae ya kukosa uteuzi amekuwa na akiliMkuu siku hizi una hekima sana nini kimekutokea mkuu
kwa taarifa yako huyo ndiye I'd msaga sumu mnafiki kweli kweli ana I'd zingine nyingi. LB7 unatakiwa uwe Na I'd 10+ Kama gentamacyine ana I'd Barbarossa Na kibtzecMkuu siku hizi una hekima sana nini kimekutokea mkuu
Kwa majaji wote! Na mahakama zote! Hadi kwenye rufaa!Japo yawezekana JK alikuwa na ushawishi!